Mavipunda
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 7,243
- 8,097
Mbona mnatokwa mapovu? Wekeni na nyie ya Makufuli tuone tehe tehe!
Kumbe ni kweli ni moto wa mabua
Mbona mnatokwa mapovu? Wekeni na nyie ya Makufuli tuone tehe tehe!
Timu ya kampeni ya Lowasa imejaa matapeli na waongo wakubwa.Wanamlia hela bure.Tarehe 25 octoba ikifika watasema ona umati wote huo eti kapata kura 100 kumbe umati wa picha waliweka wa nchi ya GUINEA mji wa conakry.Hivi kwa uongo huu wanapata faida gani? Kama sio kujidanganya wao na lowassa wao.
Alifikiri ni wajinga kama nyumbu wa peeeeeoples.Na baado wanalazimisha mafuriko hewa kwenye mitandao,halafu malofa wenzao hukimbilia kuweka Like wakati wanadanganywa mchana kweupe,Ikulu wataenda kwa kualikwa kunywa chai na si kutoa maamuzi.WOLPER AIAIBISHA UKAWA KWA MAFURIKO FEKI:
Msanii wa bongo muvi ambae pia ni mpiga debe wa wa lowasa ameitia aibu kubwa Umoja huo wa ukawa,msanii huyu aliweka picha ya maandamo ya watu wa Guinea katika mtandao wa instagram na kusema eti ni ya Lowasa huko arusha!Jamani hii ni aibu kubwa sana kutokea hapa africa!!wananchi tuwe machoooo!Tukemee hilo!ona picha hii ukwelii
HII NI AIBU KUBWA KAPEWA KAZI HYO AWAAMINISHE WANACHI UONGO Jioneeni wenyewe wasanii hao kama mgombea wao alivyomsanii
Huyo Wolper naye kinachomuweka UKAWA ni nani hii tu, hakuna kingine, mawazo yake na akili yake ipo CCM
kumbe JK alisema ukweli kuhusu mbinu za UKAWA za 'kupika' picha za 'mafuriko'.
mkuu tuthibitishoie kwamba hapo sio arusha...
Kawaibisha sana au ndo kaanza kutumika