Ya Symbion na Pesa za MCC yaibuka upya kule Marekani

Sijaelewa au ?? Sasa mbona Maria na Chahali walikesha kwenye mitandao hadi kumwita Lowasa ni jambazi kabla ya uchaguzi,sasa hivi wanapiga kelele za nini ilhali Lowasa alitolewa kafara kwa jambo lililokua nje ya uwezo wake ??
Kwa maana hiyo Mwakyembe na tume yake waliudanganya uma kama hizi habari ni za kweli Mwakyembe hatakiwi kuwa hata diwani achilia mbali waziri
Kwa kigezo kipi ambacho Lowassa hakuwa na uwezo nacho katika kashfa ya Richmond…?? Ukifatilia mwisho wa siku mlolongo ni uleule tu wakina RA ndio aoao
 
Wanabodi, hii nimeikuta kule fb, kama imeishaletwa humu, iunganishe kule ilipo!.

Hillary Was Scheduled To Meet Privately With Crony Lobbying Her For Africa Business
Hillary Clinton's State Department schedule includes an entry for a meeting with former Ambassador Joseph Wilson in December 2009, just a month after the…
DAILYCALLER.COM

Maria Sarungi-Tsehai
12 hrs ·
Jamani hii imeandikwa na gazeti la huko Marekani siyo sisi waafrika na ma-conspiracy theory zetu! Sasa tunaona kumbe MCC yote huku inahusiana na Clinton na Symbion. Dah! Hebu someni article yote kwanza Dan Nkurlu Evarist Chahali Lusajo Lazarus Mwaisaka Mbaraka Islam Mimi Mwanakijiji Zitto Kabwe Maxence Melo
Months after Wilson contacted Clinton about Symbion, a small, quasi-federal agency called the Millennium Challenge Corporation (MCC) granted the company $100 million in ....
See More

My Take.
Maria Sarungi-Tsehai, Sisi Tanzania tulichotaka ni umeme, bila kujali kampuni ni nani, ni ya wapi na inamilikiwa na nani!. Tangu ilipokuja nchini kwa jina la Richmond, na baadae Dowans, na kutuletea umeme kwa kutucharge capacity charge ya shilingi milioni 152 kwa siku, ilikutwa ni kampuni hewa!, Tume ya Mwakyembe ilipobaini hayo madudu, tukamtoa kafara Lowassa, tukavunja mkataba na tukahakikishiwa hakuna madhara!. Zitto Kabwe akashauri tuinunue mitambo hiyo, akagomewa!, tena tukaona bora kuwasha mitambo ya IPTL ambayo ni chakavu mara 100 kuliko Richmond, uzalishaji wa umeme kidogo, kwa gharama kubwa na uchafuzi mkubwa wa mazingira, lakini watu bungeni walijiapiza kuliko kutumia Richmond, "Over my dead body!". Tukapelekwa mahakamani, tukashindwa na kudaiwa tozo ya Dowans, watu wakasema hatulipi!. Wenye pesa zao wakainunua na kuibadili jina to Simbion. Ukweli ni kuwa ile tozo tumeilipa kimya kimya na tunaifidia kwenye bili za umeme!, Richmond ndio ile ile Dowans, na ndio hii hii Simbion. There is no any justification at all, kama tuliikataa Dowans na kuikubali Simbion!, mitambo ni ile ile, umeme ni ule ule tulioukataa, na capacity charge ni ile ile milioni 152 kwa siku na tunalipa mpaka kesho!. Watu wale wale walioilaani Richmond, na kujiapiza "over my dead body!", ndio wale wale waliokuwa waki dance na Mama Clintoni pale Siombion!. Ukweli ni kampuni hewa, na wamiliki hewa yenye usajili hewa, ila mitambo ni mitambo ya ukweli, inafua umeme wa ukweli, tunacholipia sisi ni ile mitambo na ule umeme!. .Tukiambiwa sisi Watanzania ni watu wa ajabu sana, tunajifanya kushangaa!, Hata Magufuli hii kasi aliyoanza nayo ni nguvu tuu ya soda, CCM bado ni ile ile juzi, jana, leo na hata milele!.

