World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Hivi kwanin zinawekwa dk 90? why not more or less??

why lunch iwe mchana badala ya saa sita usiku?

is just a formality or conventional ambayo watu wameadapt lunch iwe mchana. utaratibu ambapo at optimum njaa

walau inawakumba kwengi zaidi.

Dk-90 ni optimum time walau wachezaji wanakuwa na guvu kuendeleza burudan, na zaidi ya hapo wanakuwa

wamechoka sana.

maoni yangu tafadhali.
 
Dooooo! Pole sana kwa kutolewa, muda tu ndo unasubiriwa.

[TABLE="class: league-wc, width: 468"]
[TR="class: match"]
[TD="class: fd, bgcolor: #EEEEEE"]
flash.gif
72'[/TD]
[TD="class: tl, bgcolor: #EEEEEE, align: right"]Argentina[/TD]
[TD="class: fs, bgcolor: #EEEEEE, align: center"]0 - 0[/TD]
[TD="class: tr, bgcolor: #EEEEEE"]Switzerland[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Tutaona sasa, nasema swizz anapita

Ushauri wa bure wenye afya:

hama huko ili ulale usingizi mnono vinginevyo utapata usingizi wa mang'amung'amu huku ukiota maneno haya kutoka kwa commentator, "it's a goooooal from Lionel Messi, now it is very unfortunate to the Switz, we have to say bye bye to them...yeah..." mara huyo unaamka.
 
Nimeipenda tu jezi aliyoivaa kipa wa uswiz kama teniti la mjamzito au yale magauni ya kisasa(dela).
 
[TABLE="class: league-wc, width: 468"]
[TR="class: match"]
[TD="class: fd, bgcolor: #EEEEEE"]
flash.gif
72'[/TD]
[TD="class: tl, bgcolor: #EEEEEE, align: right"]Argentina[/TD]
[TD="class: fs, bgcolor: #EEEEEE, align: center"]0 - 0[/TD]
[TD="class: tr, bgcolor: #EEEEEE"]Switzerland[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

pamoja sana ila hama hiyo timu ili ulale unono leo
 
Kumbe hawa marefa wanatakiwa wawe wanaongea lugha mbili zinazoelewekwa na timu mbili.Lakini hata kama akiwa anaongea lugha moja inayoongelewa na timu moja ni poa tu. Jana nimemsikia Klinsmann akilalamikia refa wa Algeria kuwa haongei English bali french inayoongelewa na Belgium.
 
jamani waswiswi wana bahati dah
nilikua namuwazia MEANDU wakati wanataka kufingws
 
Last edited by a moderator:
why lunch iwe mchana badala ya saa sita usiku?

is just a formality or conventional ambayo watu wameadapt lunch iwe mchana. utaratibu ambapo at optimum njaa

walau inawakumba kwengi zaidi.

Dk-90 ni optimum time walau wachezaji wanakuwa na guvu kuendeleza burudan, na zaidi ya hapo wanakuwa

wamechoka sana.

maoni yangu tafadhali.

Nimefika salama my dear thank God,nimeshuhudia Mess akikosa kutikisa nyavu
 
Angel Dimaria hayuko fit leo na Messi bado ni Dangerous kitaeleweka tu soon
 
Dadeki nimeanza kutamani argentina wangolewe tu
Na watang'oka mbona ghana tumeondolewa na team zote za africa kwa wao ni nani!!
#teamswiss !
 
mdogo mdogo waswaz wanasogea tu....mara eeeeh Messi and argentina are out!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom