Ya Polisi na vyama vya siasa Tanzania

tuombe hii dhahma iishe bila more deaths kwani waliokufa wana familia pia

politics should not divide us like that
 
tuombe hii dhahma iishe bila more deaths kwani waliokufa wana familia pia

politics should not divide us like that

Wanasema mchuma janga hula na wa kwao. Tuegemee zaidi kwenye majadiliano na suluhu nyingine za kidiplomasia.
 
naomba sana wanaccm na hasa swahiba kibs wasisahau kwamba when you fight with your son who is at the adolescent age, you are bound to be humiliated....

  1. arusha is the geneva of africa... They would have chosen the better battle field not arusha
  2. tourism industry is already damaged... While allowing the matching would have just ended with followers feeling fools of themselves
  3. eaf's hub is arusha, i cant imagine how kenyans are smiling right now

while you think you are slapping your wife, just remember your neighbours are enjoying your degradation

how wrong did the government go on this? No one knows

i appreciate this bro
 
Wanasema mchuma janga hula na wa kwao. Tuegemee zaidi kwenye majadiliano na suluhu nyingine za kidiplomasia.
sijui wa mwanza, shinyanga, kigoma, mbeya, iringa, manyara na kilimanjaro wanajiandaaje na hii hali
 
Mchungaji Slaa na Mbowe lazima wawe responsible kwa vifo vya wananchi wasio na hatia, kila nchi inakuwa na ulinzi usipofuata sheria lazima sheria ufuate mkondo wake.

Hakukuwa na sababu hawa wachungaji walazimishe maandamano yasiyo kuwa na dira yoyote, either wangeomba kibali na kufuata utaratibu uliokuwepo, TZ haktokuwa na mtu yoyote kuwa above the law. Mchungaji lazima aadhibiwe bila kujali
 
Mchungaji anaanza kuishiwa kisiasa, ataishia kama mchungaji mwenzake Mtikila, wameacha kazi ya Mungu na kukimbilia utawala kimabavu

Tanzania hatutaki siasa za mabavu na kusababisha maisha kuwa magumu kwa watu wengine, kama mchungaji huna sera kaa pembeni, change zitakuja kwa kutumia ballot paper sio kwa jazba

Chizi wewe .. kwani nani ana siasa za mabavu na kusababisha maisha kuwa magumu kwa watu wengine zaidi ya hao mabwana zako? Angalia wanaotumia hata kodi yetu kununulia mabomu ya machozi na marungu ya kupiga raia!
 
I am sure hujasoma history na kama umesoma basi ulikua selule
 
tuombe hii dhahma iishe bila more deaths kwani waliokufa wana familia pia

politics should not divide us like that

i gree with u.
Kama umeambiwa fanya mkutano usiandamane nawewe ukaandamana kisha likatokea la kutokea then whom to be blamed for this deaths
 
naomba sana wanaccm na hasa swahiba kibs wasisahau kwamba when you fight with your son who is at the adolescent age, you are bound to be humiliated....

  1. arusha is the geneva of africa... They would have chosen the better battle field not arusha
  2. tourism industry is already damaged... While allowing the matching would have just ended with followers feeling fools of themselves
  3. eaf's hub is arusha, i cant imagine how kenyans are smiling right now

while you think you are slapping your wife, just remember your neighbours are enjoying your degradation

how wrong did the government go on this? No one knows

mafia
 
Chizi wewe .. kwani nani ana siasa za mabavu na kusababisha maisha kuwa magumu kwa watu wengine zaidi ya hao mabwana zako? Angalia wanaotumia hata kodi yetu kununulia mabomu ya machozi na marungu ya kupiga raia!

Kila nchi inasheria zake kama Mchungaji anataka kuishi Tanzania lazima afuate sheria za nchi, kamwe hatokuwa above the law hata sikumoja,

Huyu kavunja sheria na kasababisha vifo vya wananchi lazima apelekwe mahakamani, asitegemee ataenda ikulu kwa kutumia mabavu, udini na kikabila kidogo kinacho muunga mkono

Sheria ifuate mkondo, full stop!!
 
facebook.jpg

Kibunango rekebisha hii haraka. WATU WAMEISHAPOTEZA MAISHA NA WEWE UNASEMA GOOD.
Tunakujua vilivyo, kwa hiyo na wewe ulikuwa unaomba watu wafe? Be carefull. and watch yourself. Kauli zingine zitakuponza wewe na familia yako.
 
Acid u gotta it right mzee hawa watu wanajisahau sana see, hivi polisi wameshindwa kugundua kuwa hawawawezi watu wa Arusha? ni vyema wakatafuta njia nyingine kuliko kuharibu namna hii sasa mji wa kitalii wanaufanya uwanja wa vita kweli mweh? naanza kuona the way watalii watakavyoiogopa Arusha
 
Ukitaka kujua nchi yetu sasa inaongozwa na loons subiri reactions kutoka kwa the so called viongozi wa serikali na kwa utamaduni uliojengeka waziri wa mambo ya ndani anaweza kuwa kimya kwa muda akisubiri akina Makamba na JK waongee kwanza!
 
Nini hasa chanzo cha haya yote?
Posts zinaonyesha ni kama polisi walikuja from no where, no reason na kuanza kuua watu tu.
Hebu tupeni na chanzo
 
Back
Top Bottom