X wangu anataka turudiane

X wangu anataka turudiane

Miss Natafuta Ms R kwa comment zenu inaonekana mtaani wanaume wengi wamekua wabahili kutoa hela 😁

Wanaume wanaohonga wapo, ila wengi Wana sura mbaya hivyo hamuwataki..
mkuu wanaume wengi sasa hv awatoi hela ni kweli but sio wote wanohonga et wanasura mbaya saazingine upendo tu kwa mtu mfano mimi hiyo sura mbaya sina
 
Wakuu niliwahi kutoa kisa changu humu nilikutana na kitoto cha 2003 kizuri sana . Shida ikaja kwamba kanapenda hela sana pia hana adabu.

Yani kifupi ni chuma ulete na stori yake niliwahi ileta humu ephen_ Half american Balqior na wengineo nashukuru mlinishauri sana kuhusu kumuacha huyo mdada nikashindwa mwisho wa siku aliniacha yeye baada ya kuniomba 100k nikamwambia nitakupa next week bac akaniambia nifute namba yake na matusi kibao yakamtoka.

Hiyo ilikuwa mwez wa tatu mwishoni bac tukaachana mwezi wa 6 nashangaa ananitafuta na kunibembeleza sana kwamba anaomba turudiane nikakataa ila siku siku zinavyozidi kwenda bado ananisumbua so nimeshindwa kujua kilichomrudisha kwangu ni nini hapa nimebaki na maswali vp wenzangu huwa mnakaribiana vp na hii hali?? Na lengo lake hasa ni nini maana kipindi anataka kuniacha alikuwa na kiburi sana na dharau pia muda wote alikuwa online nashangaa saiv kawa mpole sana mpaka namshangaa.

Naweka hapa txt zake za nyuma muone tabia alizokuwa nazo huyu binti.
Mapenzi hayaingiliwi, pambana mwenyewe maana mliko pendana sisi hatukuwepo wala hukutushirikisha.
 
Back
Top Bottom