Wolper aiaibisha UKAWA kwa mafuriko feki

Reuters

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2015
Posts
375
Reaction score
160
WOLPER AIAIBISHA UKAWA KWA MAFURIKO FEKI:

Msanii wa bongo muvi ambae pia ni mpiga debe wa wa lowasa ameitia aibu kubwa Umoja huo wa ukawa,msanii huyu aliweka picha ya maandamo ya watu wa Guinea katika mtandao wa instagram na kusema eti ni ya Lowasa huko arusha!Jamani hii ni aibu kubwa sana kutokea hapa africa!!wananchi tuwe machoooo!Tukemee hilo!ona picha hii ukwelii

HII NI AIBU KUBWA KAPEWA KAZI HYO AWAAMINISHE WANACHI UONGO Jioneeni wenyewe wasanii hao kama mgombea wao alivyomsanii
 
Attachments

  • 1444377286704.jpg
    1444377286704.jpg
    41.4 KB · Views: 7,144
  • 1444377313492.jpg
    1444377313492.jpg
    41.2 KB · Views: 6,437
  • 1444377332311.jpg
    1444377332311.jpg
    78.1 KB · Views: 6,380
  • 1444377436125.jpg
    1444377436125.jpg
    87.5 KB · Views: 6,219
Barabara inapokuwa na lami ya watu. Na hiyo ndio definition ya chadema arusha
 
WOLPER AIAIBISHA UKAWA KWA MAFURIKO FEKI:

Msanii wa bongo muvi ambae pia ni mpiga debe wa wa lowasa ameitia aibu kubwa Umoja huo wa ukawa,msanii huyu aliweka picha ya maandamo ya watu wa Guinea katika mtandao wa instagram na kusema eti ni ya Lowasa huko arusha!Jamani hii ni aibu kubwa sana kutokea hapa africa!!wananchi tuwe machoooo!Tukemee hilo!ona picha hii ukwelii

HII NI AIBU KUBWA KAPEWA KAZI HYO AWAAMINISHE WANACHI UONGO Jioneeni wenyewe wasanii hao kama mgombea wao alivyomsanii

Hahahahahahhaahhahaha
Ukawa wameshikwa pabaya
Hawakutegemea ccm ingesambaratisha ngome kuu ya ukawa arusha
 
Mnamuonea wivu binti mzuri. Aibu picha au aibu kwenda kuomba omba?
 
Mbona mnatokwa mapovu? Wekeni na nyie ya Makufuli tuone tehe tehe!
 
Masaki IT centre mnajaribu sana kupotosha ila ukweli ni kwamba tukio la Jana haijawahi kutokea maishani

Naona mnawaaminisha wananchi kwa picha za nje poleni sana ukawa ila ukweli utabakia palepale Magufuli anakubalika
 
Timu ya kampeni ya Lowasa imejaa matapeli na waongo wakubwa.Wanamlia hela bure.Tarehe 25 octoba ikifika watasema ona umati wote huo eti kapata kura 100 kumbe umati wa picha waliweka wa nchi ya GUINEA mji wa conakry.Hivi kwa uongo huu wanapata faida gani? Kama sio kujidanganya wao na lowassa wao.
 
Masaki IT centre mnajaribu sana kupotosha ila ukweli ni kwamba tukio la Jana haijawahi kutokea maishani

Iyo ni Conakry meeting mkuu ilikua Guinea ukitaka Google alaf utafte upande wa image utakutana na iyo picha
 
WOLPER AIAIBISHA UKAWA KWA MAFURIKO FEKI:

Msanii wa bongo muvi ambae pia ni mpiga debe wa wa lowasa ameitia aibu kubwa Umoja huo wa ukawa,msanii huyu aliweka picha ya maandamo ya watu wa Guinea katika mtandao wa instagram na kusema eti ni ya Lowasa huko arusha!Jamani hii ni aibu kubwa sana kutokea hapa africa!!wananchi tuwe machoooo!Tukemee hilo!ona picha hii ukwelii

HII NI AIBU KUBWA KAPEWA KAZI HYO AWAAMINISHE WANACHI UONGO Jioneeni wenyewe wasanii hao kama mgombea wao alivyomsanii

Hiyo ni habari ya Instagram ambayo inaeleweka wazi mtandao huo ukoje na una mambo gani, labda nikuuleze tu hivi umeishawahi kuja hapa JF na kuzungumzia juu ya BUHOHELA kuchanganya picha za video katika taarifa za habari? kwani mara nyingi pale CCM inapokuwa mikutano yake imedoda uweka clip ya Magufuli alipokuwa Mbeya huko kiuhalisia mkutano unakuta ni wa kule Simiyu ni vema ukatuweka wazi kati ya Wolper na huyo BUHOHELA ni nani mkosaji mkubwa kulingana na chombo kilichotumika kutoa habari hiyo?
 
Timu ya kampeni ya Lowasa imejaa matapeli na waongo wakubwa.Wanamlia hela bure.Tarehe 25 octoba ikifika watasema ona umati wote huo eti kapata kura 100 kumbe umati wa picha waliweka wa nchi ya GUINEA mji wa conakry.Hivi kwa uongo huu wanapata faida gani? Kama sio kujidanganya wao na lowassa wao.

Ukawa washaanza kuwa waongo hivi
matapeli wasioaminika hata kabla hatujawapatia nchi
Hahah

Je tukiwapatia je?

Ikulu sio pango la walanguzi
Vigeugeu
Wezi
na
Wauaji
 
Hawa ukawa wanakaba kwa macho (kwa waliocheza mpira wa miguu na wanaocheza wanajua msemo huu) wenzao wakijaza watu wanasema fieta wao wakijaza ni nyomi, sasa kura za ccm zikitosha hata ccm watasema hizi ni kura za fiesta. Ukawa acheni kukaba kwa macho ccm wapo serious watawafunga mengi
 
Mbona povu? Tunajua nyomi ndiyo iliyovifanya vyombo vibaraka vya ccm kutoonesha mkutano huo hata kwenye taarifa ya habari. pole yenu na bado hapa Rock city tutawanyoosha pia
 
Ccm mtahangaika sana Mwaka huu lowasa huyoooo ikulu
 
Lowasa hakubaliki kwao; uwanja wa sinoni . Karume ni mkubwa kinoma.
 
Back
Top Bottom