World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

BrexPzwCcAAzZq4.jpg
 
we are finally there.... go go argentina. sisi zetu dakika za mwisho tu, tunafanya kustukiza. kombe letu mtaona.
 
Mtanange wa kati ya ONE TEAM ONE MISSION na THE RED DEVILS unaanza,mimi team red devils
 
Quarter final
Brazil vs Colombia
Winner brazil

Netherland vs costarica
Winner Netherland

France vs Germany
Winner germany

Argentina vs USA
Winner Argentina

Semi final
Brazil vs Germany
Winner Brazil

Nertheland vs Argentina
Winner Argentina

Final
Brazil vs Argentina
Winner BRAZIL

Na ww ongeza wa kwako....
 
Kwanin wasiweke dakika 100?? au 180??

Labda nikote nje ya mada ingawa siyo sehemu yake lakini 90 ni mojawapo ya "MASONIC NUMBERS" kutokana ukweli kwamba 9+0=9 au dakika 45 ambayo ni 4+5=9. kipindi cha nyongeza ni dk 30 au 3+0=3. Namba 3 ni miongoni wa masonic numbers ikijulikana kama "THREE SENSES". Mwisho ni 9=3X3, kwanini namba 9 ni rahisi ukichukua 9 nukazidisha na namba yoyote (1,2,3.......10) unapata arithmetic progression. hii ni sifa pekee ya namba 9 ambayo hapo namba nyingine.
 
Hiyo kantangazee ni kamsemo tu kametokea sababu watu wengi wamezoea kutangaziana mambo,kuchafuana n.k, si unajua tena kila siku misemo inaibuka kama vile Utajiju,kudada

sawa mkuu nimekupata, ngoja sasa nikajipumzishe baada ya timu langu maridaaadi la argentina kufuzu hatua inayofuata.
 
Dunia yote na sayari za jirani zitafahamu kwamba USA leo imemfunga Belgium.

Walipokutana mara ya mwisho kwenye friendly matokeo yalikuwa 4-2 (Belgium washindi)
 
  • Thanks
Reactions: BAK
[TABLE="class: head_to_head h2h_mutual, width: 550"]
[TR]
[TD="class: h-part last, bgcolor: #343434 !important, colspan: 6"]Head-to-head matches: BELGIUM - USA[/TD]
[/TR]
[TR="class: odd highlight"]
[TD="align: center"]30.05.13[/TD]
[TD="class: flag"]FRI[/TD]
[TD="class: name"]USA[/TD]
[TD="class: name"]Belgium[/TD]
[TD="class: last, align: center"]2 : 4[/TD]
[/TR]
[TR="class: even highlight highlighted, bgcolor: #F0F0F0"]
[TD="bgcolor: #EAF7E7, align: center"]06.09.11[/TD]
[TD="class: flag, bgcolor: #EAF7E7"]FRI[/TD]
[TD="class: name, bgcolor: #EAF7E7"]Belgium[/TD]
[TD="class: name, bgcolor: #EAF7E7"]USA[/TD]
[TD="class: last, bgcolor: #EAF7E7, align: center"]1 : 0[/TD]
[/TR]
[TR="class: odd highlight"]
[TD="align: center"]13.07.30[/TD]
[TD="class: flag"]WOR[/TD]
[TD="class: name"]USA[/TD]
[TD="class: name"]Belgium[/TD]
[TD="class: last, align: center"]3 : 0[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Labda nikote nje ya mada ingawa siyo sehemu yake lakini 90 ni mojawapo ya "MASONIC NUMBERS" kutokana ukweli kwamba 9+0=9 au dakika 45 ambayo ni 4+5=9. kipindi cha nyongeza ni dk 30 au 3+0=3. Namba 3 ni miongoni wa masonic numbers ikijulikana kama "THREE SENSES". Mwisho ni 9=3X3, kwanini namba 9 ni rahisi ukichukua 9 nukazidisha na namba yoyote (1,2,3.......10) unapata arithmetic progression. hii ni sifa pekee ya namba 9 ambayo hapo namba nyingine.

Umenitisha ujueee!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom