Ya Symbion na Pesa za MCC yaibuka upya kule Marekani

@Pascal Mayalla Magufuli ashafariki lakini je alikuwa na nguvu ya soda?
Magufuli's decisions nyingi zilikuwa ni za aina ya ki "popularist" za kutafuta sifa wa wengi bila kujali sheria na kanuni za Taifa na Kimataifa.

Mifano mzuri ni mingi. Samaki wa Mgufuli, licha ya kuonekana ni kitendo cha kishuja lakini kumbe lilikuwa kinyume na sheria,lilimgeukia.

Kukataa kulipa pesa za wakandarasi na kuwanyang'anya kazi na mali zao kuharibika, lilimgeukia mpaka ndege ikazuiliwa Canada.

Wafanya biashara kuwa extorted, tunaona mama akiwasihi warudi nchini.

Makinikia. Yameishia wapi?

Tuombe kila siku ziendavyo yasiibuke mengine, awe kaondoka nayo na wengine wasamehe tu.

Rais wa Tanzania ana mamalaka kubwa sana kuliko rais wa Merekani ndani ya Merekani. Kama hajayatumia vizuri yanaweza kuleta madhara makubwa sana kwa nchi. Rais wa Tanzania ana mamlaka ya kila alisemalo kuwa ni sheria.

Ni kama ilivyokuwa wakati wa Marehemu Nyerere, maamuzi mengi kinadharia yalionekana ni mema lakini in the long run yalileta madhara makubwa sana kwa nchi. Ni hivyo hivyo kwa Magufuli.

Tanzania kwa Rais mwema kabisa, mwenye maamuzi ya busara na hekima hakuna mpaka muda huu aliyemfikia Kikwete kwa ubora.

Wakati wa Kikwete nchi ilipaa kiuchumi, kisiasa, kidiplomasia, kiutawala. Bado naamini hatujapata Rais bora zaidi ya Kikwete mpaka sasa, labda mama awe zaidi, time will tell.
 
Niliona wewe ni kichwa hadi pale ulipoboronga ati kikwete ambaye alileta ufisadi wa hali ya juu! Escrow mfano na mengine mengi
 
hizi nyuzi chanzo chake si ni huyu unayemwita ni rais mpaisha uchumi na demokrasia?

Mikataba mingi ya kinyonyaji si ni yeye chanzo chake??

hayo marichmond si ndo yeye huyo jamaa yenu siyo?
 
Magufuli's decisions nyingi zilikuwa ni za aina ya ki "popularist" za kutafuta sifa wa wengi bila kujali sheria na kanuni za Taifa na Kimataifa.

Mifano mzuri ni mingi. Samaki wa Mgufuli, licha ya kuonekana ni kitendo cha kishuja lakini kumbe lilikuwa kinyume na sheria,lilimgeukia.

Kukataa kulipa pesa za wakandarasi na kuwanyang'anya kazi na mali zao kuharibika, lilimgeukia mpaka ndege ikazuiliwa Canada.

Wafanya biashara kuwa extorted, tunaona mama akiwasihi warudi nchini.

Makinikia. Yameishia wapi?

Tuombe kila siku ziendavyo yasiibuke mengine, awe kaondoka nayo na wengine wasamehe tu.

Rais wa Tanzania ana mamalaka kubwa sana kuliko rais wa Merekani ndani ya Merekani. Kama hajayatumia vizuri yanaweza kuleta madhara makubwa sana kwa nchi. Rais wa Tanzania ana mamlaka ya kila alisemalo kuwa ni sheria.

Ni kama ilivyokuwa wakati wa Marehemu Nyerere, maamuzi mengi kinadharia yalionekana ni mema lakini in the long run yalileta madhara makubwa sana kwa nchi. Ni hivyo hivyo kwa Magufuli.

Tanzania kwa Rais mwema kabisa, mwenye maamuzi ya busara na hekima hakuna mpaka muda huu aliyemfikia Kikwete kwa ubora.

Wakati wa Kikwete nchi ilipaa kiuchumi, kisiasa, kidiplomasia, kiutawala. Bado naamini hatujapata Rais bora zaidi ya Kikwete mpaka sasa, labda mama awe zaidi, time will tell.
Kwenye maamuzi mabovu usimlinganishe Magufuli na Rais yeyote Tanzania. Ni Popularist asiye na mfano wa kulinganisha naye popote nchini. Mtu ambaye ukimsifia kwa chochote hata ambacho yeye mwenyewe anajua hana anakupandisha hapo hapo!!
 
Magufuli's decisions nyingi zilikuwa ni za aina ya ki "popularist" za kutafuta sifa wa wengi bila kujali sheria na kanuni za Taifa na Kimataifa.

Mifano mzuri ni mingi. Samaki wa Mgufuli, licha ya kuonekana ni kitendo cha kishuja lakini kumbe lilikuwa kinyume na sheria,lilimgeukia.

