Harmful
JF-Expert Member
- Feb 23, 2025
- 5,465
- 18,930
Me mkuu demu kama wa Melancholic unaweza sema hafai kurudiwaKuna vitu vya kuviludia ila sio hawa
Ila Kuna maex wengine unaona kabisa huyu ni mtu aliye smart na hata kuachana kwenu inaweza ikawa ni kununiana tu kwanini nisimrudie