X boyfriend wangu ndio best friend wangu

X boyfriend wangu ndio best friend wangu

Katika vitu ambavyo nachukia ni ex bf,tena the lousy ones hata sitaki kuwaona kwa bahati mbaya,..mi mtu akishanitoka moyoni basi tena, labda kama nna maslahi binafsi na yeye tu ndo solution,otherwise sijawahi tamani kumrudia X kutoka moyoni


Yaan sitakag kumuona hata kwa bahat mbaya

Siku zote hawala hana talaka unaweza kukuta unarud na kumsalit mpz wako
 
Kama hukuwahi kugombana nao means huna chuki na yeyote kwahiyo hata kupasha kiporo haitakuwa shida.Mimi nimewahi kuwa na mpenzi wangu tukadumu kama mwaka 1 lakini niwe mkweli nilikuwa sina mpango awe mke wangu ikafikia muda hata yeye akajua.basi akatokea Me akamtokea na ahadi ya kumuoa basi yule x wangu akaniambia kwa uungwana bora aachane na Mimi na aanze relation mpya na mume mtarajiwa basi mimi bila hiyana nikamruhusu roho nyeupe kabisa na nikafuta namba yake sababu sikutaka tena mawasiliano naye lakini yeye hakufuta yangu.jamaa kweli akatimiza ahadi yake akambadilisha x wangu dini na kuwa muislam then akumuoa.amedumu kama mwaka na nusu kwenye ndoa akaanza mawasiliano ya nguvu kwangu kumbuka hatukuwahi kugombana na hata harusi yake nilimchangia mchango ili story isiwe ndefu kutokana na kutogombana na kupenda kumeet na Mimi especial kula lunch pamoja,kunitembelea ofisini LEO HII NI MCHEPUKO WANGU WA KUDUMU

Hahahahahaha
 
Msichana mwenye tabia kama yako kesho siku yake ya harusi alikwenda kumuaga huyo x boyfriend wake akafungiwa ndani siku mbili mfululizo hadi siku ya harusi ikapita wanamtafuta kanisani haonekani,alijuta kuzaliwa.Kwahiyo ipo siku watatafuta namna ya kukuharibia - Take care!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom