Wolper aiaibisha UKAWA kwa mafuriko feki

Wolper aiaibisha UKAWA kwa mafuriko feki

Nakerwa sana na uongouongo wa UKIWA, wao wanatakiwa wawe mbadala wa CCM, kwa unafiki huu wenye akili wanaona uadilifu upo kwa Magufuli #Hapakazitu.
Ati jana hawakuwa live Arusha umeme ulikatika,TV kubwa kama ITV gari ya matangazo haina standby generator? Au wali record waandae mafuriko studio.
Mara tutarudi Geita kwa sababu MIC haiko O.k. kwa LOwasa,ila ilikuwa OK kwa Lissu.
 
Aibu yao aibu yetu, aibu yao wenyeweeee, sie 2me2lia na Magufuli wetu 2nasubir ushindi 2 October 25
 
Hana kosa, bali ni msanii...! Mbona hata Gazeti la Mwananchi wameweka mkutano wa CDM 2011, pale NMC na kuita ya jana?
 
  • Thanks
Reactions: R.B
Tatizo la ukawa wanataka kuuaminisha Umma wa wa2 kuwa wakishindwa wameibiwa ndo maana kila cku kazi yao ni kutengeneza mafuriko feki
 
akimaliza kazi ''atapewa zawadi ya ushindi na edo
 
Mimi nachoshangaa mpaka watu wa arusha nao wamepost hiyo picha as if hawapajui Arusha.. Hizi picha za nyomi feki zinatengenezwa na mafisiemu ili kuandaa goli mkono na wasingizie mafuriko ya Lowassa yalikuwa feki
 
Do you use your brain or mucus?
Nahisi hata wazazi wako watakua wanajuta kukuzaa..

Sasa wewe hilo dude la mviringo juu ya shingo yako mwenyewe unaita kichwa unaona walichofanya ukawa ni sawa? Wolper kaweka mtandaoni maandamano ya Guinea anazuga ni ya Arusha! hii akili au matope!
 
wewe unaumwa labda kumbe bado hujajua kuwa ccm wanafosi laki ukweli ni ivi chadema jsna ndio imetia fora arusha na watu hawajasababishwa na fiesta wala mafuso

Mkutano wa magufuli umewafanya Ukawa wapagawe sana
 
  • Thanks
Reactions: R.B
Naomba kapititshe jicho kurasa za mbele za magazeti.japo saa hizi utakuta mengine yameisha kwisha.

Kwakweli hali ya ccm ni mbaya,sjui hata wakikutana kwenue vikao vya mipango wanaangalianaje?
 
Kumbe nanyi lowasa anawakuna,mnamfuatilia kila mahali,tuongez nguvu za mabadiliko,sisimu ni wadhaifu na makanjanja
 
Hii picha imenisikitisha sanaa kwa kweli,mnafikia hata steji ya kufeki hivi??OMG
 
WOLPER AIAIBISHA UKAWA KWA MAFURIKO FEKI:

Msanii wa bongo muvi ambae pia ni mpiga debe wa wa lowasa ameitia aibu kubwa Umoja huo wa ukawa,msanii huyu aliweka picha ya maandamo ya watu wa Guinea katika mtandao wa instagram na kusema eti ni ya Lowasa huko arusha!Jamani hii ni aibu kubwa sana kutokea hapa africa!!wananchi tuwe machoooo!Tukemee hilo!ona picha hii ukwelii

HII NI AIBU KUBWA KAPEWA KAZI HYO AWAAMINISHE WANACHI UONGO Jioneeni wenyewe wasanii hao kama mgombea wao alivyomsanii

ccm tulieni dawa iwaingie, mngetuuliza sisi tuliokuwa Arusha jana kuliko kukurupuka na kumshambulia Princess Jackline.

Izo Picha ndio ukweli wenyewe ulivyokuwa sio kama za ccm za kimagumashi. Iyondio Arusha Mkuu, hapo ni Arusha Mjini, pale kwa Nassari napo Yalikuwa Mafuriko ya kufa Mtu, mtanyookatu Mwaka huu Hakuna wa kumzuia lowassa kwenda ikulu tena.
 
