Ya Symbion na Pesa za MCC yaibuka upya kule Marekani

Ya Symbion na Pesa za MCC yaibuka upya kule Marekani

Ni vipi Capacity charge itasimishwa tusiendelee kuilipa?Wabunge na Waziri wa Nishati Mtafanya nini kuokoa janga hili?Tuache kila kukicha ni Capacity charge Richmond Symbion ipatikane Solution.Wadanganyika tunadaganyika kweli.Profesa Muhogo Waziri wa Nishati njoo mbele utupe Suluhisho Tunakuaminia ktk Sekta hii uliyobobea
 
Tungeepuka capacity charge ya million 152 kwa siku, tungefanya mambo mengi sana ya muhimu. Kumbuka capacity charge si simbion pekee, tunalipa capacity charge kwa IPTL, Songas, nk.
Najiuliza, kwa nini ulipe capacity charge kampuni inayofanya biashara na wewe? Otherwise kama inafanya biashara on your behalf


Stomach politics ni shida watu wanatumwa na wazee wezi,wakishatumika NDP akili zao zinajidai eti zimekaa sawa. Oneni aibu kula matapishi
 
Hii symbion ina uhusiano na MCC. Ha ha ha ha
Yani wanatoa MCC 10 kwa mkono wa kushoto Symbion inarudisha kwao kwa mkono mwingine 100. Kweli msaada una masharti.
 
Sijaelewa au ?? Sasa mbona Maria na Chahali walikesha kwenye mitandao hadi kumwita Lowasa ni jambazi kabla ya uchaguzi,sasa hivi wanapiga kelele za nini ilhali Lowasa alitolewa kafara kwa jambo lililokua nje ya uwezo wake ??
Kwa maana hiyo Mwakyembe na tume yake waliudanganya uma kama hizi habari ni za kweli Mwakyembe hatakiwi kuwa hata diwani achilia mbali waziri

Pesa bhana unawafanya watu wageuke vilaza wa dunia.Kuna watu walikua wanapga kelele sana before general election lkn sasa wanaongea mengine kabsaa.

Magufuli kawasomesha namba ndani ya dk45 tu za kipindi cha kwanza na sasa wanamuona EL hana kasoro yoyote.

Ngoja tusubir tutashuhudia post nyingi sana za vilaza kama maria sarungi.....
 
Kwani aliyeileta Richmond ni nani? Si nasikia aliwahi kugombea urais na chama kimoja cha upinzani, na yupo tu wanachama wamuhoji basi.
 
KWa hiyo Richmond maana yake ni MCC wanayotumia kama pundo kumuwekea nyasi ukiwa umempanda ama vipi?
 
kumbe na wewe akili yako kama ya Lowasa au maria sarungi hakuna hoja wala ukweli hapo ni porojo tu weka viambatisho kwa unajua unachozungumza.
Wewe ndio mfano wa watanzania wenye ubongo wa Kuku endelea tu kutema pumba
 
My Take.
Maria Sarungi-Tsehai, Sisi Tanzania tulichotaka ni umeme, bila kujali kampuni ni nani, ni ya wapi na inamilikiwa na nani!. Tangu ilipokuja nchini kwa jina la Richmond, na baadae Dowans, na kutuletea umeme kwa kutucharge capacity charge ya shilingi milioni 152 kwa siku, ilikutwa ni kampuni hewa!, Tume ya Mwakyembe ilipobaini hayo madudu, tukamtoa kafara Lowassa, tukavunja mkataba na tukahakikishiwa hakuna madhara!. Zitto Kabwe akashauri tuinunue mitambo hiyo, akagomewa!, tena tukaona bora kuwasha mitambo ya IPTL ambayo ni chakavu mara 100 kuliko Richmond, uzalishaji wa umeme kidogo, kwa gharama kubwa na uchafuzi mkubwa wa mazingira, lakini watu bungeni walijiapiza kuliko kutumia Richmond, "Over my dead body!". Tukapelekwa mahakamani, tukashindwa na kudaiwa tozo ya Dowans, watu wakasema hatulipi!. Wenye pesa zao wakainunua na kuibadili jina to Simbion. Ukweli ni kuwa ile tozo tumeilipa kimya kimya na tunaifidia kwenye bili za umeme!, Richmond ndio ile ile Dowans, na ndio hii hii Simbion. There is no any justification at all, kama tuliikataa Dowans na kuikubali Simbion!, mitambo ni ile ile, umeme ni ule ule tulioukataa, na capacity charge ni ile ile milioni 152 kwa siku na tunalipa mpaka kesho!. Watu wale wale walioilaani Richmond, na kujiapiza "over my dead body!", ndio wale wale waliokuwa waki dance na Mama Clintoni pale Siombion!. Ukweli ni kampuni hewa, na wamiliki hewa yenye usajili hewa, ila mitambo ni mitambo ya ukweli, inafua umeme wa ukweli, tunacholipia sisi ni ile mitambo na ule umeme!. .Tukiambiwa sisi Watanzania ni watu wa ajabu sana, tunajifanya kushangaa!, Hata Magufuli hii kasi aliyoanza nayo ni nguvu tuu ya soda, CCM bado ni ile ile juzi, jana, leo na hata milele!.

