X boyfriend wangu ndio best friend wangu

X boyfriend wangu ndio best friend wangu

Huyo unayemuita mbabe akija tambua atakuzingua tu na moto utawaka, anaweza asikwambie ila ndo ukweli. Na pia, wasema wapenzi wako wa zamani, sijui kama ulishawahi kulala nao, kama ndivyo jichukulie kama "a papuchi or a dick in a glass case", kama kuna dharura hao "kaka/marafiki" zako watakusumbua tu, labda wawe wagonjwa. HAMNA kitu cha eti just friends/ kaka na mtu ambaye umeshawahi seks nae. Hii ni kama uliseks nao, kama haukuseks nao basi uko salama. Ujumbe huu ni kutoka kwa mwanaume, na nafaamu wanaume wengi tulivyo.
 
La maana nmechukua asanten wakuu kwa ushauri wenu
 
Habari zenu wana MMU,

Kuna mambo huwa yanatokea sana unakuta watu mlikuwa wapenzi then mkajaachana alafu mnawekeana uhasama mie naona ni ulimbukeni

Mie hadi leo nlishawahi kuwa na wapenzi 3 tukaachana kati ya hao wawili ni marafiki/washauri wazuri tu haipiti siku hatujawasiliana au hata kutembeleana ofisini ,wanamfahamu mchumba wangu na wanamuheshimu japo yeye hawafahamu.

Nawapenda kifrendly na katika mawasiliano yetu wote hatujawahi ongelea mapenzi toka tuachane huwa tunaongea maswala ya kikazi na maisha kwa ujumla kiufupi ni kama kaka zangu wazuri tu!

Nafikiri ukaribu wangu na hawa wakaka sidhani kama una madhara yoyote au hata kwa future yangu japo nafikiria siku mbabe akijatambua nilishawahi kuwa na mahusiano nao asijezua mengine au nimweleze?

Ushauri wenu wakuu.

Uliwahi kuwapa
 
Yani upo busy na vi ex vyako eti ni vi best friend tena bwana ako havijui
kwahiyo hapo vinamchora tu jamaa ngoja siku agundue ndo utajua mwanaume huwa hasamei utalia kamasi hadi magotini
na hivo vi ex
 
Habari zenu wana MMU,

Kuna mambo huwa yanatokea sana unakuta watu mlikuwa wapenzi then mkajaachana alafu mnawekeana uhasama mie naona ni ulimbukeni

Mie hadi leo nlishawahi kuwa na wapenzi 3 tukaachana kati ya hao wawili ni marafiki/washauri wazuri tu haipiti siku hatujawasiliana au hata kutembeleana ofisini ,wanamfahamu mchumba wangu na wanamuheshimu japo yeye hawafahamu.

Nawapenda kifrendly na katika mawasiliano yetu wote hatujawahi ongelea mapenzi toka tuachane huwa tunaongea maswala ya kikazi na maisha kwa ujumla kiufupi ni kama kaka zangu wazuri tu!

Nafikiri ukaribu wangu na hawa wakaka sidhani kama una madhara yoyote au hata kwa future yangu japo nafikiria siku mbabe akijatambua nilishawahi kuwa na mahusiano nao asijezua mengine au nimweleze?

Ushauri wenu wakuu.

Inasound kama bado you love each other sema tu hamjatamkiana but time will tell
 
What goes around comes around, so when he start charting with his Ex don't get jealous too OK!!!
 
Inasound kama bado you love each other sema tu hamjatamkiana but time will tell

Hapana sema nawasiliana nao cz hatukuwahi gombana na walikuwa watu wazuri kwangu,sema halikuwa chaguo langu
 
Hapana sema nawasiliana nao cz hatukuwahi gombana na walikuwa watu wazuri kwangu,sema halikuwa chaguo langu

Kama hukuwahi kugombana nao means huna chuki na yeyote kwahiyo hata kupasha kiporo haitakuwa shida.Mimi nimewahi kuwa na mpenzi wangu tukadumu kama mwaka 1 lakini niwe mkweli nilikuwa sina mpango awe mke wangu ikafikia muda hata yeye akajua.basi akatokea Me akamtokea na ahadi ya kumuoa basi yule x wangu akaniambia kwa uungwana bora aachane na Mimi na aanze relation mpya na mume mtarajiwa basi mimi bila hiyana nikamruhusu roho nyeupe kabisa na nikafuta namba yake sababu sikutaka tena mawasiliano naye lakini yeye hakufuta yangu.jamaa kweli akatimiza ahadi yake akambadilisha x wangu dini na kuwa muislam then akumuoa.amedumu kama mwaka na nusu kwenye ndoa akaanza mawasiliano ya nguvu kwangu kumbuka hatukuwahi kugombana na hata harusi yake nilimchangia mchango ili story isiwe ndefu kutokana na kutogombana na kupenda kumeet na Mimi especial kula lunch pamoja,kunitembelea ofisini LEO HII NI MCHEPUKO WANGU WA KUDUMU
 
mm nshamega hao munaoita ma ex wangu wengi tu walorudisha mawasiliano,ila kuna m1 huyo nlikua nampenda kiukwel kwel nataka nipatane nae kiroho safi mana 2liachana kwa shari la kishindo,ila sitammega!
 
mmh nina mashaka
mtu akiendeleza urafiki na X wake ujue kati ya A au B inahusika
A. bado wanapendana
B. hawakuwai kupendana
 
Tayari ulishaelekea kibla imebaki watu kula nyama tu. dot com bwana!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom