Ya Lwakatare: DPP, Polisi watofautiana

Ya Lwakatare: DPP, Polisi watofautiana

Mkuu Just,
Labda ni lugha inachanganya hapo ila kwa uelewo wangu mimi hivyo vifungu vinatosha kabisa kuwatia hatiani wahusika kwa kutumia ile video.

Kwa taarifa tu, pia sheria zetu zinaruhusu mifano kutoka nchi mbalimbali za Commonwealth katika kuchambua maana ya neno. Uamuzi uliotolewa na judge kwenye nchi moja huchukuliwa kama mwongozo.

UK kulishatokea case ambayo hata ilikuwa na utata kuliko hii. Waliotaka kufanya ugaidi hawakufanya tendo lenyewe wala hata hawakuchagua target. Wakati hapa target ni mhariri wa Mwananchi; case ya hao wala hata target walikuwa bado hawajaamua. Judges waliona hilo ni tendo tosha la kigaidi hata kama hakuna mtu aliyekuwa targeted.

Hivyo vifungu kama kweli ile video ni genuine nafikiri vinajitosheleza mno.

Ni kweli kabisa tatizo ni lugha na hasa tafsiri ya lugha hiyo.
 
Just,
kwako tendo mpaka mtu adhurike?

Ile kukutana tu na kupanga tayari ni tendo la terrorism.

Tafsiri ya neno act ni kubwa zaidi ya unavyofikiria.
terrorist act - the calculated use of violence (or the threat of violence) against civilians in order to attain goals that are political or religious or ideological in nature; this is done through intimidationor coercion or instilling fear

najua tafsiri ya sheria ni ngumu. Je video ili imeonyesha tendo gani? na je ilidhamiria nini au kwa uelewa wa kawaida unaweza kusema ilidhamiria nini?
 
Mkuu Just,
Labda ni lugha inachanganya hapo ila kwa uelewo wangu mimi hivyo vifungu vinatosha kabisa kuwatia hatiani wahusika kwa kutumia ile video.

Kwa taarifa tu, pia sheria zetu zinaruhusu mifano kutoka nchi mbalimbali za Commonwealth katika kuchambua maana ya neno. Uamuzi uliotolewa na judge kwenye nchi moja huchukuliwa kama mwongozo.

UK kulishatokea case ambayo hata ilikuwa na utata kuliko hii. Waliotaka kufanya ugaidi hawakufanya tendo lenyewe wala hata hawakuchagua target. Wakati hapa target ni mhariri wa Mwananchi; case ya hao wala hata target walikuwa bado hawajaamua. Judges waliona hilo ni tendo tosha la kigaidi hata kama hakuna mtu aliyekuwa targeted.

Hivyo vifungu kama kweli ile video ni genuine nafikiri vinajitosheleza mno.
Tukubaliane nawe, na kama ni hivyo swali jingine ni je ushahidi wa video una nafasi gani katika mahakama zetu hapa TZ?.
Na huo ushahidi wa video umepatikana wapi?.
 
"Legal interpretation is special. If law can be interpreted arbitrarily by the persons in power, the very idea of rule of law will become nothing but beautiful word, or even worse. Hence, there are special rules for it" - from google search engine
 
Mkuu,
Labda hayo ndio mambo ya kuyashikia bango kama je kweli ushahidi wa video unakubalika TZ? Je hiyo video ni genuine? Nk.

Lakini hili la kwamba act ina maana mpaka mtu adhurike haliko sahihi.

Tukubaliane nawe, na kama ni hivyo swali jingine ni je ushahidi wa video una nafasi gani katika mahakama zetu hapa TZ?.
Na huo ushahidi wa video umepatikana wapi?.
 
Just,
kwako tendo mpaka mtu adhurike?

Ile kukutana tu na kupanga tayari ni tendo la terrorism.

Tafsiri ya neno act ni kubwa zaidi ya unavyofikiria.
terrorist act - the calculated use of violence (or the threat of violence) against civilians in order to attain goals that are political or religious or ideological in nature; this is done through intimidationor coercion or instilling fear

naomba utusaidie tafsiri ya sheria ya neno "act" au hata ya kizungu tu labda tutabadilisha uelewa.
 
Naomba kuuliza wale walioangalia hiyo video,Je hiyo video inamtaja Msaky kwa majina yake yote,Pili ilimtaja Msaky anafanya kazi wapi maana wakina Msaki wapo wengi?naombeni jibu mlioangalia.Maana mtu usije ukajaribu kujitengenezea movie yako ukamtaja Mtu,ukaja kamatwa Ugaidi,ufafanuzi Please.
 
Mkuu,
Labda hayo ndio mambo ya kuyashikia bango kama je kweli ushahidi wa video unakubalika TZ? Je hiyo video ni genuine? Nk.

Lakini hili la kwamba act ina maana mpaka mtu adhurike haliko sahihi.
Ni kweli lakini nikisoma kwenye Quote ya sheria iliyowekwa hapa sioni sehemu inayotafsiri tukio linaloonekana kwenye Clip ya Lwakatare kamatukio la UGAIDI kama nilivyoku-Quote hapo juu kuwa kulima nayo ni act.
Labda kama kunavipengele ambavyo havijawekwa hapa vinavyohusiana na hii clip. Kuhusu kukutana kupanga kumteka mtu au kumtisha.
 
Naomba kuuliza wale walioangalia hiyo video,Je hiyo video inamtaja Msaky kwa majina yake yote,Pili ilimtaja Msaky anafanya kazi wapi maana wakina Msaki wapo wengi?naombeni jibu mlioangalia.Maana mtu usije ukajaribu kujitengenezea movie yako ukamtaja Mtu,ukaja kamatwa Ugaidi,ufafanuzi Please.
Kwenye maandisha ya mipango ya Lwakatare aliandika namba ya simu ya msacky
 
naomba utusaidie tafsiri ya sheria ya neno "act" au hata ya kizungu tu labda tutabadilisha uelewa.
A Legal meaning of a word act:
Something done; usually, something done intentionally or voluntarily or with a purpose.
The term encompasses not only physical acts—such as turning on the water or purchasing a gun—but also refers to more intangible acts such as adopting a decree, edict, law, judgment, award, or determination. An act may be a private act, done by an individual managing his or her personal affairs, or it may be a public act, done by an official, a council, or a court.
 
Bongo movie nao washitakiwe,sababu huwa wana clip za video zinazoonyesha mbinu,na matendo ya kigaidi au mpaka bukoba boy aiupload youtube.
 
Back
Top Bottom