🤣🤣🤣Wanaume tuna shida sana, hapa unapambania penzi.
Hupendwi!
Kama upendo ulishakufa achana naye kanyonya damu hakoMimi upendo ulishakufa japo nilimuelewa sana
🤣🤣🤣Ni ngumu sana kumshauri mtu anaekaribia kufa
Kumbe mkuu mi nadhani atakuwa kaachwa maana sio kwa kiburi kileAmezikumbuka hela zako.
Ahsante mkuu na hilo ndio jibuEx harudiwi, ila pole mkuu
Songa mbele kama injili, utampata bora zaidi yakeAhsante mkuu na hilo ndio jibu
Tapeli huyo mkuuDuuuuh huyu Mtoto analalamika Maskini.
Mpaka namuonea Huruma.
Ninazo nyingi sema huyu nampenda kuliko woteKaka una options nyingine kweli?
Pamoja mkuuSonga mbele kama injili, utampata bora zaidi yake
Ninazo nyingi sema huyu nampenda kuliko wote
Umesomeka mkuuACHANA NA HIYO MBUZI...
Mkuu ila na wewe huwa unaonyesha chakula kusindikiza maelezo unayotoaAf hii tabia ya kuonyesha chart sipendi basi. Tu