palalisote
JF-Expert Member
- Aug 4, 2010
- 8,335
- 1,463
mamamama yangu#timuswiz
Kwa walioni quote huyo ndo Messi amepiga dribbling De Maria kamaliza watu haooo ,Ngoma ya kitoto haikeshi
Shaqir lazima awafunge sana leo hawa Argentina,Team Switz
Filimbi lia bas!!!!
mamamama yangu#timuswiz
Huzi ni fani za watu .... sio mlikuwa mnaona wakina Sheikh Yahya wanatajirika bure
Kutabiri inabidi uwe na kipaji
hamjui hii ni timu ya blatter?