Ya Lwakatare: DPP, Polisi watofautiana

Ya Lwakatare: DPP, Polisi watofautiana

kuna assignment zingine polisi mkipewa na CCM wambieni hazitekelezeki, saa hizi wao wako pembeni nyie mna-suffer mnakimbia huku na huko kama manyaunyau anatafuta mchawi hewa temeke mwisho. the youtube clip has failed the logic, common sense and experience tests since day one.
 
Kwa jinsi ninavyoona hii issue ilivyo duh......BABU SEYA KWELI HAWEZI RUDI
 
Kama unajua kuwa tunatakiwa kuvuta subira, huu umbeya wako wa nini?
Hujui kuwa ulichoandika hapa ni swala la kawaida kati ya ofisi ya DPP na polisi kabla ya kufungua kesi? Kuna kipya kipi hapo?

Again,
Vuta Subira...

vumilia mkuu sindano dawa iingie.ujapendezwa na taarifa?nyie mtakuwa mnawakilishwa na mawakili gani?huku kuna kibatala,prof safari na lissu
 
Vuta nikuvute huna jipya...lwakatare amekamatwa na polisi kwa vitendo vyake vya uchochezi na kuandaa video inayohamasisha uvunjifu wa amani...video hiyo inaelekeza watu wakamteke mwandishi mmoja ambaye ni very very close to zitto kisha wamtese
 
Kuna sintofahamu kubwa kati ya Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka Nchini(DPP) na Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam juu ya suala la Mkuu wa Idara ya Usalama wa CHADEMA,Winfred Lwakatare ambaye anashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za kuandaa mipango ya kijasusi ya kudhuru watu.

Chanzo cha kuaminika toka ndani ya Ofisi ya DPP kinadai kuwa DPP amelitaka Jeshi la Polisi kukusanya ushahidi zaidi ili kuweza kumtengenezea Lwakatare makosa ya kisheria na kumsomea mashtaka kesho. Pia,amewataka Polisi kuamua,kwa kuainisha sababu mujarabu,kama Bwana Joseph Ludovick naye ashtakiwe pamoja na Lwakatare au la.

Vuta-nkuvute hiyo ilianza jana baada ya DPP na Wasaidizi wake kushinda Ofisini kuyapitia 'mafaili' ya Lwakatare na Ludovick yaliyotoka Polisi ili kujiridhisha na uchunguzi wa awali na makosa yanayoainishwa na uchunguzi huoili kuandaa Hati za Mashtaka dhidi ya Washukiwa hao.

'DPP alifika mahali haelewi kosa la kuwashtaki akina-Lwakatare kwa ushahidi uliopo.Akawataka Polisi wajiridhishe na kurudishe 'mafaili ' kwake hadi ifikapo saa kumi na mbili na nusu ya Jumatatu' kilidokeza chanzo hicho toka Ofisi za DPP

Kesho Jumatatu,Lwakatare anatarajiwa kupandishwa kizimbani na kusomewa mashtaka yanayomkabili. Bado haijulikani,atashtakiwa kwa mashtaka yapi hasa na kwa mujibu wa Sheria gani za nchi hii. Kesho,kutakuwa na taarifa zaidi na kamili.Tuvute subira.
VUTA-NKUVUTE aka Mzee Tupatupa wa Lumumba Dar es Salaam

.
Mwigulu na Riz watawaua kwa pressure hawa wanausalama wetu.
.
 
Aibu wanayoitia Tanzania ionekane kama vituko itawageukia wenyewe hawa PoliceCcm na chama chao cha CCm Magamba juzi juzi nilikutana na Professor mmoja wa chuo kimoja hapa mtoni wakati tunaongea kaniuliza where are you coming from nikamwambia Tanzania kauliza tena unasema unatoka Tansania nikamwambia yes Sir lol ngoja aanze kunishukia kesi mbali mbali kuhusu mauaji ya Albinos na mauaji ya wananchi wakati wa kikutano ya vyama vya upinzani especially Chadema pia kagusia mauaji ya Arusha na ya Mwangosi aisee kwa hapa Ulaya nchi imechafuka sana wakati tunaongea naona wazungu wengine wanatusogelea na kusikitika sana mmoja kasema oooh hawa wauaji wa Albinos ati wanasema watapata utajiri so kwa ujumla serikali hii ya awamu ya nne imechafua jina Tanzania kwa mambo mengi sana na mie nikaichambua vibaya sana nikawapa full datas mmoja kaniambia yr real care about yr people na unachukia serikali kwa kuwa hawawashitaki wahalifu japokuwa wanafahamika hasa wauaji wa Albinos.Aisee tuliongea maake ilikuwa party so almost 2hrs tunachati karibu meza nzima so habari ndio hiyo.
 