Pasco
Unazeeka vibayaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.Hivi huyu Lowassa alikuwa kawaahidi kitu ganiiiii.???????????????????????.Lowassa kawatelekeza,mnalialia mpaka mnatia huruma aisee.Kwanini msijifunze kula kwa jasho kama watanzania wenzenu??????
 
Kwa kigezo kipi ambacho Lowassa hakuwa na uwezo nacho katika kashfa ya Richmond…?? Ukifatilia mwisho wa siku mlolongo ni uleule tu wakina RA ndio aoao

Hujaelewa nini sasa ?? Au unataka tu kuleta ubishi ?? Kama mlolongo umewahusisha wote kwanini tuaminishwe ni Lowasa pekee ndie fisadi wa Richmond ?
 
Tusijilaumu Sisi Wa.tz ni watu dhaifu sana na hata atakaepinga ndo ukweli mchungu wakuingianao kaburinii..

Na miongoni mwa wale wachache walioelimika( Intellectuals & Academics) over 60% ni vichwa nazi, wanatumia vichwa vyako kufugia nyweke na kuachakutumia bongo zao kufikiri na kuc Wamebakia kua washabiki maandazi na kulalamika/kulialia..

Tuendelee kuisoma namba hanganua mambo..
 
Huyu kada wa ccm sialikuwa anamtukana lowasa mwizi fisadi Leo hii anakuja na ngonjera nyingine hawa ni wale maslai kwanza sasa fadhila hakuna ndio wanakuja na kelele ccm ndio imetufikisha hapa tulipo sio umeme tu kuna mengi kama afya elimu yote akuna Leo vipimo vya tiba ni tabu dawa maosipitalini shida
 
Mkuu kama ni kweli naendelea kububujikwa na machozi na jasho mwili mzima kweli hii dhambi nikubwa mno mbele za mungu wajue waliousika kutufanya masikin kataka nchi yetu watu bila makazi Nyumba za nyasi mpaka sasa kushidwa kumudu gharama za maisha mlo moja kwa siku million 152 kila siku itawatafuna mpaka mwisho sina mengi zaidi maumivu tunayoyapata mpaka sasa
 
Viongozi wa Tanzania wanapwaya sana hakuna sera muhimu ya kiuchumi kwenye taifa lolote kama energy policies wamarekani wa symbion na waingereza wanaopigania IPTL wanajua you can mess a nation ukishamiiki sehemu kubwa ya energy wao tayari washapewa adhabu na waarabu wala uitaji sanctions kama ukiweza kuzuia uchumi wa taifa kupitia energy.

Sometimes unaona kama vile kutaka kujifanya mjuaji wa kila kitu lakini ukweli wenyewe tatizo kubwa la Tanzania ni viongozi wasio na uwezo this is becoming apparent as we acquire more knowledge hizi ndio sababu za msingi kwanini atuendelei au tunaingia kichwa kichwa (na hili tatizo lipo karibu na raisi kwa washauri wake wa karibu na kwenye vyama vya siasa kutoendeleza wachamama ambao wanataraiwa kuwa viongozi wa kesho) leo tena wanataka kuivunja TANESCO wawape watu hawa hawa wazalishe umeme TANESCO ilipe capacity charge zaidi; time to look for the red mkoba in my perspective to hell with my beloved sikio la kufa.
 
Last edited:
IQ ya mtanzania inaanzia hapa hapa JF.Ukitaka kujua ujinga wetu pitia JF.Wacheni tuliwe tu!

Utashangaa kuna watu watakuja hapa kutetea huu wizi ili hali nao ni watanzania na wanalipa kodi kama mimi na wewe.
 
Last edited:
Wanabodi, hii nimeikuta kule fb, kama imeishaletwa humu, iunganishe kule ilipo!.

