Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 45,091
- 111,711
SanaSafi š¤
SanaSafi š¤
Tafuta Hela mkuu, hiyo ni shoo Moja ya baa medi wewe unapewa wiki nzima!
Ndiyo š¤Sana
Umaskini haupo hapo, ukiwa tajiri mjinga hakyanani utaishia kuliwa pesa tu kwa uzumbukuku.Umasikini mbaya na una matokeo haya;
1. Mwanaume kung'ang'ania ke kwa vile hana uwezo kung'oa chuma kipya kikali zaidi.
2. Me kuburuzwa na wanawake wajinga kama huyo.
3. Mwanaume kuwa King'ng'a.
Ujinga huu wakupangiwa kwangu haupo, nakupa kwa hiyari, any amount kwa ridhaa.
NA ke akawa honest kwangu, mwelewa na mnyenyekevu atakula mema ya nchi.
Lkn huyu wa kunipangia hata buku simpi.
Umekurupuka, mimi nasema jamaa hajiamini alipaswa ampige chini hiyo fala achukue kitu kipyaUmaskini haupo hapo, ukiwa tajiri mjinga hakyanani utaishia kuliwa pesa tu kwa uzumbukuku.
Katoto kama hako kakupangie ukape bei gani kwa wiki, sijui kwa mwezi. Uanaume wako unakua wapi hapo aisee.
Kupewa nini mkuuTafuta Hela mkuu, hiyo ni shoo Moja ya baa medi wewe unapewa wiki nzima!
Kabisa mkuu inashusha mood sanaNinaweza kua nimekupenda kweli, nikakuzingatia mambo madogo madogo ila hivyo vizinga vikianza kuzidi sifuri aloo upendo hushuka kwa kasi mno.
Pesa yangu inaniuma sana kuhonga aisee, yaani umpe pesa kama unamlipa na hamna kazi anafanya. Nivuje jasho halafu nije kumpa mtu pesa hivihivi, na bado bed wewe tena ndo uvuje jasho aridhike yeye.
Mapenzi ya upande mmoja hayo.
Kwani wewe upewi helaš š šKumbe ukiwa na mpenzi anatakiwa akupe hela
Mwenzangu sina budget hata ya mwaka Tu sinaKwani wewe upewi helaš š š
uhakikaaKurudia nguo iliyochokaa, ni kiashiria cha maisha kuwa magumu kwa mvaaji
tupo hapaMwenzangu sina budget hata ya mwaka Tu sina
Naona wenzangu wananegotiate ya week
Maisha haya
Hawa wanaume wanapatikana wapi jamani??
Ahaaa hebu Nipe locationtupo hapa
Miss Natafuta Ms R kwa comment zenu inaonekana mtaani wanaume wengi wamekua wabahili kutoa hela šivi wanaume wa kuwapelekesha kama wewe mnapatikana wapiiiii,,kama bado huna mwingine karibu pmāŗļø
itakua hatutoi style pendwaMiss Natafuta Ms R kwa comment zenu inaonekana mtaani wanaume wengi wamekua wabahili kutoa hela š
Wanaume wanaohonga wapo, ila wengi Wana sura mbaya hivyo hamuwataki..