milioni 152 kwa siku; maziwa yapo, mito ipo, bahari ipo, mabwawa yapo; hii nchi ni chukizo hata mbele za MUNGU
na juzi waziri wa nishati alusema wanataka kununua Umeme kutoka Ethibiamilioni 152 kwa siku; maziwa yapo, mito ipo, bahari ipo, mabwawa yapo; hii nchi ni chukizo hata mbele za MUNGU
100% Naunga mkonoNilipata kusoma @The Boss mahali fulani akifananisha uharaka wa kusahau walionao samaki na uharaka wa watanzania kusahau mambo.
Yawezekana ni kweli watanzania wengi ni wepesi kusahau, ila mie kumbukumbu yangu bado inanituma kuamini kwamba akili iliyotusababishia shida zetu nyingi haiwezi kuwa na majibu ya makini ya shida hizo. ..
JPM ni mvinyo mpya ndani ya kiriba cha zamani...ccm ni ile ile
Hoja ni lowassa au utapeli/kiini macho tunachofanyiwa?Unazeeka vibayaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.Hivi huyu Lowassa alikuwa kawaahidi kitu ganiiiii.???????????????????????.Lowassa kawatelekeza,mnalialia mpaka mnatia huruma aisee.Kwanini msijifunze kula kwa jasho kama watanzania wenzenu??????
Huyo mzee mshamshindwa mpaka sasa pamoja nguvu kubwa mnotumia, jibu hoja za pasco huko mtuambie Richmond, dowwans na simbioni ni aina gani ya virus???Nguvu ya soda anachunga ng'ombe mida hii
My take ni yangu.Hiyo my take ni your take au my take ya Maria?
Pasco huna jipya wewe. Mbona ukweli ulikwisha julikana t.oka 2007/08Wanabodi, hii nimeikuta kule fb, kama imeishaletwa humu, iunganishe kule ilipo!.
Hillary Was Scheduled To Meet Privately With Crony Lobbying Her For Africa Business
Hillary Clinton's State Department schedule includes an entry for a meeting with former Ambassador Joseph Wilson in December 2009, just a month after the…
DAILYCALLER.COM
Maria Sarungi-Tsehai
12 hrs ·
Jamani hii imeandikwa na gazeti la huko Marekani siyo sisi waafrika na ma-conspiracy theory zetu! Sasa tunaona kumbe MCC yote huku inahusiana na Clinton na Symbion. Dah! Hebu someni article yote kwanza Dan Nkurlu Evarist Chahali Lusajo Lazarus Mwaisaka Mbaraka Islam Mimi Mwanakijiji Zitto Kabwe Maxence Melo
Months after Wilson contacted Clinton about Symbion, a small, quasi-federal agency called the Millennium Challenge Corporation (MCC) granted the company $100 million in ....
See More
My Take.
Maria Sarungi-Tsehai, Sisi Tanzania tulichotaka ni umeme, bila kujali kampuni ni nani, ni ya wapi na inamilikiwa na nani!. Tangu ilipokuja nchini kwa jina la Richmond, na baadae Dowans, na kutuletea umeme kwa kutucharge capacity charge ya shilingi milioni 152 kwa siku, ilikutwa ni kampuni hewa!, Tume ya Mwakyembe ilipobaini hayo madudu, tukamtoa kafara Lowassa, tukavunja mkataba na tukahakikishiwa hakuna madhara!. Zitto Kabwe akashauri tuinunue mitambo hiyo, akagomewa!, tena tukaona bora kuwasha mitambo ya IPTL ambayo ni chakavu mara 100 kuliko Richmond, uzalishaji wa umeme kidogo, kwa gharama kubwa na uchafuzi mkubwa wa mazingira, lakini watu bungeni walijiapiza kuliko kutumia Richmond, "Over my dead body!". Tukapelekwa mahakamani, tukashindwa na kudaiwa tozo ya Dowans, watu wakasema hatulipi!. Wenye pesa zao wakainunua na kuibadili jina to Simbion. Ukweli ni kuwa ile tozo tumeilipa kimya kimya na tunaifidia kwenye bili za umeme!, Richmond ndio ile ile Dowans, na ndio hii hii Simbion. There is no any justification at all, kama tuliikataa Dowans na kuikubali Simbion!, mitambo ni ile ile, umeme ni ule ule tulioukataa, na capacity charge ni ile ile milioni 152 kwa siku na tunalipa mpaka kesho!. Watu wale wale walioilaani Richmond, na kujiapiza "over my dead body!", ndio wale wale waliokuwa waki dance na Mama Clintoni pale Siombion!. Ukweli ni kampuni hewa, na wamiliki hewa yenye usajili hewa, ila mitambo ni mitambo ya ukweli, inafua umeme wa ukweli, tunacholipia sisi ni ile mitambo na ule umeme!. .Tukiambiwa sisi Watanzania ni watu wa ajabu sana, tunajifanya kushangaa!, Hata Magufuli hii kasi aliyoanza nayo ni nguvu tuu ya soda, CCM bado ni ile ile juzi, jana, leo na hata milele!.
Pasco
Pasco huna jipya wewe. Mbona ukweli ulikwisha julikana t.oka 2007/08
Ni Ebola ya MonduliHuyo mzee mshamshindwa mpaka sasa pamoja nguvu kubwa mnotumia, jibu hoja za pasco huko mtuambie Richmond, dowwans na simbioni ni aina gani ya virus???
Ndugu ni 54,720,000,000/=Kwa wenye calculate mnaweza fanya hesabu tujue milioni 152 ni unit ngapi za umeme,au megawatt ngapi,isijekuwa tunalipia service charge kwa pesa nyingi,kuliko hata tunazolipia umeme halisi,hapo ndo siri ipo kama kuna watu wanapiga ama hapana
gesi ipo, makaa ya mawe yapomilioni 152 kwa siku; maziwa yapo, mito ipo, bahari ipo, mabwawa yapo; hii nchi ni chukizo hata mbele za MUNGU
Lowassa atawajaza mimba endeleeni kumfatafata, Halafu Nyerere hakuwa na akili km yako,Ni Ebola ya Monduli
Lowassa atawajaza mimba endeleeni kumfatafata, Halafu Nyerere hakuwa na akili km yako,
UKITAKA KULIA KUHUSU DOWANS AU SYMBION TAFITI YALIPO MAGENERATOR YA TANESCO YALIOKUWA MIKOANI YALIHAMISHIWA WAPICcm ni janga kwelikweli, nasubiri tu madudu ya kwenye mafuta & gesi.
Mkuu Songoka, 'take' ni yangu mimi, Pasco, na aliyemtaja Maria Sarungi ni mimi, kwa sababu ile content kule juu, ni ya Maria Sarungi, content yangu ni ile 'my take', toka mwanzo nimesema nimeitoa wapi, plagiarism iko wapi hapo?!.ha ha ha Plagiarism , eti my take alafu umesahau kufuta jina la mwenye take Maria sarungi, shame on you