Hillary Was Scheduled To Meet Privately With Crony Lobbying Her For Africa Business
Hillary Clinton's State Department schedule includes an entry for a meeting with former Ambassador Joseph Wilson in December 2009, just a month after the…
DAILYCALLER.COM

Maria Sarungi-Tsehai
12 hrs ·
Jamani hii imeandikwa na gazeti la huko Marekani siyo sisi waafrika na ma-conspiracy theory zetu! Sasa tunaona kumbe MCC yote huku inahusiana na Clinton na Symbion. Dah! Hebu someni article yote kwanza Dan Nkurlu Evarist Chahali Lusajo Lazarus Mwaisaka Mbaraka Islam Mimi Mwanakijiji Zitto Kabwe Maxence Melo
Months after Wilson contacted Clinton about Symbion, a small, quasi-federal agency called the Millennium Challenge Corporation (MCC) granted the company $100 million in ....
See More

My Take.
Maria Sarungi-Tsehai, Sisi Tanzania tulichotaka ni umeme, bila kujali kampuni ni nani, ni ya wapi na inamilikiwa na nani!. Tangu ilipokuja nchini kwa jina la Richmond, na baadae Dowans, na kutuletea umeme kwa kutucharge capacity charge ya shilingi milioni 152 kwa siku, ilikutwa ni kampuni hewa!, Tume ya Mwakyembe ilipobaini hayo madudu, tukamtoa kafara Lowassa, tukavunja mkataba na tukahakikishiwa hakuna madhara!. Zitto Kabwe akashauri tuinunue mitambo hiyo, akagomewa!, tena tukaona bora kuwasha mitambo ya IPTL ambayo ni chakavu mara 100 kuliko Richmond, uzalishaji wa umeme kidogo, kwa gharama kubwa na uchafuzi mkubwa wa mazingira, lakini watu bungeni walijiapiza kuliko kutumia Richmond, "Over my dead body!". Tukapelekwa mahakamani, tukashindwa na kudaiwa tozo ya Dowans, watu wakasema hatulipi!. Wenye pesa zao wakainunua na kuibadili jina to Simbion. Ukweli ni kuwa ile tozo tumeilipa kimya kimya na tunaifidia kwenye bili za umeme!, Richmond ndio ile ile Dowans, na ndio hii hii Simbion. There is no any justification at all, kama tuliikataa Dowans na kuikubali Simbion!, mitambo ni ile ile, umeme ni ule ule tulioukataa, na capacity charge ni ile ile milioni 152 kwa siku na tunalipa mpaka kesho!. Watu wale wale walioilaani Richmond, na kujiapiza "over my dead body!", ndio wale wale waliokuwa waki dance na Mama Clintoni pale Siombion!. Ukweli ni kampuni hewa, na wamiliki hewa yenye usajili hewa, ila mitambo ni mitambo ya ukweli, inafua umeme wa ukweli, tunacholipia sisi ni ile mitambo na ule umeme!. .Tukiambiwa sisi Watanzania ni watu wa ajabu sana, tunajifanya kushangaa!, Hata Magufuli hii kasi aliyoanza nayo ni nguvu tuu ya soda, CCM bado ni ile ile juzi, jana, leo na hata milele!.

Pasco
Sisi watanzania tuna watu wenye akili wengi sana. Nguvu ya kisiasa kutumia ujinga na umasikini ndicho kiini cha watawala kung'ang'ania madaraka. Nina maana ukiweka level play ground na ukawapata watawala kihalali wenye akili watapenya na kufanya maamuzi ya busara.

Kilichopo ni kuhakikisha kwa gharama yo yote ile na kutumia hayo mawekezaji feki utawala wa chama dola unatamalaki na hakuna mwenye akili atakaepewa nafasi ya kufanya mabadiriko.

MCC ipo na faida zake tumeshudia. Hasara zake hatukujali kuzitathmini. Pia tumeshindwa kutimiza vigezo tulivyokubaliana navyo. Kuwa iko chini ya matajiri fulani Amerika ndio mfumo wenyewe wa kwao. Kwani sisi tumefanya jitihada gani za kufanya mambo yetu yaende bila kuingiliwa toka nje? Kukusanya kodi tunakurupushana tuna nafasi ya kujenga uchumi wetu uwe imara kweli? Labda uchumi wa tumboni ukiongozwa na wachumia tumbo.
 
