World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

BAK mie nitachukulia 1-1..btw sasa ni 3 NIL..Nice goal by Tevez..Sasa ni officially Argentina Vs Germany in 1/4fins..

BJ, hii game imeshakwisha....Argentina watakuwa wanapumzika tu kwa dakika zote zilizobaki ili kukusanya nguvu katika mchapo wao na Wajerumani. Natumai itakuwa mechi kali sana bila maamuzi yenye makosa. Hehe wamepata kamoja ingekuwa 2-1 lol!
 
Lakini ningependa sana mwaka huu walau ubingwa uchukuliwe na timu nyingine na sio wale usual suspects wa kila mwaka wa kombe la dunia. Vipi Chile au Japan wakishinda....? Nimechoka na timu zile zile tu kubadilishana ubingwa...kama sio Brasil...basi Italia..kama sio Italia basi Deutschland....kama sio Deutschland basi Argentina...aaah inaboa sasa
kama Ghana vile au sio mkuu? lol
 
Katika hii wing ya kushoto Chile wanaweza kupita kama wataifunga brazil na hiyo inaweza kuwa chance ya ghana kuingia final. Upande wa kulia ni vigumu sana kwa Japan kupita hawataweza kuifunga Paraguay na kuna Spain pia kuna German.
 
Siyo siri nimemkubali..Goli safi sana!!Bravo Tevez!!

Na hii mechi ni dk 90 tu hata ingekuwa 70 bado Argentina wangeshinda..Phew,sijapata presha leo! ingekuwa zile timu zetu,mmoja kadraw mwingine kafungwa au wote wamefungwa!!

Haya mwambie SAF amrudishe MANU akawasaidie kuchukua tena ubingwa msimu ujao. Jamaa mkali nilishangaa sana SAF alipoamua kutompa contract extension pamoja na yeye kuonyesha nia ya kubaki MANU.
 
Katika hii wing ya kushoto Chile wanaweza kupita kama wataifunga brazil na hiyo inaweza kuwa chance ya ghana kuingia final. Upande wa kulia ni vigumu sana kwa Japan kupita hawataweza kuifunga Paraguay na kuna Spain pia kuna German.

Chile kuifunga Brasil will never happen. Jiandaeni kulia na kusaga meno tu hiyo Julai 11
 
Katika hii wing ya kushoto Chile wanaweza kupita kama wataifunga brazil na hiyo inaweza kuwa chance ya ghana kuingia final. Upande wa kulia ni vigumu sana kwa Japan kupita hawataweza kuifunga Paraguay na kuna Spain pia kuna German.

mkuu CHILE keshapita , BRAZIL anaaga mashindano rasmi kesho.
 
Back
Top Bottom