X wangu anataka turudiane

X wangu anataka turudiane

Wakuu niliwahi kutoa kisa changu humu nilikutana na kitoto cha 2003 kizuri sana . Shida ikaja kwamba kanapenda hela sana pia hana adabu.

Yani kifupi ni chuma ulete na stori yake niliwahi ileta humu ephen_ Half american Balqior na wengineo nashukuru mlinishauri sana kuhusu kumuacha huyo mdada nikashindwa mwisho wa siku aliniacha yeye baada ya kuniomba 100k nikamwambia nitakupa next week bac akaniambia nifute namba yake na matusi kibao yakamtoka.

Hiyo ilikuwa mwez wa tatu mwishoni bac tukaachana mwezi wa 6 nashangaa ananitafuta na kunibembeleza sana kwamba anaomba turudiane nikakataa ila siku siku zinavyozidi kwenda bado ananisumbua so nimeshindwa kujua kilichomrudisha kwangu ni nini hapa nimebaki na maswali vp wenzangu huwa mnakaribiana vp na hii hali?? Na lengo lake hasa ni nini maana kipindi anataka kuniacha alikuwa na kiburi sana na dharau pia muda wote alikuwa online nashangaa saiv kawa mpole sana mpaka namshangaa.

Naweka hapa txt zake za nyuma muone tabia alizokuwa nazo huyu binti.
Achana naye, atakusumbua sana huyo.
 
Namimi ninaye wa hivyo ni mzuri na mtamu balaa, ila kwenye kuomba hela ni chumba ulete. Wiki hii namnyandua ya mwisho na kumpiga chini.
In short nakushauri achana naye
Hahahah kwa hali ya mashine yake hapo bado upo sana.😁
 
Ni mindset yake anadhan upendo ni pesa
Na Wanawake wengi huwaza hivyo
Ukimjengea mazingira ya kutokuomba pesa na kumuelewesha upendo sio pesa tuu
Hutopata shida ya kusumbuliwa
Hawezi kukuelewa, mwanamke anayehisi ukimpa hela ndio unampenda hawezi kuvumilia ukiwa huna. Lazma aanze kulalamika
 
Kuna wadada kwasababu ya tabia zao za kuomba omba hela wanaume, mara nyingi wapo single, hawana mahusiano yanayoeleweka, wanasingizia jini mahaba, kulogwa, wanaume waongo, kumbe character zao mbovu..mara nyingi financial request wanazoomba hao wadada, hata mwanaume akisikiliza anaona hazina umuhimu na anahisi anapigwa.

Mwanaume anaejielewa akipiga hesabu anaona anapata hasara tu kwenye hayo mahusiano, effort anayoweka ni kubwa kuliko anachopata, hivyo anaishia kukimbia, mdada anajikuta anakimbiwa na kila mwanaume kisa kupiga vizinga.

Hio nahisi ndo sababu ex wa mtoa mada karudi kwa mtoa mada, theory yangu ni kwamba wanaume waliojaribu ku-date na ex wa mtoa mada waliona huyo mdada ni hasara kwenye mahusiano, sababu ya vizinga wakaamua kukimbia, bidada akaamua arudi kwa melancholic.. ephen_ Melancholic
😂😂😂😂😂😂 Kwa jicho la kiuchumi ku date na mwanamke omba omba ni hasara mno. Ni vizuri mno kupata mwanamke mwenye kipato chake cha kumtosheleza ili wewe ubaki ku fill puzzle ya emotions tu.
 
Chuma ulete anataka arudi aje ukumalize kabisa.......... huyo kaachwa huko alikoenda anarudi kupumzika kidogo kwako akitafuta pa kurukia tena.
Dawa ya mtu kama huyo akija una set standards zako wewe maana ndio unakuwa na upper hands kwenye negotiations.
 
Kwanza mpaka hapa inaonekana hujamove on kijana,,pili huna misimamo ,tatu wote bado staki nataka na utoto.

Mwisho achana na drama Man focus na maisha.
 
Hawezi kukuelewa, mwanamke anayehisi ukimpa hela ndio unampenda hawezi kuvumilia ukiwa huna. Lazma aanze kulalamika
Wanalamikaga sana
Hapo kama ni mimi namwambia Aache kulalamika vitu visivyo vya msingi
Na kumuambia hali halisi
Na aache matumiz mabaya ya Fedha

Hata kama mimi ninahela nyingi
Hela zitumike vizuri

Kama mwanamke anahekima na busara hawez kulalamika ovyo


If it can be fixed, why are you complaining? If it can’t be fixed, why are you complaining?
 
