X wangu anataka turudiane

X wangu anataka turudiane

😂😂😂😂😂😂 Kwa jicho la kiuchumi ku date na mwanamke omba omba ni hasara mno. Ni vizuri mno kupata mwanamke mwenye kipato chake cha kumtosheleza ili wewe ubaki ku fill puzzle ya emotions tu.
Kabisa mkuu umeomgea fact
 
Hio ni kwa mwezi, kila week atoe rejesho la 30,000
Yani nitoe 30k.kila wiki kwa faida ipi et alikuwa ananiambia nataka unipende hata huko barabarani.wakinitongoza niwajibu kuwa am taken😀😀 nilicheka nikajua tu hapa nawekwa kwenye mkak mzr wa kupigwa
 
Umasikini ni mbaya maana unafubaza akili za wahusika na kudhani matumizi pekee ya pesa ni kuambatana muda wote na wenye K kwenye magari yao na kwenye biashara.
Hata akiotea kibunda atataka aonekane na pisikali muda mwingi mtaani na sehemu za starehe.
Sikiliza ukiwa mwanaume ambae unafahamu kuwa kuna ndoto unazotakiwa kuzipambania utagundua kuwa unatakiwa umtafute mwanamke muda ambao Mashine inasumbua sana kiasi unakuwa kama huelewi.
Fanya hookup kama huna mke.
Nunua malaya moja classic nenda kale siku mbili mfululizo kula na kunywa kisha baada ya hapo kata mazoea.
Mwambie uyamtafuta ukihitaji tena huduma yake.
Nenda kajijenge
Vijana tuna muda mfupi sana wa kufanikisha malengo yetu kuliko ambavyo tunafikiria.

Ila kama ushaoa tayari basi tulia kimya na mkeo pambania ndoto zako bila tamaa ya starehe.

Kumbuka utaendekeza starehe na hawa malaya uchwara wenye njaa watakuvuta pesa mwishowe utafulia na mkeo atakukimbia maana nae ni masikini kama hao halafu wewe tayari umefulia sasa anabaki kwako anasubiri nini?

Si bora akabeti tena mbele ya safari huku akikusikilizia kama utafufuka akurudie na drama za Bongo muvi kuwa eti alijichanganya?

Ukishafikisha miaka 35. Hapa wengi wetu tutakuwa kwenye mahusiano serious na mwanamke either wa pili au wa tatu.
Maana hapo nyuma unakuta tushaachana au kuachwa na wale tulioamini kuwa ni wa kwetu kumbe sio wa kwetu. Ukifulia tu anasepa maana kwanza anaamini yeye bado ana nafasi ya kuolewa na kupewa maisha anayoyataka na wanaume wengi.
Baadae anagundua kuwa kufanikiwa kwake ni kurudi kwako kwa gia yoyote.

Maana hao wenye magari hawana muda nae wanakula kwa fujo hadi jicho na kukausha hawataki hata ikumbukwe kuwa waliwahi kutoka nae.
Anajaribu kujirudisha kwako kama utateleza uwe fara basi lengo lake litakuwa limefanikiwa.

So ukifikisha miaka 35 hapa inabidi vijana wa kiume tuanze kufikiria kuoa katika angle ya mafanikio.

Yaani kama binti anatoka familia yenye ukwasi na koneksheni lukuki
Au familia ya watawala ndipo unatakiwa kuoa seriously.

Ila kama uko 35 halafu unaishi na binti anaetoka hizi familia zetu za majungu badala ya kuinuana yaani mama analazimika akudanganye kuwa ana siku tatu hajala ili ale pesa zako.
Kisha huyo binti anakuletea mitizamo yake anayoiona kwenye sinema
Mara anakulazimisha umpe pesa aende salon na wewe upo tu hapo kama zezeta fulani.
Ujue kuwa unajiandaa kuja kudhalilika hapo baadae maana utaishia kwenye umasikini.
Amka kijana mwenzangu ngono ni asilimia tano ya maisha ya mwanadamu.
Hivyo usipoteze mwelekeo mzima wa maisha yako kisa makalio makubwa.

Hayo kazi yake ni ya muda mfupi kuyaminya minya ili usimamishe, cha ziada sana utakachokifanya labda usisimke sana umle jicho tu hakuna cha zaidi ya hapo
So usiwe mpumbavu kuwa timamu siku zote za maisha yako.
Utatoboa, achana na vitu vya hovyo vyote
Usikimbizane na kila sampuli ya malaya unayoiona hapa mjini wengine wanapoishi wanadaiwa kodi so ukipatwa unakuwa umepatwa kweli.

