Duuh


gaddemitKatoto kamemiss posho ya msela ya 30k kwa week! Kalikokua huenda kalikua kana ambulia kifurushi cha 1000 cha SMS tu za mwezi...Amezikumbuka hela zako.
Na anaekaribia KUTAPELIWA, nae ngumu sana kumshauri.. ukimshauri anakuona we bwege na unakosa fursa alafu yeye ana bahati.... mwenye njaa na mwenye nyege.
Je kama ni expert kwenye hiyo michezo, napo atakimbia? By the way hii mbinu ya kuomba sijui 0714 wala sio ujanja kwa mwanaume ni usnge sana... Mwanaume hatakiwi kubehave tabia kama hii ya kishetani..Muombe 0714 atakimbia
Siwez kufanya upuuz huoSeems like wewe unampenda sana huyo binti na katika list yake amekuja kubaini wewe ndio ulikuwa unampenda kwa dhati na ulikuwa Genuine ATM machine. cha msingi achana na hiyo Mbuzi mwishowe saa 2:00 usije tajwa ITV umebembea kwa shingo
Kabisa mkuuJe kama ni expert kwenye hiyo michezo, napo atakimbia? By the way hii mbinu ya kuomba sijui 0714 wala sio ujanja kwa mwanaume ni usnge sana... Mwanaume hatakiwi kubehave tabia kama hii ya kishetani..
Kumbe ni wewe jamaa😄😄
Vp mkuu umekumbuka nini😀Kumbe ni wewe jamaa😄😄
NakaziaKwa kweli tupo tofauti ni kama kushoto na kulia Ex harudiwi hata iwaje
Safi 🤝Nakazia
I remember your funny storyVp mkuu umekumbuka nini😀
sure bloodIla we jamaa n dhaifu sana kwa ke, mtu wa hivyo anakuwazisha hivyo, huyo hata kumpa nafasi ya kumsikiliza ni kujishushia heshima na kujidharau. Huyo lofa ni wakutia block hadi uraiani
Achana naesure blood