Pasco
Kumbe huyu mama ana roho mbaya kwa watanzania hivi?
 
Hahaha nchi hii usipotuliza akili unaweza kuihama, dawa ni kujidai yanayotokea huyaoni na hayakuhusu.
 
Kilichotokea kule ccm wakati huo ilikuwa vita ya wanamtandao (wenye pesa bila elimu) na wasio wana mtandao (wenye elimu hawakuwa na pesa) kina Mwakyembe na genge lao.
Wakaapa hawatumii mitambo hiyo hata ingekuja kwa jina la YESU au Muhammad. Siyo kwamba ilikuwa haiwaki, bali ni kwasababu kuna watu walikuwa wanapata faida, Rostam na Lowassa., hapo kimbembe kikatokea mpaka leo Lowassa na Rostam bado wanauguza majeraha.
Kwakuwa mimi hayanihusu na sitaki kuyafahamu, umeme upo tunalipa kodi inatosha. CCM akili zao ni sawa kabisa na signature ya Chakochangu inavyosema "Wana akili za kenge, anyekimbia mvua anaingia mtoni".
 
Wanabodi, hii nimeikuta kule fb, kama imeishaletwa humu, iunganishe kule ilipo!.

Hillary Was Scheduled To Meet Privately With Crony Lobbying Her For Africa Business
Hillary Clinton's State Department schedule includes an entry for a meeting with former Ambassador Joseph Wilson in December 2009, just a month after the…
DAILYCALLER.COM

Maria Sarungi-Tsehai
12 hrs ·
Jamani hii imeandikwa na gazeti la huko Marekani siyo sisi waafrika na ma-conspiracy theory zetu! Sasa tunaona kumbe MCC yote huku inahusiana na Clinton na Symbion. Dah! Hebu someni article yote kwanza Dan Nkurlu Evarist Chahali Lusajo Lazarus Mwaisaka Mbaraka Islam Mimi Mwanakijiji Zitto Kabwe Maxence Melo
Months after Wilson contacted Clinton about Symbion, a small, quasi-federal agency called the Millennium Challenge Corporation (MCC) granted the company $100 million in ....
See More

My Take.
Maria Sarungi-Tsehai, Sisi Tanzania tulichotaka ni umeme, bila kujali kampuni ni nani, ni ya wapi na inamilikiwa na nani!. Tangu ilipokuja nchini kwa jina la Richmond, na baadae Dowans, na kutuletea umeme kwa kutucharge capacity charge ya shilingi milioni 152 kwa siku, ilikutwa ni kampuni hewa!, Tume ya Mwakyembe ilipobaini hayo madudu, tukamtoa kafara Lowassa, tukavunja mkataba na tukahakikishiwa hakuna madhara!. Zitto Kabwe akashauri tuinunue mitambo hiyo, akagomewa!, tena tukaona bora kuwasha mitambo ya IPTL ambayo ni chakavu mara 100 kuliko Richmond, uzalishaji wa umeme kidogo, kwa gharama kubwa na uchafuzi mkubwa wa mazingira, lakini watu bungeni walijiapiza kuliko kutumia Richmond, "Over my dead body!". Tukapelekwa mahakamani, tukashindwa na kudaiwa tozo ya Dowans, watu wakasema hatulipi!. Wenye pesa zao wakainunua na kuibadili jina to Simbion. Ukweli ni kuwa ile tozo tumeilipa kimya kimya na tunaifidia kwenye bili za umeme!, Richmond ndio ile ile Dowans, na ndio hii hii Simbion. There is no any justification at all, kama tuliikataa Dowans na kuikubali Simbion!, mitambo ni ile ile, umeme ni ule ule tulioukataa, na capacity charge ni ile ile milioni 152 kwa siku na tunalipa mpaka kesho!. Watu wale wale walioilaani Richmond, na kujiapiza "over my dead body!", ndio wale wale waliokuwa waki dance na Mama Clintoni pale Siombion!. Ukweli ni kampuni hewa, na wamiliki hewa yenye usajili hewa, ila mitambo ni mitambo ya ukweli, inafua umeme wa ukweli, tunacholipia sisi ni ile mitambo na ule umeme!. .Tukiambiwa sisi Watanzania ni watu wa ajabu sana, tunajifanya kushangaa!, Hata Magufuli hii kasi aliyoanza nayo ni nguvu tuu ya soda, CCM bado ni ile ile juzi, jana, leo na hata milele!.

Pasco
@Pascal Mayalla Magufuli ashafariki lakini je alikuwa na nguvu ya soda?
 
Back
Top Bottom