residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 10,297
- 15,061
KFC wale ni kuku au midoli!?Hahaha kweli, yani pizza zinashuka bei cement inapanda, KFC nao naona kila siku offer za kuku huko mitandaoni
Sent using Jamii Forums mobile app
KFC wale ni kuku au midoli!?Hahaha kweli, yani pizza zinashuka bei cement inapanda, KFC nao naona kila siku offer za kuku huko mitandaoni
Ukiwa na card ya chama Mambo kitonga tu'Mkuu [emoji23]Leo nimestaajabu sana yaani miezi 3 iliyopita simenti ilikuwa elfu 15,imebidi nichukue kwa kilo kadhaa leo ili nikamileshe kujengea bomba liingialo bafuni na chooni.
Hadi leo bado vipi vipo ivyo viwanjaNjoo Kiluvya Dar, milioni 2 ishirini kwa ishirini kulipa mpaka awamu tatu. Awamu ya kwanza m
Itakuwa sio cement ni vumbi iloCement nyati 16k yenye 42. R
Ile ya 32 R ni 15k
Kigamboni
wewe umenunua bei gani Kigamboni?Itakuwa sio cement ni vumbi ilo
Ngoja niulize halafu nitakuja inbixHadi leo bado vipi vipo ivyo viwanja