Hizi ni za Guinea? nyambaafu

11870638_1240188206006729_3485394884588550644_n.jpg


11892243_1240188119340071_6020526462161287749_n.jpg


12105879_1039602919425885_5687749639153204052_n.jpg


11218885_1039602959425881_928485320760986956_n.jpg


12047134_10153650272754328_4218212915010272596_n.jpg

Siku zote ukweli utakua ukweli tu, hyo picha ya conakry ilikua ya nini sasa kupost wakati mnajua sio Arusha,

Mimi nachoshangaa mpaka watu wa arusha nao wamepost hiyo picha as if hawapajui Arusha.. Hizi picha za nyomi feki zinatengenezwa na mafisiemu ili kuandaa goli mkono na wasingizie mafuriko ya Lowassa yalikuwa feki

Na hizo juu ni wapi comoro au papua???
 
Sawa mlitia fora why sasa mtumie picha za uwongo ?!😂😂😂 mlijua hamtabambwa Eeeh dunia sikuizi iko mkononi msijaribu tena aaaaahaaaaa
 
ccm tulieni dawa iwaingie, mngetuuliza sisi tuliokuwa Arusha jana kuliko kukurupuka na kumshambulia Princess Jackline.

Izo Picha ndio ukweli wenyewe ulivyokuwa sio kama za ccm za kimagumashi. Iyondio Arusha Mkuu, hapo ni Arusha Mjini, pale kwa Nassari napo Yalikuwa Mafuriko ya kufa Mtu, mtanyookatu Mwaka huu Hakuna wa kumzuia lowassa kwenda ikulu tena.

Ukweli ubaki palepale.. Tusikimbilie kupost vitu bila ya Uhakika.. Sasa unakuta hadi mkazi wa arusha kaweka hiyo picha Facebook au kaituma whatsapp. Ukimuuliza hapo ni arusha wapi hana jibu..
 
WOLPER AIAIBISHA UKAWA KWA MAFURIKO FEKI:

Msanii wa bongo muvi ambae pia ni mpiga debe wa wa lowasa ameitia aibu kubwa Umoja huo wa ukawa,msanii huyu aliweka picha ya maandamo ya watu wa Guinea katika mtandao wa instagram na kusema eti ni ya Lowasa huko arusha!Jamani hii ni aibu kubwa sana kutokea hapa africa!!wananchi tuwe machoooo!Tukemee hilo!ona picha hii ukwelii

HII NI AIBU KUBWA KAPEWA KAZI HYO AWAAMINISHE WANACHI UONGO Jioneeni wenyewe wasanii hao kama mgombea wao alivyomsanii

Kusoma hamjui hata kuona pia ni sheeeda Acheni kuweweseka mtaisoma namba mwaka huu,Guine kuna wanachama as CHADEMA? Zoom picha uone
 
WOLPER AIAIBISHA UKAWA KWA MAFURIKO FEKI:

Msanii wa bongo muvi ambae pia ni mpiga debe wa wa lowasa ameitia aibu kubwa Umoja huo wa ukawa,msanii huyu aliweka picha ya maandamo ya watu wa Guinea katika mtandao wa instagram na kusema eti ni ya Lowasa huko arusha!Jamani hii ni aibu kubwa sana kutokea hapa africa!!wananchi tuwe machoooo!Tukemee hilo!ona picha hii ukwelii

HII NI AIBU KUBWA KAPEWA KAZI HYO AWAAMINISHE WANACHI UONGO Jioneeni wenyewe wasanii hao kama mgombea wao alivyomsanii

Aibu kubwa kuliko ni mgombea urais wa CCM kuonekana Wizara anayoingoza mpaka sasa ikiwa imepata hasara ya 124 bilioni ambazo ni Faini ya kuchelewesha malipo kwa wakandarasi na malipo hewa halafu anajinadi kupambana na kivuli chake mwenyewe huku akisema ni mwadilimu na msafi.
 
Back
Top Bottom