Yaani leo mfuko wa Saruji umefikia shilingi 22,000/-

Yaani leo mfuko wa Saruji umefikia shilingi 22,000/-

Dua niliyoomba nilitaka mfuko ufike milion 2 , naona hatua inakwenda vizuri.

Ngoja niendelee kuchoma ubani hapa Bei kesho walau ifike 70,000 ili akili ziwakae sawa.
 
hiyo pesa yenyewe kuipata itakuwa mbinde !!..pesa imekuwa ngumu kinoma
Kuna aliyeniuzia kiwanja, nimempa nusu nusu mambo yakawa mengi. Aliniambia kama ninachelewa anakiuza nilimuomba mpaka December, alisema anauza ana shida ya hela. Sasa hivi ananiambia sawa kama una uhakika December basi nitasubiri.
 
Jaman achananeni na kujenga tunywe bia
Subiri, na bia Bei sio mrefu itapanda halafu wamama wanaopika pombe za kienyeji na wagema watatakiwa kujisajili TBS kabla ya kupewa kibali Cha kuuza pombe.
Atakae kwenda kinyume kuhujumu uchumi wa Kati kunamhusu.
 
Solution ni kujenga nyumba ya tope,,mbona zinadumu tu kama zingine?🤔🤔
 
Tumeipenda Wenyewe Wala Hatukuandikiwa Barua Wacha Ituue
 
Cement nyati 16k yenye 42. R
Ile ya 32 R ni 15k
Kigamboni
 
Leo nimestaajabu sana yaani miezi 3 iliyopita simenti ilikuwa elfu 15,imebidi nichukue kwa kilo kadhaa leo ili nikamileshe kujengea bomba liingialo bafuni na chooni.
Tuko uchumi wa kati.
 
Labda katikati ya mwakani.si unajua Tena serikali ya hapa kazi tu..Ina miradi two kibao inayotumia cement.kuna viwanda, magorofa makubwa n.k
Hapo bado wenye viwanda hawajaleta maringo ya kuzalisha cement.
Ikifikia hapo na sisi tunabomoa vibubu shughuli iendelee
 
Weee, kuna rafiki yangu anauza nyumba leo mwaka wa 2 hajapata wateja.yaani

Back
Top Bottom