Yaani leo mfuko wa Saruji umefikia shilingi 22,000/-

Yaani leo mfuko wa Saruji umefikia shilingi 22,000/-

Mbona rahisi huko, au bilionea wa mahindi kahamia kwenye simenti!
Haa 😂😁😀😅😄😃
Tunataka Wananchi Maji Waite Mmaa.
Hii Sasa Serikali Haiwezi Kusema Lolote
Wala Kuja Na Jibu Kuwa Tatizo Ni Nini



Wanaomkumbuka Mwijage Alisema Kasomea China Mambo Ya Propaganda!! Mpaka Akatumbuliwa
Sasa Hivi Hakuna Njia
 
Naona mascania yaleeee yamebeba cement yanaenda kwao RWANDA[emoji16][emoji16][emoji16].
alafu mimi Nina mwezi na masiku sijaona cement dukani kwetu.
Hii ndo Tanzania
 
Bei ikirudi mwisho 13,000.
na sijui Ni lini itashuka mpaka hyo Bei ya 13,000
Hatununui hizo cement badala yake

Tunachonga vibubu


Mpaka bei itakaporudi kwenye mstari ndio tutajenga nyumba zetu.
 
Huu ndio uchumi wa kati sasa ukinakshiwa na kishindo cha awamu ya tano.

Sahii pesa nakulia nyama tu nijenge mwili majengo baadae[emoji848]
 
Halafu cha kushangaza bei zikipanda namna hiyo huwa zinakuwa na mawenge kushuka chini.
 
Mara ikikaribia mwishoni mwa mwaka cement inakuwaga inaadimika

Ova
 
Back
Top Bottom