Saharavoice
JF-Expert Member
- Aug 30, 2007
- 4,057
- 2,637
Sasa ndiyo historia itaandikwa, Kichaa aongoza Agentina kutwaa ubingwa wa Dunia.
mkuu mimi leo nipo orange, kuna kishoka wa SLOVAKIA mmoja alinilostisha miezi kadhaa iliopita, alinifanya nimelichukia sana hili taifa, nitarudi underdog mechi ya BRAZIL.
duh acha kuzuga...ushaona hakieleweki mapeeema umeamua kuachana na stress......
😛lane: SLOVAKIA