1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 10,137
- 14,233
[emoji23]Hiyo gari yako hawajaiamulia tu haina security yoyote wanaiba mapema kabisa kabla hata haujalala.
Wanaweza kutumia plastic pipe kukata to get those off. Inachukua sekunde mbili tu hakuna kelele tena
Wanakata nini na wapiHiyo gari yako hawajaiamulia tu haina security yoyote wanaiba mapema kabisa kabla hata haujalala.
Wanaweza kutumia plastic pipe kukata to get those off. Inachukua sekunde mbili tu hakuna kelele tena
Mkuu kitambo sanaPoleni sana... Ngoja waje kuwapa muongozo...
Kwa nini misiwe na mambo ya ulinzi shirikishi... au
Yalazeni magari yanu yakiwa na mafuta ya reserve tuu... Nyonya yote weka ndani...
Cc: mahondaw
LKi 8 tu? Mbona kidogo!Tatizo ukitoa betri au ile fuzi ya powersuply kweli hawataweza kuliwasha ila inakuwa tatizo jingine kwamba hata kibaka akija akivunja kioo haitapiga ata alam n anaweza fungua chochote mfano taa, power window etc
Idea nzur madhani kifunga CAR TRACKING... kama kuna mwenye maujuzi atuambie how it works...
Insuarance kubwa ni nzuri.zaid ila garama sana... yaani unalipa 4% kila mwaka mfano kama gari ni 20M basi unalipa not less than laki 8 kwa mwaka...
yaani ma option yote hayo ni.full STRESS... leten mbinu mpya..
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahaaaUnapolala toa battery ya gari weka ndani.
Ukilala toa upepo tairi zote.
Hakikisha unakicompressor kidogo cha kujazia upepo kinachotumia 12VDC.
Namjibia. Insurance itakulipa fedha inayolingana na thamani ya gari yako kabla ya kuibiwa plus 10% excess deductionRRONDO Comprehensive insurance ukiibiwa gari wanalipa mpya yake?.
HahahaaDawa yao ni moja tu nawe lala humohumo ndani ya gari wakija iyo usiku unawapigia honi wenyewe wanakimbia,Mbinu ya kisasa iyo
Kisanduku cha fyuzi kina mchoro unaoonyesha fyuzi zote zilizomo katika gari. Fyuzi ya starter huwa ina amps kubwa kupita nyingine labda 40amps ndiyo unaitoa hiyo.Kuna fyuzi flani ukichomoa gari haiwaki hata kwa dawa,ila mm nilikua naona tu kuna mdau tukipaki gari anachomoa fyuzi flani,kuwaka mpaka airudishe tena,Ila wajuvi wa hizo mambo nadhani wanajua ziadi ni fyuzi gani
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkalidayo acha kufuru.LKi 8 tu? Mbona kidogo!
wataanza kuja na fyuzi zao, akicheki amna anachomeka yakwake hao wanatembea nayoChini ya usukani pale Kuna fyuz iko au katika bonet pale karibu na betri Kuna fyuz ziko ukichomoa tu hakuna kuwasha gari kabisa
kilicho akilini kitumie
Keyless cars zina faida hasa kibongobongo ila mimi nakuibia vitu vyako vya ndani ya gari vyote na nikitaka naiwasha.Immobilizer ndo nini?
so gari keyless ina faida kiusalama kuliko ya kuhitaji funguo?
Hata mm ni wizard sema sipendi showoff!!Uuze dawa za asili za kunasa wezi kwani we umekuwa Mshana Jr siku hizi? Humu ndani mchawi Mkuu ni huyo jamaa kutoka mwanga,ugweno tu.
Duuh, punguza mihemko kamanda nilikuwa nanogesha mada tu. Ila wewe ndio umeonesha chuki ya hali ya juu, angalia sana usijepata vidonda vya tumbo bure jifunze kuheshimu mawazo ya wengine utaishi bila kuwa na mawazo yasiyo ya lazima.Wewe utasubiri sana na roho yako mbaya na uchawi. Tumia uchawi wako na roho mbaya yako ili hilo utakalo litimie,lakini kumuhusisha Mungu si vyema,utachapwa makofi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ni siri ila fahamu kuanzia sasa (steering wheel lock) doesn't work, naweza kuitoa ndani ya sekunde tu.Wanakata nini na wapi
tuelimishane
Inahitaji sensor uwe nayo ndani ya gari karibu na usukani ili iwake...
Watawashaje?. Bila kuwa nayo
Ahaa sawa,ila mimi huwa ni mtundu kwenye mambo ye mechanics ila umeme naogopa hata kujaribu tena haya magari ya kisasa ya hybreed full electronics ndo sitaki kabisa mazoea nayoKisanduku cha fyuzi kina mchoro unaoonyesha fyuzi zote zilizomo katika gari. Fyuzi ya starter huwa ina amps kubwa kupita nyingine labda 40amps ndiyo unaitoa hiyo.
nimetulia 127.0.0.1 siunajua sasa ivi sio vema kuwa 255.255.255.255Mkuu tunahitaji kujua upo wapi? Unaweza kuisaidia polisi. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Utachomwa moto jmn siku moja.!Keyless cars zina faida hasa kibongobongo ila mimi nakuibia vitu vyako vya ndani ya gari vyote na nikitaka naiwasha.
Wezi professional wanatumia computer sisi wezi wa mtaani hatuna huo muda sana, wanachokifanya wana plug in via the obd port kwenye gari yako na wana code new key na kuwasha gari lako.
Kama huyo mwizi kadhamiria kweli anaondoka nalo ila anaweza kuamua kukutia adabu kama mwizi mimi naiba kila kitu ndani ya gari na ku-unlock steering yako kisha naondoka