Ya Lwakatare: DPP, Polisi watofautiana

Ya Lwakatare: DPP, Polisi watofautiana

Hii inatupa somo kubwa hasa kwa hao vilaza wa ccm wavivu wa kufikiri nawanaodhani watatawala milele bila kujua siku ikigeuka kwao itakuwaje?.Kama hii inafanyika kwa mti mbichi watu kama lwakatare ambaye anawatu wanampigia kelele je kwa wanyonge sisi niwangapi wameuliwa na ccm na kutupwa au kufungwa bila kujari? Nauliza niwangapi? Ccm kwanini tuwavumilie kama vile inchi hii niyenu pekeyenu? Au nyie mna hati miliki nyie mbwa?
 
imekula kwao naona sio mchezo....hamuwezi kumpeleka mtu kortini kisa mtu ka upload video youtube s.tupid
 
Wanahaingaika nini kama wanashindwa kumpata aliye-upload kwenye youtube wanashindwa hata kumpata Bukoba boy? Maskini igp & co.
 
Kinachonishangaza haya mambo huwa yanaibuka kati ya polisi na chama cha upinzani chenye nguvu kwa wakati uliopo, miaka ijayo chama kingine kikiibuka kuwa maarufu na threat kwa CCM tutasikia haya mambo. Tulishaona miaka ya nyuma kwa chama cha CUF na sakata la container la visu
 
Ndugu yang Stide maneno yako ni ya kukiri kushindwana kukata tamaa. Ni kama dua la kuku kwa mwewe. Hapana! Tafuta ukweli, haki na uidai. Dunia wote tunapita waonevu na waonewa pia. Mungu ametupa akili wote sawa tofauti ni namna gani tunazitumia. Usiwe kama mwanamke wa Kingoni ambaye yuko tayari kupigwa, kunyanyaswa na mume wake, kisa kulinda ndoa yake akisema We komai tu dadi ndoa yako. Pia usiwe kama mke wa kikurya asipopigwa anaona hajapendwa. HAPANA WATANZANIA HAJATUFIKA MAHALI PA KUSEMA MUNGU ANAJUA KWA MAMBO YA UONEZI. Lazima tujiulize 'kwanini wengine wawe huru kufanya na kusema wakitakacho, lakini wengine wasiwe huru katika nchi moja iliyo huru. Huu ni mkanganyiko. Haukubaliki. Ni akheri kufa umesimama kuliko kufa umechuchuma ukisujudia. Wote sisi ni watanzania hakuna mtanzaia bora zaidi kuliko mwenzie. Yapo ya kumwachia mungu lakini sio haki. Mungu ametuumba wote tukiwa huru lakini binadamu wenzetu kwa hulka zao hunyang'anya haki za wenzao.
Hivi jamani hawa watu hawana hofu ya Mungu!!? Unambambikizia mtu kesi kwasababu ya mambo ya kidunia tu!!?

Kesi tengenezeni, muhukumuni tu mnavotaka ila kumbukeni "DUNIANI TUNAPITA NA SIKU MOJA MACHUNGU HAYA YA LWAKATARE YATAWAGEUKIA!!"
 
Labda hiyo subira mnayotaka ivutwe ni hadi lini? Kama kesho asubuhi Lwakatare anatakiwa kufikishwa mahakamani, je atashitakiwa kwa kosa gani kama hadi hivi sasa ushahidi wa kutosha kuweza kumshitaki haujapatikana? Nafikiri ndiyo maana polisi leo walikuwa ofisi za CHADEMA kujaribu kutafuta ushahidi mwingine zaidi ya ule wa video. Na inaonekana pamoja na kukamatwa kwa Ludovick bado hawajaweza kupata sababu za msingi za kuwashitaki hawa bwana.

Kukosekana kwa ushahidi mwingine zaidi ya huo wa video unaweza kuwa ni ushahidi mwingine kwamba video ni ya CCM. Kwanini wasianze uchunguzi wa kimtandao kujua aliyeupload video kwenye youtube ni nani? Naamini wakimpata aliyeupload video kwenye youtube watakuwa na uwezo wa kujua alikoitoa. Lakini hivi sasa naona kama wanatapatapa.

Hiyo ndo aina ya watu tuliowakabidhi dhamana ya kulinda usalama wetu na mali zetu, hawana hata uelewa wa namna wanavyopaswa kufanya kazi zao....HIVI WALISOMEA WAPI HAWA......Kwa jinsi hii wala sishangai kuwabambikia raia wema makosa, kama alivyoudhihirishai umma kiranja wao mkuu.
Hawakupaswa kukurupuka kukamata tu mtu kabla ya kukamilisha uchunguzi wao....Walipaswa kulichunguza hili suala kimyakimya, kwa kumtafuta na kumhoji mtu aliyeiweka hiyo clip youtube,then ndo wamtafute aliyeonekana na kutajwa humo....
KWA JINSI WALIVYOKURUPUKA, HILI LITAWASHINDA!
 
Hivi jamani hawa watu hawana hofu ya Mungu!!? Unambambikizia mtu kesi kwasababu ya mambo ya kidunia tu!!?

Kesi tengenezeni, muhukumuni tu mnavotaka ila kumbukeni "DUNIANI TUNAPITA NA SIKU MOJA MACHUNGU HAYA YA LWAKATARE YATAWAGEUKIA!!"