Kukataa kulipa pesa za wakandarasi na kuwanyang'anya kazi na mali zao kuharibika, lilimgeukia mpaka ndege ikazuiliwa Canada.

Wafanya biashara kuwa extorted, tunaona mama akiwasihi warudi nchini.

Makinikia. Yameishia wapi?

Tuombe kila siku ziendavyo yasiibuke mengine, awe kaondoka nayo na wengine wasamehe tu.

Rais wa Tanzania ana mamalaka kubwa sana kuliko rais wa Merekani ndani ya Merekani. Kama hajayatumia vizuri yanaweza kuleta madhara makubwa sana kwa nchi. Rais wa Tanzania ana mamlaka ya kila alisemalo kuwa ni sheria.

Ni kama ilivyokuwa wakati wa Marehemu Nyerere, maamuzi mengi kinadharia yalionekana ni mema lakini in the long run yalileta madhara makubwa sana kwa nchi. Ni hivyo hivyo kwa Magufuli.

Tanzania kwa Rais mwema kabisa, mwenye maamuzi ya busara na hekima hakuna mpaka muda huu aliyemfikia Kikwete kwa ubora.

Wakati wa Kikwete nchi ilipaa kiuchumi, kisiasa, kidiplomasia, kiutawala. Bado naamini hatujapata Rais bora zaidi ya Kikwete mpaka sasa, labda mama awe zaidi, time will tell.

Sema ‘Baba wa Taifa Mwl Nyerere’ marehemu Nyerere ni kitu gani kuwa Na staha na heshima kwa muasisi wa taifa.
 
Wanabodi, hii nimeikuta kule fb, kama imeishaletwa humu, iunganishe kule ilipo!.

Hillary Was Scheduled To Meet Privately With Crony Lobbying Her For Africa Business
Hillary Clinton's State Department schedule includes an entry for a meeting with former Ambassador Joseph Wilson in December 2009, just a month after the…
DAILYCALLER.COM

Maria Sarungi-Tsehai
12 hrs ·
Jamani hii imeandikwa na gazeti la huko Marekani siyo sisi waafrika na ma-conspiracy theory zetu! Sasa tunaona kumbe MCC yote huku inahusiana na Clinton na Symbion. Dah! Hebu someni article yote kwanza Dan Nkurlu Evarist Chahali Lusajo Lazarus Mwaisaka Mbaraka Islam Mimi Mwanakijiji Zitto Kabwe Maxence Melo
Months after Wilson contacted Clinton about Symbion, a small, quasi-federal agency called the Millennium Challenge Corporation (MCC) granted the company $100 million in ....
See More

My Take.
Maria Sarungi-Tsehai, Sisi Tanzania tulichotaka ni umeme, bila kujali kampuni ni nani, ni ya wapi na inamilikiwa na nani!. Tangu ilipokuja nchini kwa jina la Richmond, na baadae Dowans, na kutuletea umeme kwa kutucharge capacity charge ya shilingi milioni 152 kwa siku, ilikutwa ni kampuni hewa!, Tume ya Mwakyembe ilipobaini hayo madudu, tukamtoa kafara Lowassa, tukavunja mkataba na tukahakikishiwa hakuna madhara!. Zitto Kabwe akashauri tuinunue mitambo hiyo, akagomewa!, tena tukaona bora kuwasha mitambo ya IPTL ambayo ni chakavu mara 100 kuliko Richmond, uzalishaji wa umeme kidogo, kwa gharama kubwa na uchafuzi mkubwa wa mazingira, lakini watu bungeni walijiapiza kuliko kutumia Richmond, "Over my dead body!". Tukapelekwa mahakamani, tukashindwa na kudaiwa tozo ya Dowans, watu wakasema hatulipi!. Wenye pesa zao wakainunua na kuibadili jina to Simbion. Ukweli ni kuwa ile tozo tumeilipa kimya kimya na tunaifidia kwenye bili za umeme!, Richmond ndio ile ile Dowans, na ndio hii hii Simbion. There is no any justification at all, kama tuliikataa Dowans na kuikubali Simbion!, mitambo ni ile ile, umeme ni ule ule tulioukataa, na capacity charge ni ile ile milioni 152 kwa siku na tunalipa mpaka kesho!. Watu wale wale walioilaani Richmond, na kujiapiza "over my dead body!", ndio wale wale waliokuwa waki dance na Mama Clintoni pale Siombion!. Ukweli ni kampuni hewa, na wamiliki hewa yenye usajili hewa, ila mitambo ni mitambo ya ukweli, inafua umeme wa ukweli, tunacholipia sisi ni ile mitambo na ule umeme!. .Tukiambiwa sisi Watanzania ni watu wa ajabu sana, tunajifanya kushangaa!, Hata Magufuli hii kasi aliyoanza nayo ni nguvu tuu ya soda, CCM bado ni ile ile juzi, jana, leo na hata milele!.

Pasco
Tozo tumelipa, na mitambo tumeinunua.
P
 
Back
Top Bottom