X wangu anataka turudiane

X wangu anataka turudiane

Mkuu vp huyu unaweza mrudia maana ni pisi ya maana sana shape kama bonge la dada vile na ana pussy tamu sio poa
Melancholic
1753180163190.jpg
 
Vijana mkishauriwa muwe vizuri kwenye mitishamba mnajifanya mna dini zenu zilizoletwa na wakoloni.... huwezi kukuta kijana aliyezindikwa kimila huko Wampembe analialia hovyo mtandaoni. Kina DADA wako mbele sana kwenye suala zima la mitishamba ndo maana kwa sasa ndo kama wanatawala kwenye mapenzi. Tunalogwa balaa... mimi mwenyewe bado natafakari nimezamaje kwenye penzi la single mama niliyemkuta na mimba changa. Inauma sana ila nikikumbuka mashine ilivyo mnato ninapuuzia maumivu.
 
Kwishaaaa
 
Back
Top Bottom