Yaani leo mfuko wa Saruji umefikia shilingi 22,000/-

Yaani leo mfuko wa Saruji umefikia shilingi 22,000/-

Sisi wenye pesa ya mboga tusitishe ujenzi kwa muda kupisha pesa za wajumbe ziondoke kwenye mzunguko. Wajumbe walipiga pesa ndefu.

Hebu fikiria jimbo lenye wagombea 100, kila mmoja akakata laki laki, halafu kila mjumbe akimbilie kununua saruji, lazima itapelea tu madukani.
 
Back
Top Bottom