Wengine wanatokea kwenye vyama vyetu na wana special tasks za kuzivuna hatma zenu na kuzileta kwetu.
Daaah kaka shukrani sana umeongea fact nyingi za msingi nitafanyia kazi ushauri wako ubarikiwe sana mkuu
 
Daaah kaka shukrani sana umeongea fact nyingi za msingi nitafanyia kazi ushauri wako ubarikiwe sana mkuu
Ishi humo usipende kupendwa na wanawake,,
Ishi na mmoja tu wala usipende kugonga gonga hovyo wanawake,,
Maana kila uchi una miiko yake.
Uliye nae akizingua achana nae tu tafuta mwingine chungulia kama anaweza akafaa kwenye ufalme wako au atauangamiza hapo baadae.

Pambania kuwa mkubwa bila kutaka watu wengine wakusifu.
Ukiona umeanza kusifiwa kaa macho,, na uwaepuke hao wanaokusifu muda wote.

Usiwe na rafiki wa kudumu kabisa kwenye maisha yako.
Hapa namaanisha ni mwiko kuwa na mtu anaepajua Kazini kwako au Biashara zako na muda huo huo nyumbani kwako anapajua..
Weka mipaka watu unaofahamiana nao kwenye utafutaji wa riziki wasiweze kuyasogelea maisha yako ya nyumbani.

Ni marufuku na ni mwiko kuwatuma vijana uliowaajiri kwenye biashara zako kwenda nyumbani kwako.
Marufuku mkeo kwenda kwenye biashara zako bila mpangilio
Maana adui atajishikiza kwa mkeo na kukumaliza kabisa.
Wanawake wanatumaliza maana hutoa siri zetu kwa maadui bila wao kujua
Wakidhani kuwa wanachonga profile nzuri mbele za wanawake wengine kumbe ndio wanauza maisha yetu.

Kumbuka hayo mafanikio ni ya kwako wewe, wengine wote watanufaika nayo ikiwa tu watakubali kuendelea kubaki kwenye circle ya maisha yako.

Mtunze na kumficha sana mkeo kuliko kitu chochote kile kwasababu uhai wako unaanzia kwake,,
Mpende na umjali kwa wakati uwapo nyumbani.
Papendezeshe nyumbani kwako na uweke majibwa ya hatari kwaajili ya heshima ya nyumbani kwako,,
Mbwa huweka mipaka na kuwazuia maadui wa kike kufika nyumbani kwako.

Funga kamera za siri.
Uweke mji wako kiganjani mwako muda wote.
Ishi maisha yako bila presha simamia ndoto zako usiache kanuni hizo.

Idhibiti vyema nguvu ya pesa juu yako na mengine yote hatma itayaelekeza kuja kwako.

Tunza Afya yako, Tunza mkeo, Kula vizuri utibu mwili kwa maji ya baridi hasa nyakati za juakali kwa kuuloweka muda mwingi kwenye bwawa huku ukiyaangalia mawingu, hii inakufanya uvune nishati nyingi sana hapa ulimwenguni.
Tembea peku muda mwingi uwapo nyumbani usipende kuvaa kandambili.
Ongea na mbwa wako maana ndio marafiki zako wa kweli.

Mwisho kabisa wakumbuke wale wanaohitaji chakula unaweza ukawa na ratiba ya kuwalisha kila siku tatu za wiki kama bado kipato hakikidhi.
Ila kama unamudu wapatie chakula kila siku jioni.
Wale chakula washukuru uvune nishati ya riziki kutoka kwao.

Mwisho kabisa ukumbuke kuwa duniani tunapita hivyo yatupasa kuacha alama na kumbukumbu nzuri kwa watu kwa faida ya watu wetu tunaowaacha hapa duniani kama watoto na wajukuu wetu.
Maana sisi tutapita tu siku moja.

Kuna siku Dunia itaamka haina hata mtu mmoja aliezaliwa kuanzia 1980 hadi 2000. Enzi zinapita na tunasahaulika pia.
Kila la kheri ewe kijana mwenzangu.

BY SONKO BIBO.
The Author.
 
Hiyo hela mtumie mzazi wako, achana na huyo kiumbe hakufai
 
Back
Top Bottom