nilikwambiaje? Kwamba uhame huko ili ulale unono
Argentina to the quarter final
Nasubiri Belgium watanipa raha,hata hivyo Nesi katoka kapa leo.
mamamama yangu#timuswiz
yeyooo puupuupuu ee pupupupupu ee
Team Argentina Hoyeeeeee
Nasubiri Belgium watanipa raha,hata hivyo Nesi katoka kapa leo.
Switzerland wanapata maumivu ya kufungwa dk za mwisho mwisho kama waliyopata Mexico, Nigeria, Algeria, ..
mie ni fan wa timu zote huwa kila siku nachagua timu gani ya kushangilia siyo kwa sababu nataka isonge mbele.
oya si kitu hicho kimemea haya nipe maana ulosema