Bidhaa njema tena? Huyu ameilani timu na sasa haitachukua ubigwa.:biggrin1:hahahaha Sidhani kama linaweza kuweka hizo bidhaa njema mitaani
Nipo na Orange team..halafu nimebet,nahisi kulizwa leo!!
Nipo na Orange team..halafu nimebet,nahisi kulizwa leo!!
baada ya ROBBEN KUFUNGA.....LOL
mkuu mimi leo nipo orange, kuna kishoka wa SLOVAKIA mmoja alinilostisha miezi kadhaa iliopita, alinifanya nimelichukia sana hili taifa, nitarudi underdog mechi ya BRAZIL.mimi leo niko na UNDERDOGS tu.....na tumeshawakosakosa hawa ORANGE............
Nipo na Orange team..halafu nimebet,nahisi kulizwa leo!!
dont worry......holland anashinda hii.......
BJ hutalizwa keo maana Netherlands ni wazuri mno ukilinganisha na hao Slovakia, lakini kwenye dakika 90 chochote kinaweza kutokea kama vile goli lisilostahili au penalty lol!