Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,217
- 3,125
Tena wakipatikana watu wengi itapendeza zaidi lol.Khaaa!!!..mwanamume kweli una roho ya mamba weye!..Mimi yangu macho tu hapa.
Tena wakipatikana watu wengi itapendeza zaidi lol.Khaaa!!!..mwanamume kweli una roho ya mamba weye!..Mimi yangu macho tu hapa.
Altidore na Edu nadhani ni watoto wa wahamiaji hawa...sio wa descendants wa watumwa wa kinugu. Huyu Altidore ana asili ya Haiti na huyu Edu ana asili ya Nigeria.
Sheria gani unazozizungumzia wewe? One drop rule au? Hivi W.E.B.DuBois wewe unamwonaje yule? Halafu na vipi wale wazungu waliokuwa wanawabaka wamama wa kitumwa wa Kiafrika na kuwazalisha...? Rejea historia ya Frederick Douglass...yule American abolitionist......Au umewahi kuwasikia Muhammad Ali na Malcolm wakielezea ni wapi wameutoa u light skinned wao?
Kumbe hadi mazee Wolf Blitzer ndani ya nyumba......
Yani ninasubiria sana huu mpambano kuona nani atacheza na Argentina semi!..
Yani ninasubiria sana huu mpambano kuona nani atacheza na Argentina semi!..
Mimi nataka England wacheze na Argentina maana hawa ni mahasimu...kuanzia vita vya Falklands hadi goli la mkono wa mungu kwenye Mexico '86......hii mechi italeta mashamsham ya aina yake