Ya Polisi na vyama vya siasa Tanzania

Hiyo mahakama ya kesho itakuwa hewani? wasilete Mchezo na watu wenye Uchungu na hilo swala.

Pamoja viongozi Wa chadema hakuna kulala mpaka kieleweke.
 
Huu ni uonevu, sijui raia wakimbilie wapi kama polisi ndio chanzo cha mauaji. Poleni sana Arusha, RIP waliofariki.
 
Hii inabadilisha historia ya Tanzania sasa! Na hali itaendelea kuwa mbaya zaidi inapaswa kesho Watanzania wote waandamane kwa kulaani mauaji ya Watanzania wasiokuwa na hatia yaliyotokea leo.
Natamani sana hili hata usiku huu mimi ningeingia mtaani kulaani uonevu huu uliokithiri!
Watanzania tuamkeee
 
Du w atu waandae dhamana tu, kwani ni haki ya kila raia,
Na maandamano au Mkutano Sheria inaruhusu mradi uwaambie POLISI nao watakupa ulinzi.
sijui watashtakiwa kwa makosa yapi,
Kuandamana, Uhaini, Uchochezi au kubambikiwa
 
Naomba sana wanaCCM na hasa swahiba Kibs wasisahau kwamba when you fight with your son who is at the adolescent age, you are bound to be humiliated..
Kamanda kama unarefer post yangu hapa, nina maana kuwa ni vizuri kama watapelekwa mahakamani mapema, hii itasaidia kujua wanashtakiwa na nini, na kuweza vile vile kupata dhamana, kuliko kuwekwa rumande bila kufunguliwa mashtaka.
 
Kamanda kama unarefer post yangu hapa, nina maana kuwa ni vizuri kama watapelekwa mahakamani mapema, hii itasaidia kujua wanashtakiwa na nini, na kuweza vile vile kupata dhamana, kuliko kuwekwa rumande bila kufunguliwa mashtaka.
Thanks ila pia uelewe kwambs si mimi peke yangu niliyekuelewa vibaya

Thanks for taking time kunielewesha.... i am deeply hurt
 
Mchungaji anaanza kuishiwa kisiasa, ataishia kama mchungaji mwenzake Mtikila, wameacha kazi ya Mungu na kukimbilia utawala kimabavu

Tanzania hatutaki siasa za mabavu na kusababisha maisha kuwa magumu kwa watu wengine, kama mchungaji huna sera kaa pembeni, change zitakuja kwa kutumia ballot paper sio kwa jazba
 
Walikufa 38 pemba 2001 chini ya jemadari William Mkapa, Nini watu 10?

Hizo mali za watu mlizochoma kwa wivu na uhuni nani atalipa?
two wrongs wont make it right... and dont tell us kwamba tulifurahia mauaji ya pemba dogo

May the good Lord lead you to justice
 
Kazi kweli kweli. Ukweli utajulikana huko huko mahakamani....Naamini CHADEMA inawanasheria wazuri tu...kwa hilo wala si tatizo..
 
They have elected them for themselves. Haina haja tena raia kufa kwa ajili ya chama wala kiongozi. Anyhow what is the motive behind?
 
rudi shule, kale katoto kako ka mwisho katabadilisha maelezo yako baada ya miaka kumi na tano.
 
poleni sana wakuu wetu. tuko pamoja nguvu ya umma imeonekana. mahakamani ndo kwetu hawatuwezi coz wanajaribu kuzuia mishale kwa kutumia shuka.
 
CCM IS SOWING THE SEED OF ITS OWN DISTRUCTION. Tanzania ya leo sio Tanzania ya mwaka 1947. Hata kama watawapeleka mahakamani harakati za ukombozi bado zitaendelea. Historia ya wapambanaji popote pale duniani uwa inakuumbwa na misukosuko. LONG LIVE CHADEMA.
 
Naomba sana wanaCCM na hasa swahiba Kibs wasisahau kwamba when you fight with your son who is at the adolescent age, you are bound to be humiliated....

  1. Arusha is the Geneva of africa... they would have chosen the better battle field not arusha
  2. tourism industry is already damaged... while allowing the matching would have just ended with followers feeling fools of themselves
  3. EAF's hub is arusha, i cant imagine how Kenyans are smiling right now

While you think you are slapping your wife, just remember your neighbours are enjoying your degradation

How wrong did the government go on this? no one knows

Acid ujumbe kama huu use unauandika kwa kiswahili ili Maralia Sugu nae aambulie...
 
Back
Top Bottom