Team Argentina Hoyeeee!!!
hoyeee hoyeee hoyeeeee
Team Argentina Hoyeeee!!!
Uswis naona wamepata nguvu ghafla..
Haya mashindano yamenishangaza sana kuhusu viwango vya baadhi ya wachezaji
Angalia mtu kama Higuan anashindwa kabisa kuweka heshima kwa Djourou, angalia mtu kama Lavezzi yaani mnyela juu ya mnyela. Angalia Di Maria anavyokimbiza Madrid na huyu Di Maria anayekimbia kimbia tuu uwanjani leo
Uswis naona wamepata nguvu ghafla..
Uswis naona wamepata nguvu ghafla..
Ebana eeh naona huyu Fernandez anawapeleka puta Wa-argentina pale katikati.
Hawakutegemea kama wangewatoa kamasi nyembamba Argentina kiasi hiki, na hapa walipofika wanaona bidii zaidi basi wanaweza kuibuka na ushindi.
mbona umeongea kwa masikitiko
Sijutaraji kama uswizi nao wanachenga za hatari
Sijutaraji kama uswizi nao wanachenga za hatari
mambo gani sasa haya leo uko timu tofauti??!
Heheheheheheheheheheh