born again pagan
JF-Expert Member
- Apr 28, 2014
- 2,333
- 1,500
Uuze dawa za asili za kunasa wezi kwani we umekuwa Mshana Jr siku hizi? Humu ndani mchawi Mkuu ni huyo jamaa kutoka mwanga,ugweno tu.Nauza dawa ya kunasisha wezi kwenye gari,tuwasiliane PM.
Uko sahihi kabisa , gari za siku hizi zina mfumo wa magneto ambayo timing signals zinasomwa na sensor iliyopo kwenye flywheel, very accurate ,
Distributor zilinitesa sana miaka ya nyuma enzi hizo niaendesha landrover 109 ,
Sent using Jamii Forums mobile app
Na ili kuwakomesha iache chini kabisaNamimi nasema ukialala fungua tairi zote za gari kalale nazo chumbani...
Chini ya usukani pale Kuna fyuz iko au katika bonet pale karibu na betri Kuna fyuz ziko ukichomoa tu hakuna kuwasha gari kabisa
kilicho akilini kitumie
Wezi wakishindwa kuiba baadhi yao huwa wanakunya Mavi, sijui kwanini
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnaozungumzia relay sijui kma mnaijua inavyofanya kazi au la, relay ni switch ambayo inategemea, zipo zibazokua On zikipokea umeme na zipo zinazokua Off zikipokea umeme, ni rahisi sana mtu ku-improvise akiwa anafahau. Kuhusu fuse ndo msijisumbue kabisa. Mana ni kujua tu fuse ya power ni ipi kisha unachomeka waya mdogo unaounganisha kitu kimejipa. Hii tumeifanya sana garage, umeachiwa gari utengeneze jamaa kaondoka na key, unafanya mafekeche inawaka.
Lete mbinu za vijana wa 2020..
Sahihi kabisaKunakuwa na sensor 2. Moja inafungwa kwenye flywheel lakini lengo lake ni kutoa data za position ya crankshaft. Ya pili inafungwa kwenye camshaft kwa ajili ya kutoa data za position ya camshaft...
Uko sahihi, magari ya sasa hayana point hayana madistibyuta wala makabuleta mbadala wake imekuwa koili za kila silinda kompyuta ndio inazipatia mwako tofauti na distribyuta ambayo ilikuwa inapeleka myoto kwenye maplagi...hivi ule uzi wa magari Prondo upo maswali ya hivi yajibiwage kule
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahah... Huyo aje nimpe tuzo...Na ili kuwakomesha iache chini kabisa
View attachment 1397725
Hii mbinu nimeikubali mkuuUnapolala toa battery ya gari weka ndani.
Ukilala toa upepo tairi zote.
Hakikisha unakicompressor kidogo cha kujazia upepo kinachotumia 12VDC.
Uzi bado upo. Yanajibiwa.Uko sahihi, magari ya sasa hayana point hayana madistibyuta wala makabuleta mbadala wake imekuwa koili za kila silinda kompyuta ndio inazipatia mwako tofauti na distribyuta ambayo ilikuwa inapeleka myoto kwenye maplagi...hivi ule uzi wa magari Prondo upo maswali ya hivi yajibiwage kule
Sent using Jamii Forums mobile app
Kikosi kazi cha hao waibaji pia wanakuwa na mafundi waliobobea [emoji23]Kuna fyuzi flani ukichomoa gari haiwaki hata kwa dawa,ila mm nilikua naona tu kuna mdau tukipaki gari anachomoa fyuzi flani,kuwaka mpaka airudishe tena,Ila wajuvi wa hizo mambo nadhani wanajua ziadi ni fyuzi gani
Sent using Jamii Forums mobile app
Immobilizer ndo nini?Tracking inasaidia sana. Wezi wa Tz sio advanced kivile,sidhani kama wamefikia level za kuiba gari zenye immobilizer au keyless. Ukiweka tracker hata ikiibiwa dakika chache tu mnajua iko wapi.
Immobilizer ndo nini?
so gari keyless ina faida kiusalama kuliko ya kuhitaji funguo?
Ushauri mzuri sana😂😂Unapolala toa battery ya gari weka ndani.
Ukilala toa upepo tairi zote.
Hakikisha unakicompressor kidogo cha kujazia upepo kinachotumia 12VDC.
ni kweli mkuu huwa ni mafundi pia,wazijua gari vizuuriKikosi kazi cha hao waibaji pia wanakuwa na mafundi waliobobea [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wahuni wanamzidi akili.
Hiyo gari yako hawajaiamulia tu haina security yoyote wanaiba mapema kabisa kabla hata haujalala.Dear tunaomba mbinu za kulinda wasifanye chochote
Kwa gari aina zote ,za funguo na keyless entry pia
nachojua mi ni kulock steering wheel tu
gps tracking sijui zinasaidia?
Alarm?.