BelindaJacob
Platinum Member
- Nov 24, 2008
- 6,494
- 4,076
Haya mwambie SAF amrudishe MANU akawasaidie kuchukua tena ubingwa msimu ujao. Jamaa mkali nilishangaa sana SAF alipoamua kutompa contract extension pamoja na yeye kuonyesha nia ya kubaki MANU.
SAF akimwona sasahivi lazima ajutie kimoyoni..ha ha,too late nasemaga!! Tevez is still good!