wont stop thinking about you lizzy-2011-2

Wowwww. . . .thanks BAK.
That's gonna go directly to my fav tunes!!
Hata ki ''like'' basi duh.. Nilisikia huwa Hutoi kumbe ni kweli!! na ukitoa kama dakika mumi una unlike oi..
 
mwacheni lizzy wangu jamani msimuumize tafadhali tunajauana kwa vilemba tafadhali ati
 
mwacheni lizzy wangu jamani msimuumize tafadhali tunajauana kwa vilemba tafadhali ati

kumbe kuponda kote kule hawa dada zangu kuwa ni hatari kama simba umening'inizwa na mmoja wapo.
 
Hahahahah. . . Usiongee na mimi tena.Kwa kifupi tusijuane, huyo P nani sijui mchukue kama unamtaka.

Hollaa...!! Amechagua jela ya mapenzi yako Lizzy, kwa sababu hapo ndipo ilipo furaha yake! Hata ukisema hutaki, ye anasikia umesema unataka.....lolzz!!!
 
Si wanafanyaga hadithi za sungura na sizitaki mbichi hizi!!

badlucky sijakutana na binti wa kimachame sikunitakutana nae huyu nilienae lazima nimtupe kule kila mtu ninaemkuta nae chemba anamwita kaka yangu
 
Hollaa...!! Amechagua jela ya mapenzi yako Lizzy, kwa sababu hapo ndipo ilipo furaha yake! Hata ukisema hutaki, ye anasikia umesema unataka.....lolzz!!!

Heheehe. . .atajijua!!!
 
Siuje Machame aisee. . . .

aisee nitakuja one day, ila nawapa big up madada wote wa machame they are not cheap ndo maana wanawaponda endeleeni kuwapa vibuti vya mbavu wakafie porini.
 
cwezi kukuacha maana upendo wangu kwako ni mithili ya Mate na ulimi..i real lv u Lizzy! Mwaah!

Hahahaha. . . .
Hii yangu ya kufungia mwaka.
Happy New Year Ngwini. . .ubarikiwe mpaka ushangae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…