World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Kumbe USA hawakutaka kabisa Argentina apite? naona wanahuzuni sana du

10403241_927955383886976_1667351612828102503_n.jpg

Toka lin US wakapenda soka hivi??
 
tunashukuru kama umefika salama....
adolay atatulia sasa


Ulijuwaje [MENTION]Heaven on Earth [/MENTION],Nilipoona amefika salama nikashusha pumzi pwahhhh, si mchezo karoho

kalikuwa kanadunda sana everlenk , ni tiba asilia kwangu bila yeye sina raha wala amani.

Nawatakia usiku mwema.
 
Last edited by a moderator:
Kumbe USA hawakutaka kabisa Argentina apite? naona wanahuzuni sana du

10403241_927955383886976_1667351612828102503_n.jpg

Siyo hao tu hata Brazil hampendi Argentina,ukitaka uinjoi soka siku Brazil na Argentina wakutane,wana uhasama mkubwa sana.
 
Wajaribu tena 2018, ila wamenishangaza kusema kweli wamecheza kiume kwa muda mrefu na moja ya timu nzuri sana duniani, na kama si lile kosa basi kwenye matuta wangeweza kuibuka na ushindi.

kumbuka uswazi raisi wao wa FIFA yupo hapa kuwashangilia hawezi kumwangusha
 
Wanakuja taratibu na hakuna washangiliaji wazuri duniani kama Wamarekani, kama kungekuwa na kombe la ushangiliaji basi USA wangechukua kila waliposhiriki kwenye WC. Muulize Bwa'Nchuchu

Nipo park hapa na-host tailgate party.....

Karibu hot dogs mazee....
 
  • Thanks
Reactions: BAK
mara ya kwanza , mfano 1794 mechi zilikuwa zinachezwa mpaka siku tatu mfululizo mpaka mshindi apatikane. Mwaka 1877 ndipo sheffield football association walikubaliana kutunga sheria mpya ambazo mpira ungechezwa dk 90 na kama mshindi hajapatikana basi dk za nyongeza 30 zitaongezwa na kama mshindi hata patikana basi penati. Sababu kubwa ilikuwa ni kupunguza majeruhi na muda mwingine wachezaji kufariki kabisa.

Kwanin wasiweke dakika 100?? au 180??
 
why lunch iwe mchana badala ya saa sita usiku?

is just a formality or conventional ambayo watu wameadapt lunch iwe mchana. utaratibu ambapo at optimum njaa

walau inawakumba kwengi zaidi.

Dk-90 ni optimum time walau wachezaji wanakuwa na guvu kuendeleza burudan, na zaidi ya hapo wanakuwa

wamechoka sana.


maoni yangu tafadhali.

Wangeweka hata 100 basi
 
Enjoy to the maximum, kila nikiangalia kwenye rada zangu naona dalili ya ushindi ambao utaifikisha USA katika stage (QF) ya World Cup ambayo haijawahi kuifikia hivyo kuzidi kuitangaza zaidi soka.

Nipo park hapa na-host tailgate party.....

Karibu hot dogs mazee....
 
Back
Top Bottom