Ya Symbion na Pesa za MCC yaibuka upya kule Marekani

Ya Symbion na Pesa za MCC yaibuka upya kule Marekani

Pasco, una ugomvi gani na Mh Magufuli? Umekuwa ukimpinga pasipo na sababu za msingi, umekuwa ukionyesha chuki za wazi kwake, roho imekuwa ikikuuma sana tangia anguko la Lowasa, japo yeye Keisha kubali kushindwa, lakini we we bado unaonyesha uko kulekule kwenye siasa, na sasa unaleta siasa za Maji taka, nyie ndio mlikuwa mstari Wa mbele kumkosoa Kikwete huku ukithubutu kumwita majina ya ajabu ajabu pamoja na kejeli. Hizi jitihada za wazi za Mh Rais were unaziita nguvu ya soda? Au we we nawe ni jipu pia? Kwa kuhusisa habari hii tens umesema imetoka Marekani na jitihada za Mh Rais kuwa ni nguvu za soda na pata wasiwasi kuwa ulikuwa ukitumika upande Wa Lowasa, hill sio tatizo kwani kila MTU alikuwa na upande wake kwa sababu zake, lakini wewe inaonekana ulikuwa na sababu zako binafsi. Nakupa tu ushauri mwache Rais afanye kazi yake, watanzania wameisha onyesha imani nae, wewe mwenye maslahi binafsi kaa pembeni. Ikiwa in nguvu ya soda sawa, nguvu ya whisky sawa, nguvu ya viroba sawa, nguvu ya komoni sawa, nguvu ya togwa sawa, kumbuka kuwa unatakiwa kufanya kazi tu, Tanzania ya Magufuli ni kazi tu

Mkuu naona umemwaga Povuuu....lkn hujaweza kujibu kilichoandikwa.....Hebu punguza Tempreture kisha jadili hoja iliyoko mezani
 
Capacity charge or demand charge is an addition billed amount that cover the difference A CUSTOMER EXPECTS TO HAVE AVAILABLE and THE ENERGY THAT CUSTOMER ACTUALLY USE.

Hapa nadhani kama mteja anategemea megawatt umuuzie 1000.

Kisha wewe mteja ukatumia megawatt 500,hiyo tofauti ya megawat 500 ambazo hazikutumika zinatakiwa zilipwe kama capacity charge.



Calculated based on DIFFERENCE between a customer's peak energy use durring billing period and their normal use during the same period,if a customer expects to have substantial more power availabe to them than they actually use,then Capacity charge is applied to cover the difference.


It is not a means of cheating a customer by CHARGING FOR UNUSED ENERGY,instead they are a means for INSURING that CuStomer can have larger than normal supplies of energy AVAILABLE TO THEM at a moment notice.



Sasa lakini kwanini hawa mbuzi wanacharge hata wakati mitambo haiwaki na hata kama inawaka umeme unakua hautoshi?
 
Lowassa anahusika maana ni business partners na Rostam ambaye amehusika na Richmond na baadaye Dowans. Dili la Dowans na Symbion ilifanywa na Rostam. Ndiyo maana Lowassa hawezi kamwe kusema chochote zaidi ya kusema hahusiki.
Hicho ulioandika hapo ndo kipimo cha ujinga wako na upumbav wako pia,
 
Hivi ni kwanini hawataki kusema ukweli kampuni ni ya nani?.
Hii haungii akilini. Ni sawa ukakuta duka lina kila kitu ndani, lipo wazi na biashara linafanya, halafu unaambiwa eti mmiliki wake hafahamiki.
 
Wanabodi, hii nimeikuta kule fb, kama imeishaletwa humu, iunganishe kule ilipo!.

Hillary Was Scheduled To Meet Privately With Crony Lobbying Her For Africa Business
Hillary Clinton's State Department schedule includes an entry for a meeting with former Ambassador Joseph Wilson in December 2009, just a month after the…
DAILYCALLER.COM

Maria Sarungi-Tsehai
12 hrs ·
Jamani hii imeandikwa na gazeti la huko Marekani siyo sisi waafrika na ma-conspiracy theory zetu! Sasa tunaona kumbe MCC yote huku inahusiana na Clinton na Symbion. Dah! Hebu someni article yote kwanza Dan Nkurlu Evarist Chahali Lusajo Lazarus Mwaisaka Mbaraka Islam Mimi Mwanakijiji Zitto Kabwe Maxence Melo
Months after Wilson contacted Clinton about Symbion, a small, quasi-federal agency called the Millennium Challenge Corporation (MCC) granted the company $100 million in ....
See More