Wanabodi, hii nimeikuta kule fb, kama imeishaletwa humu, iunganishe kule ilipo!.

Hillary Was Scheduled To Meet Privately With Crony Lobbying Her For Africa Business
Hillary Clinton's State Department schedule includes an entry for a meeting with former Ambassador Joseph Wilson in December 2009, just a month after the…
DAILYCALLER.COM

Maria Sarungi-Tsehai
12 hrs ·
Jamani hii imeandikwa na gazeti la huko Marekani siyo sisi waafrika na ma-conspiracy theory zetu! Sasa tunaona kumbe MCC yote huku inahusiana na Clinton na Symbion. Dah! Hebu someni article yote kwanza Dan Nkurlu Evarist Chahali Lusajo Lazarus Mwaisaka Mbaraka Islam Mimi Mwanakijiji Zitto Kabwe Maxence Melo
Months after Wilson contacted Clinton about Symbion, a small, quasi-federal agency called the Millennium Challenge Corporation (MCC) granted the company $100 million in ....
See More

My Take.
Maria Sarungi-Tsehai, Sisi Tanzania tulichotaka ni umeme, bila kujali kampuni ni nani, ni ya wapi na inamilikiwa na nani!. Tangu ilipokuja nchini kwa jina la Richmond, na baadae Dowans, na kutuletea umeme kwa kutucharge capacity charge ya shilingi milioni 152 kwa siku, ilikutwa ni kampuni hewa!, Tume ya Mwakyembe ilipobaini hayo madudu, tukamtoa kafara Lowassa, tukavunja mkataba na tukahakikishiwa hakuna madhara!. Zitto Kabwe akashauri tuinunue mitambo hiyo, akagomewa!, tena tukaona bora kuwasha mitambo ya IPTL ambayo ni chakavu mara 100 kuliko Richmond, uzalishaji wa umeme kidogo, kwa gharama kubwa na uchafuzi mkubwa wa mazingira, lakini watu bungeni walijiapiza kuliko kutumia Richmond, "Over my dead body!". Tukapelekwa mahakamani, tukashindwa na kudaiwa tozo ya Dowans, watu wakasema hatulipi!. Wenye pesa zao wakainunua na kuibadili jina to Simbion. Ukweli ni kuwa ile tozo tumeilipa kimya kimya na tunaifidia kwenye bili za umeme!, Richmond ndio ile ile Dowans, na ndio hii hii Simbion. There is no any justification at all, kama tuliikataa Dowans na kuikubali Simbion!, mitambo ni ile ile, umeme ni ule ule tulioukataa, na capacity charge ni ile ile milioni 152 kwa siku na tunalipa mpaka kesho!. Watu wale wale walioilaani Richmond, na kujiapiza "over my dead body!", ndio wale wale waliokuwa waki dance na Mama Clintoni pale Siombion!. Ukweli ni kampuni hewa, na wamiliki hewa yenye usajili hewa, ila mitambo ni mitambo ya ukweli, inafua umeme wa ukweli, tunacholipia sisi ni ile mitambo na ule umeme!. .Tukiambiwa sisi Watanzania ni watu wa ajabu sana, tunajifanya kushangaa!, Hata Magufuli hii kasi aliyoanza nayo ni nguvu tuu ya soda, CCM bado ni ile ile juzi, jana, leo na hata milele!.

Pasco
pasco, unatuongezea uchungu tushaibiwa sana alafu bado tunaona hii mkitu, asalaleee jamani tanzania yangu, hivi kweli TZ hakuna mwenye akili hata mmoja , inabidi tuonewe huruma aisee.
 
Iv hatujiuliz kwann Lowasa anajiapiza kua hahusiki kweny Richmond?? Mambo haya ni ya watu wa dunia na hamuwez kufanya lolote.better we stay qttt.
 
Lowassa anahusika maana ni business partners na Rostam ambaye amehusika na Richmond na baadaye Dowans. Dili la Dowans na Symbion ilifanywa na Rostam. Ndiyo maana Lowassa hawezi kamwe kusema chochote zaidi ya kusema hahusiki.
 
Back
Top Bottom