Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,100
- 136,715
Ile ile timu yangu, si unaijua?.teh teh kumbe ulikuwepo? leo ulikuwa unashabikia wapi?...najua utabadilisha
It is not wise to bet against my Brasil.....
heheh mkuu ningekuwa na dola 100 ya kupinga ,ningekuwa sauzi namuangalia messi live mida hii ,lakini msimamo wangu ni pale pale kesho BRAZIL anasambaratishwa. Hakikisha unakuwepo JF mida ya gemu.
C'mon NN, you think Brazil will win the trophy easily?!..Btw, I love Brazil but Argentina more!!
hakikisha unakuja na ile CD ya "waka waka" kesho
no ni Brasil, Argentina then Germany
Baby Brazil hawatafika final watakimbizwa huku chini chini, hawana striking force nzuri.....
BJ, hii game imeshakwisha....Argentina watakuwa wanapumzika tu kwa dakika zote zilizobaki ili kukusanya nguvu katika mchapo wao na Wajerumani. Natumai itakuwa mechi kali sana bila maamuzi yenye makosa. Hehe wamepata kamoja ingekuwa 2-1 lol!
Sasa kesho wewe unashabikia Chile means unataka Brazil watoke eeh!..By any chance naona game ya Germany nzuri zaidi ya Brazil!!and Argentina,the best for me!!ha ha
Maraharaha kama hayo ndiyo yamemfanya Brazameni alowee kule Brazil
U must be dreaming K ,
Hebu cheki hiyo dancando lambada....how can you be against Brasil?
Brazil the usual suspect do not count them out, they are always there whether you like it or not.