palalisote
JF-Expert Member
- Aug 4, 2010
- 8,335
- 1,463
yameshakuwa hayo tenasema basi hizo kilo 20 zinatufikiaje? Ujue nimejitolea kuwa refa
yameshakuwa hayo tenasema basi hizo kilo 20 zinatufikiaje? Ujue nimejitolea kuwa refa
nakutafuta kwa nguvu zote ujue
usisahau tulivyobet......
MPESA haifanyi kazi mkuu
hili somo jipya halafu gumu, bila shaka linatumia assimilation policy
Ulibet naye huyu? Kama ni hivyo ujue ndio umeshaliwa lol!!!
mbona unaproject mbele wakati hata huu hawajapita?
hahaha Ananipa visingizio tu......
Niko na wewe #teamusa ....
hureeeee haya ndugu nieleweshe sasa
ulisema amount huiwezi Lol
kesho itakua active
#teamusa pia naamini kuna ushindi, ila mechi itakuwa tamu sana ya vuta nikuvute. bulldog ni aje mkuu? Kama umepoteza bet yako si uwasilishe ngawira kwa heaven on earth kama ulivyoahidi? Lol!!!!
Yaani France, Netherlands, German, Argentina zimepita kwa wasi wasi sana na lazima zitapunguzwa
#TeamUSA pia naamini kuna ushindi, ila mechi itakuwa tamu sana ya vuta nikuvute. Bulldog ni aje Mkuu? Kama umepoteza bet yako si uwasilishe ngawira kwa Heaven on Earth kama ulivyoahidi? lol!!!!
hata brazil wamepita kwa wasiwasi,only colombia ndio wameonyesha kiwango