My Take.
Maria Sarungi-Tsehai, Sisi Tanzania tulichotaka ni umeme, bila kujali kampuni ni nani, ni ya wapi na inamilikiwa na nani!. Tangu ilipokuja nchini kwa jina la Richmond, na baadae Dowans, na kutuletea umeme kwa kutucharge capacity charge ya shilingi milioni 152 kwa siku, ilikutwa ni kampuni hewa!, Tume ya Mwakyembe ilipobaini hayo madudu, tukamtoa kafara Lowassa, tukavunja mkataba na tukahakikishiwa hakuna madhara!. Zitto Kabwe akashauri tuinunue mitambo hiyo, akagomewa!, tena tukaona bora kuwasha mitambo ya IPTL ambayo ni chakavu mara 100 kuliko Richmond, uzalishaji wa umeme kidogo, kwa gharama kubwa na uchafuzi mkubwa wa mazingira, lakini watu bungeni walijiapiza kuliko kutumia Richmond, "Over my dead body!". Tukapelekwa mahakamani, tukashindwa na kudaiwa tozo ya Dowans, watu wakasema hatulipi!. Wenye pesa zao wakainunua na kuibadili jina to Simbion. Ukweli ni kuwa ile tozo tumeilipa kimya kimya na tunaifidia kwenye bili za umeme!, Richmond ndio ile ile Dowans, na ndio hii hii Simbion. There is no any justification at all, kama tuliikataa Dowans na kuikubali Simbion!, mitambo ni ile ile, umeme ni ule ule tulioukataa, na capacity charge ni ile ile milioni 152 kwa siku na tunalipa mpaka kesho!. Watu wale wale walioilaani Richmond, na kujiapiza "over my dead body!", ndio wale wale waliokuwa waki dance na Mama Clintoni pale Siombion!. Ukweli ni kampuni hewa, na wamiliki hewa yenye usajili hewa, ila mitambo ni mitambo ya ukweli, inafua umeme wa ukweli, tunacholipia sisi ni ile mitambo na ule umeme!. .Tukiambiwa sisi Watanzania ni watu wa ajabu sana, tunajifanya kushangaa!, Hata Magufuli hii kasi aliyoanza nayo ni nguvu tuu ya soda, CCM bado ni ile ile juzi, jana, leo na hata milele!.

Pasco



Samahani hii content mbona sii pati?
Nisaidieni link
 
@Mkaruka tunazungumzia wizi billions of money inayoibwa na mafisadi wa MaCCM wewe unaleta utani??
Capacity Charges Tshs 152,000,000/" kila Siku tunalipa kwa mtambo mmoja tuu!!
Je kwa mitambo mitatu ni Tshs ngapi??
Wabunge chunguza hiyo, tunalipa hadi lini, analipwa nani??
 
IQ ya mtanzania inaanzia hapa hapa JF.Ukitaka kujua ujinga wetu pitia JF.Wacheni tuliwe tu!

Utashangaa kuna watu watakuja hapa kutetea huu wizi ili hali nao ni watanzania na wanalipa kodi kama mimi na wewe.
Ni kweli kabisa. Ukitaka kupima kiwango cha ujinga nchi hii tembelea JF inayoitwa Home of great thinkers. Kama hao wanaojiita ma GT ndio wako hivi jee huko kwenye Kata na vijijini kutakuwa kukoje?
Usishangae kwa nini kuna kitu kinaitwa ushindi wa kishindo lakini ukiwauliza hao wapiga kura wamenufaika nini for 50+ years watakuambia mke wangu alipata pea mbili kanga, mie T shirt na Buk 10 za kunywea.
 