Hawajuhi kama Mungu yupo labda niwakumbushe wakasome Habakuki sura1 then watajua hatma yao.. haya yote mwisho ni 2015.
 
DDP. peleka na dr slaa anahusika kesho maleta kwako ushahidi
 
Vuta nikuvute huna jipya...lwakatare amekamatwa na polisi kwa vitendo vyake vya uchochezi na kuandaa video inayohamasisha uvunjifu wa amani...video hiyo inaelekeza watu wakamteke mwandishi mmoja ambaye ni very very close to zitto kisha wamtese

Kwa mfano mimi nikikwambia wewe mimi ndo Baba yako Mzazi utakubali???
 
video hiyo inaelekeza watu wakamteke mwandishi mmoja ambaye ni very very close to zitto kisha wamtese
Video imesema mumdhalilishe huyo mwandishi wa habari na siyo kumtesa. Hapa umeonesha jinsi gani mgumu kuelewa ndo maana mkaenda kumtesa Kibanda
 
Kama ccm wana mbavu, huyo aliyejitambulisha katika JF kama Bukoba boy ajitokeze mahakamani tuone!!! Kwa nini polisi waifanyie kazi anonymous video? CDM inazidi kupaa kila kukicha!!!!!!

.
Kwa kuwa Kova hana mshipa wa aibu, basi afanye mawasiliano na Invincible ili wamkamate akatoe uhahidi mahakamani jinsi gani hiyo you tube ya Mwigulu imefika katka blogi anayomoderate.
Eeh bana sii wanamwogopa Mwigulu??
.
 
Tatizo ni kukurupuka kwa jeshi la polisi! Yani wameshindwa kujiridhisha kama clip ni ya ukweli au lah wamekimbilia kukamata!
 
Vuta nikuvute huna jipya...lwakatare amekamatwa na polisi kwa vitendo vyake vya uchochezi na kuandaa video inayohamasisha uvunjifu wa amani...video hiyo inaelekeza watu wakamteke mwandishi mmoja ambaye ni very very close to zitto kisha wamtese

Una uhakika, manake unaongea kama ulikuwepo hapo studio kwenye recording. Badala ya kumtafuta aliyepost hiyo video feki policcm kwa uwezo wao duni wa kufikiri na mijazba yao juu ya chadema wamekurupuka sasa kijasho kinawatoka, aibu imewapata, mimacho imewatoka kama wamefumaniwa na mke wa afande wao. na kwa waliowatuma ndo kabisaa usiseme, wanatamani jumatatu ya kesho isifike ili aibu yao iendelee kujificha. Na kwa upande wa kale karedio kenu Clouds, nako kesho kafike mahakamani ili kakajionee aibu yao ya kutoa promo kwenye video feki. maccm AIBUUUUUUUUUUUUUUUU
 
polisi wamepata mtu wa kumsingizia uhalifu wao , hapo wanatamani hata kumbambikia vitu vingine vingi kuongeza ushahidi zaidi. wataumbuka hawa watu, mwisho wa ubaya ni aibu.
 
Mi nina jamaa zangu kibao walikuwa na akili ndogo enzi tunasoma,walienda JKT hatimaye wakagawanyika upolisi na Jeshi la wananchi,Je wana uwezo wa kutosha kukusanya ushahidi usio na shaka katika mazingira kama haya?
 
.
Kwa kuwa Kova hana mshipa wa aibu, basi afanye mawasiliano na Invincible ili wamkamate akatoe uhahidi mahakamani jinsi gani hiyo you tube ya Mwigulu imefika katka blogi anayomoderate.
Eeh bana sii wanamwogopa Mwigulu??
.

Binafsi nawasifu serikali coz maandamano kwenye miji 8 kushinikiza Kawambwa ajiuzulu ndiyo kushney. Hakuna cha matokeo mabovu form 4 wala nini, macho na masikio ya watanzania yote ni kesi ya Lwakatare. kweli serikali ya awamu ya 4 inazali, yani kila ikipwaya inapata boost
 
Back
Top Bottom