Nime experience hii kitu bana. HAKUNAGA URAFIKI NA MA EX (someone bold this)
Ukiendelea utakuja kugundua kitu, mawasiliano na ma x yanatokea kwa sababu kuu 2.
1. Mmoja wenu bado ana hisia na mwenzake.
2. Mmoja wenu ana matarajio kurudiana na mwenzake.
There is nothing good to be yield in such relation. Wanaume wengi tuna wivu kiasili, kama hata akijua asipoonesha wivu jua upo, akijua akionesha wivu its good kwa sababu utapata matokeo haraka kama kuachwa utajua, kupigwa hadi kufa, au mambo ya ufo saro.
Acha na utembee usigeuke nyuma, you guys are weaker than you know na kila siku tunapata jinsi ya kuwaingia. Stay safe. They are called ex for a reason.
Kwa msaada zaidi tafuta serie ya 'the game' ep 2-5 utaelewa.
Maisha yanaendelea