Kwa wenye calculate mnaweza fanya hesabu tujue milioni 152 ni unit ngapi za umeme,au megawatt ngapi,isijekuwa tunalipia service charge kwa pesa nyingi,kuliko hata tunazolipia umeme halisi,hapo ndo siri ipo kama kuna watu wanapiga ama hapana
 
Sisi tumerogwa na alie turoga keshakufa

Ina maana alieturoga hamumjui , ni kweli kafa, though bado mna mpenda sana kwa mazuri yake machache aliyofanya, watz tutaendelea kuwa wajinga na kukandamizwa na waliopo madarakani kwa Miaka mingine mingi ijayo, kwa faida zao binafsi, ilhali tukiendelea kukaa Kando tukishuhudia, na wale wajinga zaidi kufurahia wasichokielewa

Rip alieturoga
 
Wakati tunatumia umeme megawatt zisizozidi 1000 kwa siku,inaonekana kama bei ya capacity charge kwasiku ni sawa na bei ya Megawatt 1800
 
Ina maana alieturoga hamumjui , ni kweli kafa, though bado mna mpenda sana kwa mazuri yake machache aliyofanya, watz tutaendelea kuwa wajinga na kukandamizwa na waliopo madarakani kwa Miaka mingine mingi ijayo, kwa faida zao binafsi, ilhali tukiendelea kukaa Kando tukishuhudia, na wale wajinga zaidi kufurahia wasichokielewa

Rip alieturoga
Mkuu hivi ni kweli hakuna mtu anayeweza kututibu ugonjwa wetu kwa vile aliyeturoga alishatangulia mbele ya haki..Kama hakuna anayeweza kutibu ugonjwa wetu,basi kuwe na mikakati angalau ya kupunguza makali ya maambukizi..R.I.P mchawi wetu.
 
Pasco, una ugomvi gani na Mh Magufuli? Umekuwa ukimpinga pasipo na sababu za msingi, umekuwa ukionyesha chuki za wazi kwake, roho imekuwa ikikuuma sana tangia anguko la Lowasa, japo yeye Keisha kubali kushindwa, lakini we we bado unaonyesha uko kulekule kwenye siasa, na sasa unaleta siasa za Maji taka, nyie ndio mlikuwa mstari Wa mbele kumkosoa Kikwete huku ukithubutu kumwita majina ya ajabu ajabu pamoja na kejeli. Hizi jitihada za wazi za Mh Rais were unaziita nguvu ya soda? Au we we nawe ni jipu pia? Kwa kuhusisa habari hii tens umesema imetoka Marekani na jitihada za Mh Rais kuwa ni nguvu za soda na pata wasiwasi kuwa ulikuwa ukitumika upande Wa Lowasa, hill sio tatizo kwani kila MTU alikuwa na upande wake kwa sababu zake, lakini wewe inaonekana ulikuwa na sababu zako binafsi. Nakupa tu ushauri mwache Rais afanye kazi yake, watanzania wameisha onyesha imani nae, wewe mwenye maslahi binafsi kaa pembeni. Ikiwa in nguvu ya soda sawa, nguvu ya whisky sawa, nguvu ya viroba sawa, nguvu ya komoni sawa, nguvu ya togwa sawa, kumbuka kuwa unatakiwa kufanya kazi tu, Tanzania ya Magufuli ni kazi tu


Pole sana,naona unabubujika povu kama umekula Sabuni.Huna sababu za kumshambulia Pasco wala kumuhimiza afanye Kazi,Kazi ndiyo kipimo cha utu.Waliozoea kuishi kwa jasho lao kamwe hawahimizwi kufanya Kazi kwa sababu kazi kwao ni wajibu na ni heshima inayohifadhi utu wao.

Wewe unayeishi kwa kujibanza kwenye kwapa za mabwana zako kama kupe ndiyo ulipaswa uhimizwe kufanya Kazi ili ujiepushe na fedheha ya kuishi kwa kulamba visigino vya watu na kufunga Gidamu za viatu vyao.

Watanzania tumepigwa upofu,laiti tungekuwa na dhamira ya dhati ya kuliokoa Taifa kutoka katika malipo haya dharimu,kamwe tusingeishia kutoana "Kafara" za kisiasa.Lakini kwa bahati mbaya hitaji la wanasiasa lilikuwa kumtoa kafara Mh.Lowassa,badala ya kuokoa pesa za mvuja jasho wa nchi hii.

Yuko wapi Mwakyembe na kamati yake?Yako wapi maazimio ya kamati teule?Yuko wapi Dkt.Mihogo?Kama kweli watu hawa walisukumwa na dhamira ya kweli,mbona tangu 2008 hadi leo,Taifa limeendelea kupoteza fedha kupitia miradi ya Umeme?
 
Back
Top Bottom