laki si pesa.
JF-Expert Member
- Jul 14, 2015
- 9,984
- 9,757
Hello wanaJf nipo hapa kusikiliza kilio chenu naombeni list ya matawi CRDB yanaongoza kwa uwizi kwa wateja,Ili tukaifanyie kazi ntawashukuru kwa kunipa feedback.
Ushazulumiwa wewe mi nilijua umeanzisha timbwili ukalipwa
Yaaaap hata crdb arusha nao kuna mdada nlimwacha pale mjamzito alikuwa janja sana alikuwa na ujanja huo huo
Ungelianzisha fifte kubwa
Kimeo yuko bize na vibint tu!
Crdb Mwanza pale Mwanza hotel kuna type ya watu hawa...ngoja wataniona nshasoma mchezo m huwa nahc ninakoseaga kumbe?
Wanajifanya wana maisha mazur kumbe story tu...
CRDB UDSM Branch, one of the best Bank ever seen in Tanzania.Big up solome.Rosalia,Bahati?Kaka wa kimasai,na ndugu uliye hamishiwa Babati.
MKIHAMISHWA HAPO NITAWAFUATA
mnqsubiri nini kuhama bank? mie nilishakimbia huko.makato makubwa na kuibiwa niibiwe.hizi benk ndogo wapo vizuri mie nilihamia azania benki wapi vizuri mateler wanahesabu hela kwa uwazi unaridhika.
Waacheni waibe tu jamani.. Mshahara wenyewe laki 6 na hapo unaingia ofisini saa 12 asubuhi unatoka saa 2 usiku..
Off ni siku moja tu kwa wiki.. Hawa bankers wengi hamna kitu ukimtoa Bank Manager na Treasurer hizo takataka sijui Teller, Loan Officer ni njaa tupu
Jamani muwe macho sana mnapowapa matela wa CRDB hela. Kuna huyu mmoja hapa Mbezi Mwisho, kijana wa kiume mweupe, ukimpa hela wakati wa kudeposit anazichanganya fasta na nyingine halafu wakati anazihesabu na mashine anakuambia mara kumi moja hamna, jana nilimpa mamilioni ya pesa cha ajabu aliniambia hamsini nzima imepelea. Nilitaka kuanzisha vagi lkn nikaona what is fifty thousand to me.
Nimemuwekea mtego huyu kijana. Mtanisoma kwenye magazeti.