Umasikini mbaya na una matokeo haya;
1. Mwanaume kung'ang'ania ke kwa vile hana uwezo kung'oa chuma kipya kikali zaidi.

2. Me kuburuzwa na wanawake wajinga kama huyo.

3. Mwanaume kuwa King'ng'a.

Ujinga huu wakupangiwa kwangu haupo, nakupa kwa hiyari, any amount kwa ridhaa.
NA ke akawa honest kwangu, mwelewa na mnyenyekevu atakula mema ya nchi.

Lkn huyu wa kunipangia hata buku simpi.
Umasikini ni mbaya maana unafubaza akili za wahusika na kudhani matumizi pekee ya pesa ni kuambatana muda wote na wenye K kwenye magari yao na kwenye biashara.
Hata akiotea kibunda atataka aonekane na pisikali muda mwingi mtaani na sehemu za starehe.
Sikiliza ukiwa mwanaume ambae unafahamu kuwa kuna ndoto unazotakiwa kuzipambania utagundua kuwa unatakiwa umtafute mwanamke muda ambao Mashine inasumbua sana kiasi unakuwa kama huelewi.
Fanya hookup kama huna mke.
Nunua malaya moja classic nenda kale siku mbili mfululizo kula na kunywa kisha baada ya hapo kata mazoea.
Mwambie uyamtafuta ukihitaji tena huduma yake.
Nenda kajijenge
Vijana tuna muda mfupi sana wa kufanikisha malengo yetu kuliko ambavyo tunafikiria.

Ila kama ushaoa tayari basi tulia kimya na mkeo pambania ndoto zako bila tamaa ya starehe.

Kumbuka utaendekeza starehe na hawa malaya uchwara wenye njaa watakuvuta pesa mwishowe utafulia na mkeo atakukimbia maana nae ni masikini kama hao halafu wewe tayari umefulia sasa anabaki kwako anasubiri nini?

Si bora akabeti tena mbele ya safari huku akikusikilizia kama utafufuka akurudie na drama za Bongo muvi kuwa eti alijichanganya?

Ukishafikisha miaka 35. Hapa wengi wetu tutakuwa kwenye mahusiano serious na mwanamke either wa pili au wa tatu.
Maana hapo nyuma unakuta tushaachana au kuachwa na wale tulioamini kuwa ni wa kwetu kumbe sio wa kwetu. Ukifulia tu anasepa maana kwanza anaamini yeye bado ana nafasi ya kuolewa na kupewa maisha anayoyataka na wanaume wengi.
Baadae anagundua kuwa kufanikiwa kwake ni kurudi kwako kwa gia yoyote.

Maana hao wenye magari hawana muda nae wanakula kwa fujo hadi jicho na kukausha hawataki hata ikumbukwe kuwa waliwahi kutoka nae.
Anajaribu kujirudisha kwako kama utateleza uwe fara basi lengo lake litakuwa limefanikiwa.

So ukifikisha miaka 35 hapa inabidi vijana wa kiume tuanze kufikiria kuoa katika angle ya mafanikio.

Yaani kama binti anatoka familia yenye ukwasi na koneksheni lukuki
Au familia ya watawala ndipo unatakiwa kuoa seriously.

Ila kama uko 35 halafu unaishi na binti anaetoka hizi familia zetu za majungu badala ya kuinuana yaani mama analazimika akudanganye kuwa ana siku tatu hajala ili ale pesa zako.
Kisha huyo binti anakuletea mitizamo yake anayoiona kwenye sinema
Mara anakulazimisha umpe pesa aende salon na wewe upo tu hapo kama zezeta fulani.
Ujue kuwa unajiandaa kuja kudhalilika hapo baadae maana utaishia kwenye umasikini.
Amka kijana mwenzangu ngono ni asilimia tano ya maisha ya mwanadamu.
Hivyo usipoteze mwelekeo mzima wa maisha yako kisa makalio makubwa.

Hayo kazi yake ni ya muda mfupi kuyaminya minya ili usimamishe, cha ziada sana utakachokifanya labda usisimke sana umle jicho tu hakuna cha zaidi ya hapo
So usiwe mpumbavu kuwa timamu siku zote za maisha yako.
Utatoboa, achana na vitu vya hovyo vyote
Usikimbizane na kila sampuli ya malaya unayoiona hapa mjini wengine wanapoishi wanadaiwa kodi so ukipatwa unakuwa umepatwa kweli.

Wengine wanatokea kwenye vyama vyetu na wana special tasks za kuzivuna hatma zenu na kuzileta kwetu.
 
Back
Top Bottom