Wolper aiaibisha UKAWA kwa mafuriko feki

Wolper aiaibisha UKAWA kwa mafuriko feki

WOLPER AIAIBISHA UKAWA KWA MAFURIKO FEKI:

Msanii wa bongo muvi ambae pia ni mpiga debe wa wa lowasa ameitia aibu kubwa Umoja huo wa ukawa,msanii huyu aliweka picha ya maandamo ya watu wa Guinea katika mtandao wa instagram na kusema eti ni ya Lowasa huko arusha!Jamani hii ni aibu kubwa sana kutokea hapa africa!!wananchi tuwe machoooo!Tukemee hilo!ona picha hii ukwelii

HII NI AIBU KUBWA KAPEWA KAZI HYO AWAAMINISHE WANACHI UONGO Jioneeni wenyewe wasanii hao kama mgombea wao alivyomsanii

Huyu ashitakiwe kwa kughushi na uongo chini ya sheria ya mitandao kama yule aliyemzulia uongo General Mwamunyange. Liwe fundisho kwa Ukawa waache mafuriko yao ya kubuni. WM
 
Reuters, una utindio Wa ubongo uliotukuka,hapa ni Arusha na inawezekana hupajui Arusha,hiyo picha imekuwa edited na IT Masaki,pole sana kwa kulishwa uharo fake
 
Reuters, una utindio Wa ubongo uliotukuka,hapa ni Arusha na inawezekana hupajui Arusha,hiyo picha imekuwa edited na IT Masaki,pole sana kwa kulishwa uharo fake

Usitufanye washenzi kama lowasa anavyowafanya washenzi na malofa

Unataka kutuambiwa hatupajui arusha?

Haya hebu ropoka hapo n sehem gan
 
Uadilfu ni sifa ya kwanza katika taifa kwani bila uadilifu hakuna haki kwa wasio kwenye network hasahasa wananchi wa kawaida ambao ndio wengi katika taifa,
Unapomweka kiongoz wa nchi ambaye ndio mkuu wa taifa akiwa mtuhumiwa mkuu wa kutokuwa na uadilifu, unapelekea taifa zima kuangamia kwani watendaji wa serikali na hata taasisi za uma watafanya aliyofanya mkuu wa nchi kwani hamna wa kumfunga mwenzake kengengele, kama mkuu wa nchi alifanya vitendo visivyo vya uadilifu, sembuse mtu wa kawaida atashindwa kufanya kama aliyofanya mkuu wa nchi?????
hivyo basi ili kuondoa ubinafsi wa kujilimbilizia mali, rushwa, na utendaji wa haki katika taifa,ni vizuri tukapata kiongozi mwadilifu ili awe mfano wa kuigwa kwa wananchi wake, pia atakuwa na uwezo wa kukemea maovu katika jamii kwani atakuwa na ujasiri kwa sababu sio miongoni, hivyo basi wananchi waelewe kuwa kiongozi ni kio cha jamiii, kama kiongo mkuu katika taifa ni mchafu hata wananchi hasahass watendaji wa serikali ni rahis kufanya uchafu,
ni heri kiongozi wa taifa kutuhumiwa kuuuwa kuliko kutuhimiwa kutokuwa mwadilifu kwani uadilifu ndio sifa ya kwanza ya kiongoz wa nchi,
ukiwa mwadilifu utatenda haki kwa kila mtu, utakuwa mzalendo na taifa lako,

Dawa si kupata kiongozi mwadilifu mmoja,maana yeye ni sawa na tone moja ktk bahari.Dawa ni kupata katiba ya wananchi ambayo akina Nape na Kinana walipita huko na huko wakiipiga vita,kwa maana hiyo katiba itaweza kuzalisha mamilioni ya viongozi na watumishi waadilifu.
 
Hivi lowasa alisema anataka seriakli ngap vile wakti wa bunge la katiba?
Hiv n sababu gan iliwafanya ukawa wakatoka nje ya bunge?
Na sasa n nan mgombea wa ukawa?

Je kimewaunganisha nn?

Watanzania sio wapumbavu na malofa namna hio

Tumchaguen tu magufuli
Tena kwa moyo mkunjufu.
 
11990606_904424492983038_2401690076201358897_n.jpg
 
Hivi lowasa alisema anataka seriakli ngap vile wakti wa bunge la katiba?
Hiv n sababu gan iliwafanya ukawa wakatoka nje ya bunge?
Na sasa n nan mgombea wa ukawa?

Je kimewaunganisha nn?

Watanzania sio wapumbavu na malofa namna hio

Tumchaguen tu magufuli
Tena kwa moyo mkunjufu.
Wewe unamtindio Wa akili, kaa chini then think critically. Mtz kuichagua tena ccm ni laana kwa Mungu. Chagua LOWASSA, save Tanzania.
 
Huyu ashitakiwe kwa kughushi na uongo chini ya sheria ya mitandao kama yule aliyemzulia uongo General Mwamunyange. Liwe fundisho kwa Ukawa waache mafuriko yao ya kubuni. WM

Wallah navyo mpenda huyu mtoto hata wakimpa kesi ya mauaji ya Kimbari naenda kumtoa. Achilia mbali kesi za vimitandao.
 
Mzee hizi picha kazi tengenezee frame kwa kumbu kumbu. Sasa hivi " message received " kwa watanzania. Kama kutakuwa na kujisafisha ni huko baadae baada ya Lowassa kuapishwa.
 
ImageUploadedByJamiiForums1444498659.243462.jpg
Wazee wa konakry,nimepata hii kitu ingine,itawafaa sana,mpeni dada yule basi afanye mamboo?ila muwe makini,ni US,msije sema nyomi la kigoma mkaaibika mapema mapema kabla kiki haijajikiki
 
View attachment 297240
Wazee wa konakry,nimepata hii kitu ingine,itawafaa sana,mpeni dada yule basi afanye mamboo?ila muwe makini,ni US,msije sema nyomi la kigoma mkaaibika mapema mapema kabla kiki haijajikiki

Kwi kwi kwi
Aiseeee hawa kweli wazee wa Conakry! Ila usiwaingize kishawishini mkuu!
 
View attachment 297240
Wazee wa konakry,nimepata hii kitu ingine,itawafaa sana,mpeni dada yule basi afanye mamboo?ila muwe makini,ni US,msije sema nyomi la kigoma mkaaibika mapema mapema kabla kiki haijajikiki

Hahahahaha,umenifurahisha sana,sasa hivi hii inaenda ktk kitengo cha fotoshop kinachoongwa na huyo dada!ngoja tuisubirie
 
Back
Top Bottom