zumbemkuu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2010
- 11,322
- 9,771
kesi yako ya wizi wa simu umeimaliza?DDP. peleka na dr slaa anahusika kesho maleta kwako ushahidi
kesi yako ya wizi wa simu umeimaliza?DDP. peleka na dr slaa anahusika kesho maleta kwako ushahidi
Wewe ndo umeelewa hivyo??? Kweli ni tabia ya MaCCM kulisha watu maneno, mimi nimeandika just two lines, wewe unakuja na maneno Lundo, afu unaniuliza, did I mean....................Hiyo ni meaning yako kiongozi!!!
Hayo ndiyo matokeo ya kuongoza nchi kwa nguvu za kishirikina!!!! Hakuna maadili tena katika Tanzania!!!!
Mr SIMU hapo kwenye bold ndo nini? Hivi ni kweli na kaelimu kako ka pale idodomiya umekubali kuajiriwa kazi ya jf? hii shida ndugu yangu
mkuu na mimi hilo ndo swali langu kuu, hasa inapokuja swala la "mlalamikaji ni nani? aliyeetengeze video ama aliyeona?Kama ccm wana mbavu, huyo aliyejitambulisha katika JF kama Bukoba boy ajitokeze mahakamani tuone!!! Kwa nini polisi waifanyie kazi anonymous video? CDM inazidi kupaa kila kukicha!!!!!!
Ndiyo sababu wamevamia ofisi za CHADEMA Jumapili, ili wapate chochote kwa ajili ya Jumatatu?
Hivi jamani hawa watu hawana hofu ya Mungu!!? Unambambikizia mtu kesi kwasababu ya mambo ya kidunia tu!!?
Kesi tengenezeni, muhukumuni tu mnavotaka ila kumbukeni "DUNIANI TUNAPITA NA SIKU MOJA MACHUNGU HAYA YA LWAKATARE YATAWAGEUKIA!!"
yetu macho soon tutashuhudia nani kaingia choo cha kike wakati yeye dume
Polisi wetu wanaweza forensic computer analysis?Ama unadhani ukisema "IT" ndo umemaliza kila kitu?Pro-Chadema JF naona mnaamua kujifariji na kujilwaza kwa akili yenu polisi hawana kitengo cha IT kuamtia hatiana Lwakatare.
Polisi wetu wanaweza forensic computer analysis?Ama unadhani ukisema "IT" ndo umemaliza kila kitu?
Ni kweli....Na wakishindwa kumuunganisha na issue ya Kibanda basi hakuna kesi.Sidhani kama wana 'proper' forensic lab hawa watu.
Labda hiyo subira mnayotaka ivutwe ni hadi lini? Kama kesho asubuhi Lwakatare anatakiwa kufikishwa mahakamani, je atashitakiwa kwa kosa gani kama hadi hivi sasa ushahidi wa kutosha kuweza kumshitaki haujapatikana? Nafikiri ndiyo maana polisi leo walikuwa ofisi za CHADEMA kujaribu kutafuta ushahidi mwingine zaidi ya ule wa video. Na inaonekana pamoja na kukamatwa kwa Ludovick bado hawajaweza kupata sababu za msingi za kuwashitaki hawa bwana.
Kukosekana kwa ushahidi mwingine zaidi ya huo wa video unaweza kuwa ni ushahidi mwingine kwamba video ni ya CCM. Kwanini wasianze uchunguzi wa kimtandao kujua aliyeupload video kwenye youtube ni nani? Naamini wakimpata aliyeupload video kwenye youtube watakuwa na uwezo wa kujua alikoitoa. Lakini hivi sasa naona kama wanatapatapa.