World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

hivi kwanin zinawekwa dk 90? Why not more or less??

mara ya kwanza , mfano 1794 mechi zilikuwa zinachezwa mpaka siku tatu mfululizo mpaka mshindi apatikane. Mwaka 1877 ndipo sheffield football association walikubaliana kutunga sheria mpya ambazo mpira ungechezwa dk 90 na kama mshindi hajapatikana basi dk za nyongeza 30 zitaongezwa na kama mshindi hata patikana basi penati. Sababu kubwa ilikuwa ni kupunguza majeruhi na muda mwingine wachezaji kufariki kabisa.
 
Haya wale wa Switz mnazo takriban dk 3 au 4 kama siyo 5 za kujitetea kabla hamjapigwa goli la kuwaliza
 
Refa naona soon ataanza mambo yetu ya kubeba timu "pendwa"

inaonekana hivyo,Sometimes marefa wa soka kama majaji wa boxing aliye active ndo anapewa points. Lakini Waswitz nao wanakaribisha mashambulizi, wameshapaki basi jekundu naona wanataka mikwaju ya penati. .
 
Ushauri wa bure wenye afya:

hama huko ili ulale usingizi mnono vinginevyo utapata usingizi wa mang'amung'amu huku ukiota maneno haya kutoka kwa commentator, "it's a goooooal from Lionel Messi, now it is very unfortunate to the Switz, we have to say bye bye to them...yeah..." mara huyo unaamka.

[TABLE="class: league-wc, width: 468"]
[TR="class: match"]
[TD="class: fd, bgcolor: #EEEEEE"]
flash.gif
87'[/TD]
[TD="class: tl, bgcolor: #EEEEEE, align: right"]Argentina[/TD]
[TD="class: fs, bgcolor: #EEEEEE, align: center"]0 - 0[/TD]
[TD="class: tr, bgcolor: #EEEEEE"]Switzerland[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
[TABLE="class: league-wc, width: 468"]
[TR="class: match"]
[TD="class: fd, bgcolor: #EEEEEE"]
flash.gif
87'[/TD]
[TD="class: tl, bgcolor: #EEEEEE, align: right"]Argentina[/TD]
[TD="class: fs, bgcolor: #EEEEEE, align: center"]0 - 0[/TD]
[TD="class: tr, bgcolor: #EEEEEE"]Switzerland[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

haya dk za majeruhi hizo
 
Messi leo anawatengenezea tu watu halafu hawafungi !!Ngoja ajaribu mwenyewe
 
Back
Top Bottom