Ha ha haaaaaa!!!!!!!!!!. Ingelikuwa aliyekamatwa ni Ustadhi Ponda ungesema" Acha sheria ichukue mkondo wake". lakini kwa huyu muuaji na mtesaji kwa nembo ya chama unasema kabambikiwa kesi! Mungu yupo wapi hapo???
Acha sheria ifanye kazi. Pia Lwakatare anapewa maagizo na wakubwa zake. Woote wakamatwe na wahojiwe na sheria ifuate mkondo!!
 
Vuta nikuvute huna jipya...lwakatare amekamatwa na polisi kwa vitendo vyake vya uchochezi na kuandaa video inayohamasisha uvunjifu wa amani...video hiyo inaelekeza watu wakamteke mwandishi mmoja ambaye ni very very close to zitto kisha wamtese

Video si mnayotayari, sasa kinachowashinda kumpeleka mahakamani mtuhumiwa mpaka leo hii ni kitu gani.
Wenzako wameshang'amua ukweli ndio maana wanahunyahunya tu!
 
Pro-Chadema JF naona mnaamua kujifariji na kujilwaza kwa akili yenu polisi hawana kitengo cha IT kuamtia hatiana Lwakatare.
 
Ukweli utajulikana tu. Itafika wakati maji yatajitenga na mafuta.
 
Wakikubali e-evidence na mimi kunajamaa nitamburuta kortini. Kwa kufanya reference ya kesi ya Lwakatale.

1. Average people focus on saving. Rich people focus on earning.

2. Average people believe you need money to make money. Rich people use other people's money to make money

Do you mean chadema is using money donated by Mustapha Sabodo to create hatred of Wananchi towards thier Governmamnt to pave the way for 2015?. Chadema's Hatred strategy towards 2015 cannot bare any fruit as those innocent blood sheded alyways has a detrimental negative impact as we can see it now!
 
Wewe ndo umeelewa hivyo??? Kweli ni tabia ya MaCCM kulisha watu maneno, mimi nimeandika just two lines, wewe unakuja na maneno Lundo, afu unaniuliza, did I mean....................Hiyo ni meaning yako kiongozi!!!
 
DDP. peleka na dr slaa anahusika kesho maleta kwako ushahidi

Mr SIMU hapo kwenye bold ndo nini? Hivi ni kweli na kaelimu kako ka pale idodomiya umekubali kuajiriwa kazi ya jf? hii shida ndugu yangu
 
Hiyo ndo aina ya watu tuliowakabidhi dhamana ya kulinda usalama wetu na mali zetu, hawana hata uelewa wa namna wanavyopaswa kufanya kazi zao....HIVI WALISOMEA WAPI HAWA......Kwa jinsi hii wala sishangai kuwabambikia raia wema makosa, kama alivyoudhihirishai umma kiranja wao mkuu.
Hawakupaswa kukurupuka kukamata tu mtu kabla ya kukamilisha uchunguzi wao....Walipaswa kulichunguza hili suala kimyakimya, kwa kumtafuta na kumhoji mtu aliyeiweka hiyo clip youtube,then ndo wamtafute aliyeonekana na kutajwa humo....
KWA JINSI WALIVYOKURUPUKA, HILI LITAWASHINDA!
Wangeweza pia kumwita kituo cha polisi ili akatoe maelezo bila ya kumuweka kizuizini. Lakini wao walikurupuka tu na kumuweka kizuizini moja kwa moja huku wakisahau kwamba kisheria mtuhumiwa hatakiwi kukaa lock up kwa zaidi ya masaa 24 except kama kukamatwa kwake kumeangukia weekend. Sasa sijui ni kwa vipi walikubali kuendelea kukaa naye siku zote hizi kabla hawajapata ushahidi. Ngoja tuone hii ngoma inakoishia. Tusubiri kusikia kesho atashitakiwa kwa makosa gani. Kama kweli CCM waliitengeneza ile video kama sehemu ya kampeni ya kuimaliza CHADEMA, basi mbichi na mbivu zitajulikana.
 
Pro-Chadema JF naona mnaamua kujifariji na kujilwaza kwa akili yenu polisi hawana kitengo cha IT kuamtia hatiana Lwakatare.
Kama wanacho hicho kitengo basi wakitumie kumtafutia mtu anayitwa hugochaves = Bukoba boy. Ili awaambie alitoa wapi ile video. Na kama kweli ni wataalamu wa IT, wanaweza kumtafuta kwa njia nyingi ikiwemo IP address aliyotumia wakati anapost, na kama ametumia hizi moderm za kwetu ambazo zina line za simu ambazo ni registered, basi hata jina halisi la mtumaji litapatikana. Lakini pia ni possible kutafuta jina la laptop, just kutoka kwenye hiyo video ilyokuwa uploaded. Sasa wanashindwa nini hao IT specialist wa polisi? Uhuni tu, mnajua kwamba hiyo video mmetengeneza wenyewe.
 
Last edited by a moderator:
Kama unajua kuwa tunatakiwa kuvuta subira, huu umbeya wako wa nini?
Hujui kuwa ulichoandika hapa ni swala la kawaida kati ya ofisi ya DPP na polisi kabla ya kufungua kesi? Kuna kipya kipi hapo?

Again,
Vuta Subira...

Mkubwa!

Mbona povu linakutoka? Usitake kubadilisha lugha mkuu!!!?? endeleza ile lugha ya mwanzo wa Tamthilia ilivyo kuwa!!!
 
Back
Top Bottom