X boyfriend wangu ndio best friend wangu

loyda

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2014
Posts
436
Reaction score
128
Habari zenu wana MMU,

Kuna mambo huwa yanatokea sana unakuta watu mlikuwa wapenzi then mkajaachana alafu mnawekeana uhasama mie naona ni ulimbukeni

Mie hadi leo nlishawahi kuwa na wapenzi 3 tukaachana kati ya hao wawili ni marafiki/washauri wazuri tu haipiti siku hatujawasiliana au hata kutembeleana ofisini ,wanamfahamu mchumba wangu na wanamuheshimu japo yeye hawafahamu.

Nawapenda kifrendly na katika mawasiliano yetu wote hatujawahi ongelea mapenzi toka tuachane huwa tunaongea maswala ya kikazi na maisha kwa ujumla kiufupi ni kama kaka zangu wazuri tu!

Nafikiri ukaribu wangu na hawa wakaka sidhani kama una madhara yoyote au hata kwa future yangu japo nafikiria siku mbabe akijatambua nilishawahi kuwa na mahusiano nao asijezua mengine au nimweleze?

Ushauri wenu wakuu.
 
mmmmmmmh kama shemeji wa sasa hana wivu endelea nao haina shida otherwise siku moja itakucost
 
Unachokifanya ni kibaya sana!! ask yourself.. vipi bf wako angekuwa ana uhusiano unaofanana na x's wake? unejisikia vzr? but know kuwa umejinunulia ticket ya kuharibu mahusiano yako in case mwenzako akijua... na atajua tu, it is just the matter of time..
 
Habari zenu wana MMU..
Kuna mambo huwa yanatokea sana unakuta watu mlikuwa wapenz thn mkajaacha af mnawekeana uhasama mie naona ni ulimbuken

Mie hadi leo nlishawah kuwa na wapnz 3 tukaachana kati ya hao wa2 ni marafiki/washauri wazuri tu haipiti siku hatujawasiliana au hata kutembeleana ofisini ,wanamfahamu mchumba wangu na wanamuheshimu japo yeye hawafahamu.
Nawapenda kifrendly na ktk mawasiliano yetu wote hatujawahi ongelea mapenz toka tuachane huwa tunaongea maswala ya kikazi na maisha kwa ujumla kiufupi ni kama kaka zangu wazuri tu!

Nafikiri ukaribu wangu na hawa wakaka sidhan kama una madhara yyte au hata kwa future yangu japo nafikiria siku mbabe akijatambua nlishawah kuwa na mahusiano nao asijezua mengne!au nimweleze??
Ushauri wenu wkuu

Endelea kuwasiliana nao kila siku lakini iko siku mtapasha KIPORO

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
nafikir na yye akianza kuwasliana na ma XYZ wake uwe mpole
 
ni mbaya sana....kama mn ndie mchumba wako nikijuwa tu! swala la ndoa sahau
 
Habari zenu wana MMU..
Kuna mambo huwa yanatokea sana unakuta watu mlikuwa wapenz thn mkajaacha af mnawekeana uhasama mie naona ni ulimbuken

Mie hadi leo nlishawah kuwa na wapnz 3 tukaachana kati ya hao wa2 ni marafiki/washauri wazuri tu haipiti siku hatujawasiliana au hata kutembeleana ofisini ,wanamfahamu mchumba wangu na wanamuheshimu japo yeye hawafahamu.
Nawapenda kifrendly na ktk mawasiliano yetu wote hatujawahi ongelea mapenz toka tuachane huwa tunaongea maswala ya kikazi na maisha kwa ujumla kiufupi ni kama kaka zangu wazuri tu!

Nafikiri ukaribu wangu na hawa wakaka sidhan kama una madhara yyte au hata kwa future yangu japo nafikiria siku mbabe akijatambua nlishawah kuwa na mahusiano nao asijezua mengne!au nimweleze??
Ushauri wenu wkuu

utajuta kuwa karibu nao siku ukitolewa mahari.
 
teh teh..lugha hii acha kabisa... kilikuja na ndege lakin..eti "MA" ex afu "WANGU" tena duh... anyway be carefooooooooooo(kinaijeria)
 
nikutongoze mrembo?
njoo basi jukwaa la wakubwa tuongee vizuri kimt.... hohohoooo! yeraaa!
 
Habari zenu wana MMU..
Kuna mambo huwa yanatokea sana unakuta watu mlikuwa wapenz thn mkajaacha af mnawekeana uhasama mie naona ni ulimbuken

Mie hadi leo nlishawah kuwa na wapnz 3 tukaachana kati ya hao wa2 ni marafiki/washauri wazuri tu haipiti siku hatujawasiliana au hata kutembeleana ofisini ,wanamfahamu mchumba wangu na wanamuheshimu japo yeye hawafahamu.
Nawapenda kifrendly na ktk mawasiliano yetu wote hatujawahi ongelea mapenz toka tuachane huwa tunaongea maswala ya kikazi na maisha kwa ujumla kiufupi ni kama kaka zangu wazuri tu!

Nafikiri ukaribu wangu na hawa wakaka sidhan kama una madhara yyte au hata kwa future yangu japo nafikiria siku mbabe akijatambua nlishawah kuwa na mahusiano nao asijezua mengne!au nimweleze??
Ushauri wenu wkuu

Mmhh hakuna vya ivyo shoga angu! Hakuna urafk wa ivo hata cku moja! Ipo cku mtakumbushana tu! Yaan mhh hapana...hainiingii akilklini! Hakuna mwisho mwema hapo! Ni hyo cku mtakayotembeleana majumban ndo utajua ni x au ni z
 
Katika vitu ambavyo nachukia ni ex bf,tena the lousy ones hata sitaki kuwaona kwa bahati mbaya,..mi mtu akishanitoka moyoni basi tena, labda kama nna maslahi binafsi na yeye tu ndo solution,otherwise sijawahi tamani kumrudia X kutoka moyoni

Kwan ww ulishaacha kujiuza ndugu?

Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
 
Mmhh hakuna vya ivyo shoga angu! Hakuna urafk wa ivo hata cku moja! Ipo cku mtakumbushana tu! Yaan mhh hapana...hainiingii akilklini! Hakuna mwisho mwema hapo! Ni hyo cku mtakayotembeleana majumban ndo utajua ni x au ni z

Natamani ningekuwa x wake..!!!
 
Mim nachojua mtalaka hatongozwi, sasa huo ukaribu unatuambia na ma X zako dah! hivi umeshawahi kumuambia shemeji the same story ambayo unatuambia???
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom