X boyfriend wangu ndio best friend wangu

X boyfriend wangu ndio best friend wangu

Habari zenu wana MMU..
Kuna mambo huwa yanatokea sana unakuta watu mlikuwa wapenz thn mkajaacha af mnawekeana uhasama mie naona ni ulimbuken

Mie hadi leo nlishawah kuwa na wapnz 3 tukaachana kati ya hao wa2 ni marafiki/washauri wazuri tu haipiti siku hatujawasiliana au hata kutembeleana ofisini ,wanamfahamu mchumba wangu na wanamuheshimu japo yeye hawafahamu.
Nawapenda kifrendly na ktk mawasiliano yetu wote hatujawahi ongelea mapenz toka tuachane huwa tunaongea maswala ya kikazi na maisha kwa ujumla kiufupi ni kama kaka zangu wazuri tu!

Nafikiri ukaribu wangu na hawa wakaka sidhan kama una madhara yyte au hata kwa future yangu japo nafikiria siku mbabe akijatambua nlishawah kuwa na mahusiano nao asijezua mengne!au nimweleze??
Ushauri wenu wkuu

wee loyda naona wazi wazi kabisa, itakuwa husemi kweli ama laah kuna vitu kichwani mwako vinafanana na ulimbukeni, ushamba, kutojitambua na ujinga!

Akili ulioitumia mpaka kukubali hao jamaa wawili wakakupiga pu.m.b.u, ndio akili ulioitumi kubreak nao, na the same akili ukajakuitumia kufanya reconciliation! nini kinafuata baada hapo? mtu yule yule, kwa watu wale wale, unatumia akili ile ile! Tuambie ukweli bidada, jamaa wote wawili wanaendelea kupiga mzigo au laa hii story umeitengeneza kutushuulisha!
 
Last edited by a moderator:
Hapo huwa hatutongozan tena na kwakua tunajuana weakness zetu hasa boy kukujua ww ni kugusa tu then utajibu mapigo
 
mkuu labda uiedit thread yako nahisi kama siajakuelewa kabisa hivi!!!!!!!!!!!!!
 
kama mmeachana kiroho safi na kwa sababu ambazo kila mmoja ameridhia si vibaya mkiendelea kuwasliana. Tatzo ni kuwa watu weng huwa wana tabia ya kuachana kwa ugomvi,matusi na visasi juu na hapo kuwasliana inakuwa ngumu
 
kama mmeachana kiroho safi na kwa sababu ambazo kila mmoja ameridhia si vibaya mkiendelea kuwasliana. Tatzo ni kuwa watu weng huwa wana tabia ya kuachana kwa ugomvi,matusi na visasi juu na hapo kuwasliana inakuwa ngumu

mkuu kama mawasiliano yataendelea, huoni uhasilia wa neno kuachana hatokuepo na zaidi mtakua mnaongeza a great chance ya mgegedo?
 
Mapenz yao labda ni y mkataba huwenda waka renew a contract..... (Still in a conversation, wadau).
 
Inategemea mmeachana vipi..ila me sioni umuhimu wa kuendelea kuwasiliana labda kama ni mzazi mwenzako.
 
Mapenz yao labda ni y mkataba huwenda waka renew a contract..... (Still in a conversation, wadau).

sawa yanaweza kutokua na contract, but a great conversation yield a big result.. Sasa hapo ndio naposhindwa kuelewa je nikuacha jumla au nikuendelea kukumbushiana.
 
Huu ndio ukweli halisi! thanx ICHANA

Embu fikiria siku mnapiga ZANU story anakukumbushia siku alokupiga mechi ya uhakika afu akakuambia Leo nataka tena nikugegeda na ukivuta hisia utaacha kumpa

Sitaki kusikia huu uongo mtakatifu

Ukawadanganye watoto sio wenye akili.
 
Last edited by a moderator:
Habari zenu wana MMU,


Nawapenda kifrendly na katika mawasiliano yetu wote hatujawahi ongelea mapenzi toka tuachane huwa tunaongea maswala ya kikazi na maisha kwa ujumla kiufupi ni kama kaka zangu wazuri tu!
Hata mimi silaha yangu kubwa ya kuwavua pichu my ex's ni kutoku-discuss mapenzi kabisa!
Huwa wanajikuta geto tu wanatweta na kijasho chembamba kinatoka huku kalala chali macho pima darini huku kidume niko kwa pembeni natafuta pumzi ya ku-resume mgegedo!
 
sitaki urafiki na ex mmmhhh thubutuuuu mimi huyuhuyu au mwingne??
 
Habari zenu wana MMU,

Kuna mambo huwa yanatokea sana unakuta watu mlikuwa wapenzi then mkajaachana alafu mnawekeana uhasama mie naona ni ulimbukeni

Mie hadi leo nlishawahi kuwa na wapenzi 3 tukaachana kati ya hao wawili ni marafiki/washauri wazuri tu haipiti siku hatujawasiliana au hata kutembeleana ofisini ,wanamfahamu mchumba wangu na wanamuheshimu japo yeye hawafahamu.

Nawapenda kifrendly na katika mawasiliano yetu wote hatujawahi ongelea mapenzi toka tuachane huwa tunaongea maswala ya kikazi na maisha kwa ujumla kiufupi ni kama kaka zangu wazuri tu!

Nafikiri ukaribu wangu na hawa wakaka sidhani kama una madhara yoyote au hata kwa future yangu japo nafikiria siku mbabe akijatambua nilishawahi kuwa na mahusiano nao asijezua mengine au nimweleze?

Ushauri wenu wakuu.
Kupasha kiporo Ni jambo jepesi Sana kuliko kupika. Sasa subiri utaona
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom